Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndoa?

Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndoa?

Bro ipo hivi , nahofia kumla mapema maana demu ni bikra ndugu wakija kututembelea baada ya harusi demu atakua anatembea Kwa maumivu kutokana na kuvunjwa bikra , itakua

Muislam
Huoni utakuwa umefanya jambo la heshima ukifanya hivyo? Kwani hao ndugu zako hawajui alichokifata kwako?
Kwanza Una umri gani?
 
Vile dereva bodaboda anaempelekaga mke wako kwa mchepuko wake anavyokuangalia
Screenshot_20250625_125249_Facebook.jpg
 
Bro ipo hivi , nahofia kumla mapema maana demu ni bikra ndugu wakija kututembelea baada ya harusi demu atakua anatembea Kwa maumivu kutokana na kuvunjwa bikra , itakua

Muislam
Hapana, mademu wa sasa hv hawawezi kutembea kama wamevunjwa kisa amemtoa bikra
 
Back
Top Bottom