Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndoa?

Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndoa?

Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?

Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.

Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
The reason behind marriage is to sex only
 
Back
Top Bottom