Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndoa?

Bro ipo hivi , nahofia kumla mapema maana demu ni bikra ndugu wakija kututembelea baada ya harusi demu atakua anatembea Kwa maumivu kutokana na kuvunjwa bikra , itakua nimemdhalilisha
Aliekwambia atatembea kwa maumivu nani kwani hiyo bk unaitoa kwa misumali na nyundo
 
Nilishatoa bikra , demu alilia kama anakufa na kutembea vizuri alishindwa mpaka kwao wakagundua
Uloiitoa kwa kubaka, mwanamke akiridhia hutaskia Wala kuona hayo makolokolo unaweza ukaitoa ata kwa siku mbili ili asihisi maumivu kama unavyofikiri
 
Sasa bro demu sealed nikimtoboa alafu kesho ndugu waje hauoni kama hata kutembea atashindwa
Anatembea anaenda wapi kama unamheshimu mkeo mtarajiwa mbona ukamnasibu hadi kwa shngazi amkague yaani shangazi yako amfunue kabla yako we jamaa acha usanii
 
Uloiitoa kwa kubaka, mwanamke akiridhia hutaskia Wala kuona hayo makolokolo unaweza ukaitoa ata kwa siku mbili ili asihisi maumivu kama unavyofikiri
Duuuh siku mbili ww unavumiliaje baada ya kuishia njiani
 
Uloiitoa kwa kubaka, mwanamke akiridhia hutaskia Wala kuona hayo makolokolo unaweza ukaitoa ata kwa siku mbili ili asihisi maumivu kama unavyofikiri
Niliitoa Kwa wiki nzima kipindi nipo chuo, demu alikua mwembamba na sikumbaka ila ikawa nikianza kuitoa angalia na kunipiga ngumi
 
Anatembea anaenda wapi kama unamheshimu mkeo mtarajiwa mbona ukamnasibu hadi kwa shngazi amkague yaani shangazi yako amfunue kabla yako we jamaa acha usanii
Wazazi wa Binti hawakiniruhusu nimfunue ndio shangazi akaenda kumkagua
 
No reform no elektioni

Kichwa / antena ishikapo mawimbii tuuu -muda wowotee
 
Bro ipo hivi , nahofia kumla mapema maana demu ni bikra ndugu wakija kututembelea baada ya harusi demu atakua anatembea Kwa maumivu kutokana na kuvunjwa bikra , itakua nimemdhalilisha
Unauhakika atatembea kwa maumivu??
Ulishamuona wa hivyo
 
Yaani uliwaomba kuwa nataka nimfunue binti yenu??????
Binti geti Kali hata namba zake Sina , tulienda Kwa wazazi wake directly ndio wakasema kama tunataka tudhibitishe kua ni bikra, shangazi yangu akaikague
 
Wewe acha uongo mtoto geti kali halafu mnafika tu na kuwaza kuwa hana bikra mbona unajichanganya
 
Back
Top Bottom