Usafi sio bata, na bata akisafishwa hana shida. Wahadumu wa chakula wanapaswa kuanda chakula katika mazingira ya usafi, tuachane na mambo ya uswahili mwingi usio na tija.Ukimchunguza sana bata, hutokuja kumla kamwe.
Wakati kunawa kwa sabuni kabla ya kula ni kwa usalama wako ila kunawa baada ya kula ni ustaarabu tu!Wahudumu wengi wa chakula huwa hawana tabia ya kumpa mteja sabuni ya kunawa mikono kabla ya kula, na ukitaka wakupe wengine wanakuona msumbufu, ila huwa wanaileta ukimaliza kula!
Ipo haja ya kuweka somo la usafi na afya ya binadamu kuanzia primary hadi chuo kikuu katika nchi hii.Wakati kunawa kwa sabuni kabla ya kula ni kwa usalama wako ila kunawa baada ya kula ni ustaarabu tu!
Ustaarabu unapewa kipaumbele kuzidi afya
Hawa wanawake wachoma chapati ndo funga kazi🙌, At least wale wanaume unakuta wanazichoma wakiwa wamesimama na wanavaaga kikazikazi na chapati zao huanzia 500+, Ila hawa wamama wa chapati za 250 hawa ni mziki kwenye suala la uchafuHuyo ni msafi.
Umewahi kuona mkaanga au mchoma chapati wewe? Sema hapana, hapa kijiweni yupo, akimsafisha mtoto ni kwamba kazi inaendelea.
Mungu tu analinda walaji
Sijui kama itasaidia sana! Labda kama ingewezekaba kuwekwa mkakati utakaoilazimisha kila familia kujenga tabia ya usafi, pengine ingesaidia.Ipo haja ya kuweka somo la usafi na afya ya binadamu kuanzia primary hadi chuo kikuu katika nchi hii.
Kweli kabisa, anapokea pesa mkono huo huo na kushika chapati mkono huo huo, yaani ni kama hawaelewi kabisa.Hawa wanawake wachoma chapati ndo funga kazi🙌, At least wale wanaume unakuta wanazichoma wakiwa wamesimama na wanavaaga kikazikazi na chapati zao huanzia 500+, Ila hawa wamama wa chapati za 250 hawa ni mziki kwenye suala la uchafu
Mazoea! Kafanya hivyo tokea akiwa mtoto na hakuna aliyewahi kumwambia kuwa ni vibaya.Kweli kabisa, anapokea pesa mkono huo huo na kushika chapati mkono huo huo, yaani ni kama hawaelewi kabisa.
Kazi ipo.Migahawa ya level ya kati hizi hand wash zikiisha wanajaza tena maji kwenye kile kichupa ndio maana unaona ni nyepesi. Maji yenyewe ya ndoo hayakufanyi ukanawa kabisa kabisa 100%. Bongo ni shida sana.
Nikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%. Nitasimulia cha mgahawa mmoja, kwa niaba ya mingine. Ikawa hivi;
Katoka chooni moja kwa moja hadi kwenye dishi lenye maji anayooshea vyombo na kutosa mkono wake wa kulia kujichuuzia maji kwa kutumia kiganja cha huo mkono wa kulia.......nilishangaa!
Kachukua sabuni ya unga ya kuoshea vyombo kwa mtindo wa kupamba (maana aliiweka tu katika chombo cha wazi (sahani) kwa kutumia mkono wake wa kushoto na kuendelea kujisuuzia maji na sasa akijihesabu ndo ananawa na sabuni.
Nikasema ngoja nifike na huko chooni kwenyewe kwanza nikaangalie mazingira. Nikaomba ruhusa kwamba naenda kujisaidia haja ndogo. Kwakuwa mi ni mzoefu wakaniruhusu......kufika huko Mungu wangu!!! Inye zinaonekana hovyo hovyo, uchafu mtupu.
Sili tena migahawani.
Huko siyo uswahilini, huko ni ushenzini. Waswahili usafi ni jadi yetu. Koma.Uswahilini kuna uchafu mwingi sana.
Umesoma ulichoandika?Kuna mwaka mkuu wa mkoa wa lringa , kreluuu alifariki na kipindupindu, jiulize kwake vijakazi wangapi wa usafi, kwenye magonjwa kuomba mungu tu.
Bila kapicha haielewekiNikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%. Nitasimulia cha mgahawa mmoja, kwa niaba ya mingine. Ikawa hivi;
Katoka chooni moja kwa moja hadi kwenye dishi lenye maji anayooshea vyombo na kutosa mkono wake wa kulia kujichuuzia maji kwa kutumia kiganja cha huo mkono wa kulia.......nilishangaa!
Kachukua sabuni ya unga ya kuoshea vyombo kwa mtindo wa kupamba (maana aliiweka tu katika chombo cha wazi (sahani) kwa kutumia mkono wake wa kushoto na kuendelea kujisuuzia maji na sasa akijihesabu ndo ananawa na sabuni.
Nikasema ngoja nifike na huko chooni kwenyewe kwanza nikaangalie mazingira. Nikaomba ruhusa kwamba naenda kujisaidia haja ndogo. Kwakuwa mi ni mzoefu wakaniruhusu......kufika huko Mungu wangu!!! Inye zinaonekana hovyo hovyo, uchafu mtupu.
Sili tena migahawani.
Endelea kujifariji na kuwafiriji hivyo uswahiliniHuko siyo uswahilini, huko ni ushenzini. Waswahili usafi ni jadi yetu. Koma.
Si kila anaeongea Kiswahili ni Mswahili.
Wacha kudanganya umma mkuu .Kuna mwaka mkuu wa mkoa wa lringa , kreluuu alifariki na kipindupindu, jiulize kwake vijakazi wangapi wa usafi, kwenye magonjwa kuomba mungu tu.
😂😂sahihi kabisa unakuta mke anapika huku anajitia madole kwenye papuchi au kujikuna kwenye kipochi manyoya bila kunawa anatoka hapohapo anashika chakula,haushangai kuna wakati chakula kina nuka mik*ma k*ma? ^_^