Baada ya kubinywa huko Guantanamo Ghailani sasa kujibu mashitaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kubinywa huko Guantanamo Ghailani sasa kujibu mashitaka

Discussion in 'International Forum' started by Richard, Mar 31, 2008.

 1. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2008
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280
  Asema,

  "sikujua nini walikuwa wanafanza lakini niliwasaidia"

  -Kwa mujibu wa kumbukumbu za mahojiano za Pentagon

  446538e4818fc9.jpg
  Ahmed Halfan Ghailani

  A Guantanamo detainee who allegedly helped plan the 1998 bombing of the U.S. Embassy in Tanzania that killed 11 people was charged Monday with war crimes that carry a possible death penalty.

  Ahmed Kalfan Ghailani - who was held in secret CIA custody before being transferred in 2006 to the U.S. military prison in Cuba - also allegedly purchased and transported the explosives used in the attack and scouted the embassy with a suicide bomber.

  Al Qaeda's twin suicide truck-bomb attacks on the U.S. Embassies in Tanzania and Kenya on Aug. 7, 1998, killed some 236 people, including 12 Americans, and injured more than 4,000. No Americans died in the attack in Dar Es Salaam, Tanzania.

  U.S. Air Force Brig. Gen. Thomas Hartmann told a Washington news conference that Ghailani, a Tanzanian, faces charges that include murder, attacking civilians and terrorism. The attack on the embassy in Tanzania was not as devastating as the one in Kenya because an embassy water tanker apparently prevented the suicide bomber from penetrating the perimeter.

  Ghailani, who was captured after a gunbattle in Gujrat in eastern Pakistan in July 2004, told a military panel at Guantanamo in March 2007 that he unwittingly delivered the explosives for the attack, didn't know about it beforehand and was sorry.

  "It was without my knowledge what they were doing, but I helped them," he told the panel, according to a transcript released by the Pentagon. "So I apologize to the United States government for what I did. And I'm sorry for what happened to those families who lost, who lost their friends and their beloved ones."

  It was without my knowledge what they were doing, but I helped them.

  Ahmed Kalfan Ghailani
  according to Pentagon transcriptA senior Pentagon legal official, Susan Crawford, must review and approve the filed charges before any legal proceedings can begin against Ghailani.

  The U.S. has so far filed charges against 15 prisoners at Guantanamo and convicted one, Australian David Hicks, in a March 2007 plea bargain. Several detainees have appeared before the tribunal for arraignments or pretrial hearings. The first actual trials are expected to begin in late spring or early summer.

  The U.S. now holds about 275 men at Guantanamo and military officials say they expect to file war crimes charges against about 80.

  bongo.jpg
  Ubalozi wa Marekani Tanzania baada ya kulipuliwa kwa mabomu mwaka 1998  Chanzo cha habari: World Media
   
 2. Bikra

  Bikra Senior Member

  #2
  May 22, 2009
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Osama Bin Laden's former Tanzanian HERO is coming to New York to face charges for his role in the bombings of two U.S. Embassies in East Africa 11 years ago, President Obama announced Thursday.

  Ahmed Khalfan Ghailani will be moved from Guantanamo Bay as part of Obama's controversial order to shut down the U.S. terror prison camp in Cuba over the objections of many lawmakers from both parties.

  "Preventing this detainee from coming to our shores would prevent his trial and conviction," Obama said in a Washington speech.

  The baby-faced and diminutive Ghailani - known as Foopie - faced a bounty of $25 million when he was nabbed in July 2004 after a 12-hour shootout at an Al Qaeda safe house in Pakistan.

  Ghailani rose from an Al Qaeda "rank-and-file soldier" in Afghanistan before 9/11 to become Bin Laden's cook and his most prolific passport forger and travel agent, according to a Directorate of National Intelligence biography.

  Four other plotters were convicted in federal trials in the city for the Aug. 7, 1998, bombings of U.S. Embassies in Dar es Salaam, Tanzania, and Nairobi, Kenya, which killed a dozen Americans and 211 others.

  Ghailani was among the original 22 "most wanted" terrorists designated by President George W. Bush's FBI after 9/11, even though the government admits he "was not directly involved in operational planning" by Al Qaeda.

  Wadau tuombe Mtanzania Mwenzetu aachiwe, Wazanzibari mumefanyaje kumsaidia Mzanzibari Mwenzenu?
   
  Last edited: May 22, 2009
 3. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  why calling him 'Tanzanian hero? Ooops
   
 4. Bikra

  Bikra Senior Member

  #4
  May 22, 2009
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Namfananisha na Hasheem Thabeet Jinsi anavyoiwakilisha Tanzania Kuonesha Watanzanai Tunaweza tukipata Nafasi
   
 5. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  omg!!
   
 6. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Bikra hichi kweli ni kitu cha kushangilia? Unakosea sana kumfananisha "Fupi" na Hasheem Thabeet.....Kumuita Thabeet Hero kunaleta maana lakini sio huyu Ahmed.

  Simuhukumu Ghailani hapa kwa sababu najua kesi yake imejengwa kwenye mazingira ya Utatanishi...Mimi binafsi kama Mwawado wala siamini kama kweli Ghailani alikuwa Dereva wa Osama (Mpaka leo hajui kuendesha gari..labda wawe wamemfundisha huko Gitmo),nimesoma na kuangalia mazingira yote ya kushikwa kwa Ghailani inanipa wasiwasi kama ni kweli anahusika na Al-qaeda. Ahmed (ana majina karibu ya 30) alikuwa mjeuri alipokamatwa huko Pakistani na hakuweza kujieleza vizuri (Hajui kiingereza sawa sawa) hivyo vyote pamoja na kuwa na passport zaidi ya mbili ndivyo vilivyochangia kumuhusisha na Mabomu ya Tanzania/Kenya kwani aliondoka Nairobi siku moja kabla ya milipuko ile!!

  Mimi Binafsi nachukulia kuwa Ahmed ilikuwa bahati yake mbaya tu..kwani hapo Karachi kuna watanzania wengi tu,na wengi wana passport zaidi ya moja na majina Kibao..sasa hao wote tuwaite Alqaeda?

  Nathibitisha hapa kwamba kama serikali yetu (Tanzania) ingesimama imara na kuwa upande wa Ahmed,huyu jamaa hakuwa na case ya kujibu...imekwishatokea hivyo kwa Raia mmoja wa Uk ambaye ana asili ya Pakistan,alikamatwa Queta na kupelekwa Guantanamo lakini wazazi/Ndugu zake walipiga kelele mpaka wakaonana na Tony Blair na matokeo yake ndugu yao akaachiwa..

  Tafuta muda uangalie/soma suala zima la Ghailani utabaini Walakini katika kushikwa kwake...Hata hivyo usinichukulie kwamba namtetea Ahmed,nilikuwa nataka kukufahamisha tu ..nini ninafahamu kuhusu Jamaa huyo!
   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hivi huyu jamaa kweli ni hero kihivyo. Huyu atakuwa alirubuniwa akubali tu watamwachia.
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  wth, anyway 'maybe your personal hero'..Thabiti umfananishe na AKG,wapi na wapi??!!
   
 9. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni kweli kabisa kwani neno lenyewe terror lina utata hasa kwakuwa hayana fasili inayojitosheleza umwitaye terror weye ndo hero wa mwingine, mandela,machelna lumumba walishaitwa terrorist na wanyonyaji wa kizungu japo ktk jamii yao walionekana heroes! Nafikiri 2we 2natafakari kabla ya kuita au ku2mia maneno hayo eti kwakuwa kasema fulani, mie mtanzania namwona ghailani ni hero na wao wamarekani wamwona ye ni terror je weye wamwonaje?
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Huyu aliyeleta hii thread ni al Qaeda wannabe..lol
   
 11. J

  Jozdon Member

  #11
  May 23, 2009
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nadhani hadi sasa hatuna haja ya kumuhukumu no matter what facts were gathered by the American against him. Mi nadhani, hata kama osama ni Gaidi, ugaidi ni sawa na njia nyingine kama kuandamana ili mtu apate haki yake. ni njia nyingine tu ya kulazimisha kupata haki unayostahili. Ni kweli, najua inapoteza maisha ya watu wenye hatia na wasio na hatia, lkn hata vita alizozianzisha mmarekani zimepoteza maisha ya wengi wasio na hatia. Anayoyafanya mmarekani kwa watu wengi hapa duniani ni mabaya kuzidi hata hayo ya osama.

  Gilaini, anastahili heshima zote ikiwepo ya kuitwa THE HERO
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sikumbuki kusoma humu jamvini kama kuna mtu amemhukumu. Ukweli ni kuwa kama hana hatia, kilio cha samaki machozi ndio hivyo yanaenda na maji. Hamna wa kumnasua mpaka waamerika wenyewe wajisikie kumuachia. Kwa upande wa pili kama ana hatia, ni adui si tu wa Marekani, bali wa sote including mama yake mzazi.

  Watu wenye mawazo kama yako ni hatari kuliko hata Osama mwenyewe. Ugaidi hauwezi kukubalika ktk jamii za wastaarabu ktk dunia ya leo, hata uje kwa sura au sababu iwayo yote ile.
   
 13. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #13
  Jun 9, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  WASHINGTON – U.S. authorities have brought the first Guantanamo Bay detainee to the United States, flying him into New York to face trial for bombing U.S. embassies, the Justice Dept said Tuesday.

  The department said Ahmed Ghailani arrived in the early morning hours Tuesday, to be held in U.S. law enforcement custody until his trial in federal court in lower Manhattan. Ghailani was expected to make his initial appearance in Manhattan federal court later Tuesday.

  "With his appearance in federal court today, Ahmed Ghailani is being held accountable for his alleged role in the bombing of U.S. Embassies in Tanzania and Kenya and the murder of 224 people," Attorney General Eric Holder said in a press release. "The Justice Department has a long history of securely detaining and successfully prosecuting terror suspects through the criminal justice system, and we will bring that experience to bear in seeking justice in this case."

  Ghailani's trial will be an important test case for the Obama administration's plan to close the detention center at Guantanamo in seven months and bring some of the suspects to trial.
  Ghailani was indicted in 1998 for the al-Qaida bombings of U.S. embassies in Kenya and Tanzania, attacks which killed more than 224 people, including 12 Americans.

  U.S. officials charge Ghailani began his terrorist career on a bicycle delivering bomb parts and rose through the al-Qaida ranks to become a bodyguard to Osama bin Laden.

  Ghailani, a Tanzanian, was in his twenties when prosecutors say he helped terrorists build one of the bombs that destroyed U.S. embassies in East Africa in 1998.

  He left Africa just before the bombings, according to investigators.
  After the Aug. 7, 1998, bombings at U.S. embassies in Nairobi and Dar es Salaam, Tanzania, Ghailani worked for al-Qaida as a document forger, trainer at a terror camp and bodyguard to bin Laden, according to military prosecutors.

  He was categorized as a high-value detainee by U.S. authorities after he was captured in Pakistan in 2004 and was transferred to the detention center at the U.S. naval base in Cuba two years later.

  Since his capture, Ghailani has denied knowing the TNT and oxygen tanks he delivered would be used to make a bomb. He also denied buying a vehicle used in one of the attacks, saying he could not drive.

  Now, the Obama administration is trying to put him into the U.S. criminal justice system, despite claims by Republican critics that doing so would endanger American lives. Some lawmakers have opposed bringing any Guantanamo detainees to the U.S. for trial, even in heavily guarded settings.

  Last month, President Barack Obama said that preventing Ghailani from coming to U.S. soil "would prevent his trial and conviction. And after over a decade, it is time to finally see that justice is served, and that is what we intend to do."

  Relatives of those killed in the embassy attacks have supported the decision to bring Ghailani to the U.S. for trial. Many of those relatives say that since the 2001 terror attacks , the earlier victims of al-Qaida have been forgotten.

  Yet the president faces pressure from across the political spectrum on his plan to close the detention center. Democrats have said they want to see the president's plan for closing the base before approving money to finance it, and Republicans are fighting to keep Guantanamo open.

  The decision to try Ghailani in New York also revives a long-dormant case charging bin Laden and top al-Qaida leadership with plotting the embassy attacks that killed more than 200 people and injured thousands, including many who were blinded by shards of flying glass. The attacks prompted then-President Bill Clinton to launch cruise missile attacks two weeks later on bin Laden's Afghan camps.

  Four other men have been tried and convicted in the New York courthouse for their roles in the embassy attacks. All were sentenced to life in prison.

  Justice Dept.: 1st Gitmo detainee arrives in US - Yahoo! News
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Let us see how things will unfold here.. Kama maelezo wanayotoa US kumuhusu kuwa alipanda ranks mpaka kuwa trainer na bodyguard wa Osama ina maana kijana amekubuhu.
   
 15. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Usikute alikubali haya maelezo baada ya kuwa convinced na "water boarding" au kukoseshwa usingizi, don't trust those republicans.
   
 16. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Yaani asirudishwe hapa ardhi ya Tz. Jamiii ya watu hawa huwa wana kisasi sana na kwa kuwa walishafundishwa kuwa ni heri kujitoa mhanga kwa ajli ya imani basi akiachiwa tu ni lazima atapanga revenge la nguvu. Wanyongee au kufunga maisha hukohuko U.S!! Hafai huyo.
   
 17. M

  Mkandara Verified User

  #17
  Jun 9, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nemeshawambia huyu kijana alikuwa muuza Unga tu....Tatizo he was at the wrong place at the wrong time..Hawezi kuwa mtu alopanga kulipua Ubalozi wa Marekani kisha ati kaondoka kabla ya...at the age of 20 nani Bongo atamsikiliza..kwa hivyo wanavyodai na navyowajua Watanzania...Haiwezekani..
  Kisha kikubwa zaidi wapo wanaomfahamu vizuri vijiwe vya Pakistan kuwa kazi yake ilikuwa kuuza unga kwa Makontena yaliyokuwa yakitumwa huko....
   
 18. O

  Ogah JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Bob kumbuka pia kuwa
  1.Al Qaida....wanafanya hiyo biashara i.e. unga
  2.usidanganyike na umri wa mtu.......au na watu wanaokupa story
   
 19. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hivi ile sheria ya ugaidi tuliyoipitisha ina maana gani kama bado watuhumiwa watanzania wanashtakiwa nje? au lilikuwa ni shinikizo...
   
 20. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  Mkuu na mimi ndo swala najiuliza kila mara.

  Kama alivyosema Mkandara, hata mimi naweza kuamini kwamba huyu dogo alikuwa at the wrong place doing wrong thing-probably, kama kuuza unga. Jamani sasa huko Pakistan alikuwa nafanya nini? I dont see a reason kwa nini mbongo ajiingize kwenye issues za ugaidi..maana matatizo tuliyonayo yanatutosha kuliko ugaidi na wala sidhani kama yanaletwa/yaliletwa na Bush wala cousins wake. I wouldnt see any reason ya mbongo..kujiingiza kwenye issues kama hizi ambazo hazina tija kwetu..

  Anyway..mahakama itaamua. I believe he is more likely to get fair justice huko umangani kuliko akirudishwa Kisutu. Na obviously, jela za umangani ni bora kuliko Keko.

  Kila lakheri dogo, kama huna hatia..utaachiliwa tuu.
   
Loading...