Significant activity at Iran long-range missile sites. Retaliation against Israel imminent

Mathanzua

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
17,450
Reaction score
23,124

Significant activity at Iran long-range missile sites. Retaliation against Israel imminent​

02 APRIL 2024

Several intelligence sources are confirming "significant activity" at Iran long-range missile sites in the west and north of the country. Retaliation against Israel for bombing an Embassy in Damascus, is pending.

Yesterday, Israel violated the Vienna Convention on Diplomatic Relations when it bombed a building in Damascus, Syria, directly next to the Iran Embassy! It was the Ambassador's Official residence situated ON the Embassy compound; Iran sovereign territory!

Several high-ranking Iranian officials were killed in the attack, including Mohammad Reza Zahedi - a commander in the Quds Force of the Revolutionary Guards. He is the highest-ranking Iranian official killed in an Israeli attack.

If Iran plans retaliation, it's likely to occur tonight, as it marks the 23rd night of Ramadan, a significant occasion for Shia Muslims. Tonight, however, may prove too soon.

Should retaliation not occur tonight, it may coincide with a funeral, a common time for Iranian retaliation.

Expectations are high regarding Iran's response this time. Iran's Parliament Vice-Speaker Mojtaba Zonnouri cautioned Israel to anticipate retaliation within its borders, stressing that diplomatic missions are considered part of sovereign territory.

Iran's Supreme Leader, Khamenei, has signaled direct retaliation by Iranians themselves, bypassing proxies.

Khamenei said "Israel will face consequences for its attack on the Iranian consulate," adding "We will make them regret committing this crime."

In a letter to the Security Council late Monday, Iran said it would take a “decisive response” to the Israeli attack but in line with international laws. So Iran has already filed Notice to the UN there will be a military response.

The Israeli Defense Force, after making the attack, was placed on high alert.

The U.S. military has started recalling veteran retirees and is ordering them to report for active duty, citing Executive Order 13223 from the Bush administration in 2001.

This order allows for the recall of retired Soldiers to active duty from the Retired Reserve or the retired list under 10 USC 688/688a, 12301(a), or 12301(d).

The recall is part of an effort to address the military's manpower shortages and to fill critical vacancies. The recall process aligns with Army Regulation 601-10, which requires that recalled retiree Soldiers be assigned to valid vacant positions that match their grade and skill.

This initiative is a response to the military's ongoing recruitment crisis and the need to maintain a sufficient number of personnel to fulfill its global mission sets.

Clearly, a major conflict is about to start.

Iran has developed numerous and sophisticated missiles for its military use; more than capable of not only reaching any target inside Israel, but doing so with great precision. Below is a look at Iranian Missile systems and their ranges.

When some of these missiles start coming down onto Israel, it is likely to unleash things that no one expects.

According to a source within the US Embassy in Israel, a message was received at the White House from Iranian Foreign Minister Amir Abd Allahian.

In the message, Iran warns the US against interfering in Iran's response to Israel following the bombing of the Iranian Embassy compound in Syria.
 
Attachments

  • Iran-Misile-Types-Ranges.jpg
    Iran-Misile-Types-Ranges.jpg
    167.2 KB · Views: 15
Ngoja tuone kitakachotokea ni kipi!
Kama Iran itajibu mapigo au laa! Kama itajibu mapigo itajibu kwa namna gani! Ngoja tuone.
Kuuawa kwa makamanda ya jeshi la Iran sio ishu kubwa kwa sababu inajulikana kuwa Israel na Iran wako kwenye vita vya kiintegensia.

Lakini kitendo cha kushambulia jengo la ubalozi ni uchokozi wa kiwango cha juu sana.
 
Ila waisrael/wayahudi inawabidi wapige mahesabu marefu sana. Kwa sababu dunia inapoelekea inabadilika. Wasidhani wanaowakingia kifua kwa sasa bado wataendelea kuwa na msuli ulele.

Nilidhani kwa mkasa uliyowakumba miaka ya nyuma pengine wangelikuwa mabalozi wazuri wa amani duniani lakini mambo ni tofauti.

Si kwa lengo baya! Ila kwa sasa ndiyo napata taswira kwa nini miaka ya nyuma walikuwa wanafanyiwa mambo ya mauwaji.
 
(In the message, Iran warns the US against interfering in Iran's response to Israel following the bombing of the Iranian Embassy compound in Syria.)

Iran waache uwoga, kwani hao U S wakiingilia si wawakande nawao.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
U

USA akiingilia Russia atafutarahi sn wamalize hasira zao
 
Iran amejiweka Syria ili kuitumia ardhi ya nchi hiyo kuihujumu Israel ikiwa ni pamoja na kuwafadhili magaidi mbalimbali ili kuihujumu Israel.

Hivyo kitendo cha Israel kuishambulia jengo la ubalozi wa Iran nchini Syria ilikuwa ni halali na ni njia ya Israel kujihami dhidi ya hujuma hizo za Iran.

Sasa endapo Iran itajichanganya na kuishambulia Israel basi huenda ikawa mwanzo wa mgogoro mkubwa katika eneo la mashariki ya kati ambao unaweza kupelekea kung'olewa kwa utawala wa kiimla wa mahayatollah nchini Iran.
 
Hii issue Iran wakitumia mihemko wanaenda kuharibu nchi yao, nchi yao nzuri itabaki Magodi na uwanja wa magaidi, Israel hajapiga eneo hilo kwa bahati mbaya, na anajua response yake, kuna watu wanajitoa ufahamu na kuichukulia Israel poa kama nchi yenye uwezo mdogo sana kiuchumi na kijeshi, wamesahau kubwa Israel ana nyuklia,pia ni nchi yenye mifumo kizuri ya kujikinga na makombora long range missiles, Arrow 3 ni sawa na S400 , ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na mifumo ya kudungua makombora baada ya Rusia. Wanaichukulia poa lakini inaenda kuishangaza dunia kwa mara nyingi , utasikia vita ya siku 3. Je Iran ana mifumo ya anga ambayo itaweza kuzuia ndege za Israel zisiingie kwenye anga la Iran? Israel ndio mwanzilishi wa drone , mataifa yote duniani yamejifunza kwa Israel kutengeneza drone.
 
Ila waisrael/wayahudi inawabidi wapige mahesabu marefu sana. Kwa sababu dunia inapoelekea inabadilika. Wasidhani wanaowakingia kifua kwa sasa bado wataendelea kuwa na msuli ulele.

Nilidhani kwa mkasa uliyowakumba miaka ya nyuma pengine wangelikuwa mabalozi wazuri wa amani duniani lakini mambo ni tofauti.

Si kwa lengo baya! Ila kwa sasa ndiyo napata taswira kwa nini miaka ya nyuma walikuwa wanafanyiwa mambo ya mauwaji.
Watu wengi wamesha anza kumuelewa Hitra kuwa alikuwa sahihi kuawateketeza hawa watu maana ni jamii iliyo jaa kiburi kilicho pitiliza.
 
Iran amejiweka Syria ili kuitumia ardhi ya nchi hiyo kuihujumu Israel ikiwa ni pamoja na kuwafadhili magaidi mbalimbali ili kuihujumu Israel.

Hivyo kitendo cha Israel kuishambulia jengo la ubalozi wa Iran nchini Syria ilikuwa ni halali na ni njia ya Israel kujihami dhidi ya hujuma hizo za Iran.

Sasa endapo Iran itajichanganya na kuishambulia Israel basi huenda ikawa mwanzo wa mgogoro mkubwa katika eneo la mashariki ya kati ambao unaweza kupelekea kung'olewa kwa utawala wa kiimla wa mahayatollah nchini Iran.
We mjinga Ubalozi ni nchi, kwa hio pale ni sawa na Irani imeshambuliwa ndani ya nchi yake, hivyo ana haki ya kujilinda. Pia msishabikie sana hivi vita, vikianza huku Africa tutaumia kwa kiwango ambacho hatukuwahi kukiona. kwa sasa tuendelee kujitoa ufahamu tu
 
Hii issue Iran wakitumia mihemko wanaenda kuharibu nchi yao, nchi yao nzuri itabaki Magodi na uwanja wa magaidi, Israel hajapiga eneo hilo kwa bahati mbaya, na anajua response yake, kuna watu wanajitoa ufahamu na kuichukulia Israel poa kama nchi yenye uwezo mdogo sana kiuchumi na kijeshi, wamesahau kubwa Israel ana nyuklia,pia ni nchi yenye mifumo kizuri ya kujikinga na makombora long range missiles, Arrow 3 ni sawa na S400 , ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na mifumo ya kudungua makombora baada ya Rusia. Wanaichukulia poa lakini inaenda kuishangaza dunia kwa mara nyingi , utasikia vita ya siku 3. Je Iran ana mifumo ya anga ambayo itaweza kuzuia ndege za Israel zisiingie kwenye anga la Iran? Israel ndio mwanzilishi wa drone , mataifa yote duniani yamejifunza kwa Israel kutengeneza drone.
Hio mifumo imezimwa kwa sasa?
 
Iran amejiweka Syria ili kuitumia ardhi ya nchi hiyo kuihujumu Israel ikiwa ni pamoja na kuwafadhili magaidi mbalimbali ili kuihujumu Israel.

Hivyo kitendo cha Israel kuishambulia jengo la ubalozi wa Iran nchini Syria ilikuwa ni halali na ni njia ya Israel kujihami dhidi ya hujuma hizo za Iran.

Sasa endapo Iran itajichanganya na kuishambulia Israel basi huenda ikawa mwanzo wa mgogoro mkubwa katika eneo la mashariki ya kati ambao unaweza kupelekea kung'olewa kwa utawala wa kiimla wa mahayatollah nchini Iran.
Hakuna ishu yeyote inayo weza kuhalalisha mashambulizi ambayo yamekuwa yakifanywa na Israel dhidi ya maafisa wa Iran ,sema Iran imekuwa na uvumilivu mkubwa sana juu ya vitendo vya Israel lakini siku zote uvumilivu wa binadamu yeyote huwa una mipaka na mwisho.

Shambulizi dhidi ya ubalozi wa nchi nyingine ni haramu kwa mujibu wa sheria za kimataifa haijalishi mna uadui wa aina gani ,na Israel analijua hilo ila amekuwa na kiburi kilicho vuka mipaka kwa sababu ya kukingiwa kifua na Marekani.

Yaani unaongelea kupinduliwa kwa utawala wa Ayatulla kana kwamba vita ni kitu rahisi kama kucheza sindimba?
Hamas ambaye yupo sebuleni mwake ni mwezi wa 6 hawajaweza kuipindua na kuiondoa kwenye uongozi wa gaza ndo waje waweze kumpindua Ayatulla ambaye yuko maelfu ya km ,hivi ww jamaa uko sawa kweli?

Vita sio lele mama acha kurahisisha mambo.
 
Hii issue Iran wakitumia mihemko wanaenda kuharibu nchi yao, nchi yao nzuri itabaki Magodi na uwanja wa magaidi, Israel hajapiga eneo hilo kwa bahati mbaya, na anajua response yake, kuna watu wanajitoa ufahamu na kuichukulia Israel poa kama nchi yenye uwezo mdogo sana kiuchumi na kijeshi, wamesahau kubwa Israel ana nyuklia,pia ni nchi yenye mifumo kizuri ya kujikinga na makombora long range missiles, Arrow 3 ni sawa na S400 , ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na mifumo ya kudungua makombora baada ya Rusia. Wanaichukulia poa lakini inaenda kuishangaza dunia kwa mara nyingi , utasikia vita ya siku 3. Je Iran ana mifumo ya anga ambayo itaweza kuzuia ndege za Israel zisiingie kwenye anga la Iran? Israel ndio mwanzilishi wa drone , mataifa yote duniani yamejifunza kwa Israel kutengeneza drone.
Israel haina uwezo wa kurusha ndege ndani ya anga la Iran kwa sababu ya umbali acha kurahisisha mambo.
 
Nasubiri kwa hamu majibu ya iran, je atafunika kombe kukubali unyonge, je atashambulia wakati israel imejiandaa kuzuia ili aoneshe nae hawavumi lakini wamo, je atasubiri wasahau sahau ndio apate kulipiza kisasi !!!

Muda utatuambia.
 
Iran amejiweka Syria ili kuitumia ardhi ya nchi hiyo kuihujumu Israel ikiwa ni pamoja na kuwafadhili magaidi mbalimbali ili kuihujumu Israel.

Hivyo kitendo cha Israel kuishambulia jengo la ubalozi wa Iran nchini Syria ilikuwa ni halali na ni njia ya Israel kujihami dhidi ya hujuma hizo za Iran.

Sasa endapo Iran itajichanganya na kuishambulia Israel basi huenda ikawa mwanzo wa mgogoro mkubwa katika eneo la mashariki ya kati ambao unaweza kupelekea kung'olewa kwa utawala wa kiimla wa mahayatollah nchini Iran.
Halali kwa mujibu wa nini!?..unaongea Kama una muwasho wa chawa sehemu za Siri!!
 
US is going to kill Iran and destroy all Ayatollah regime in Iran, this is going to happen within this weekend, Iran will be badly destroyed and worse than Iraq..!!

Iran sasa anaingia katika vita, ikumbukwe vita ya Israel vs Gaza ambayo mfadhili wa vita hii ni Iran, sasa itakuwa ndio mwisho wake Iran, welcome to the battle field..!!

US na dunia inajua, wakiimaliza Iran, Middle East itatulia kwani Houthis, Iranian proxies all will die automatically, time is up, let's do it..!!
 
US is going to kill Iran and destroy all Ayatollah regime in Iran, this is going to happen within this weekend, Iran will be badly destroyed and worse than Iraq..!!

Iran sasa anaingia katika vita, ikumbukwe vita ya Israel vs Gaza ambayo mfadhili ya vita hii ni Iran, sasa itakuwa ndio mwisho wake Iran, welcome to the battle field..!!

US na dunia inajua, wakimaliza Iran, Middle East itatulia kwani Houthis, Iranian proxies all will die automatically, time is up, let's do it..!!
Unaota wewe!!Unaizungumzia iran ya middle East au iran ya kijijini kwenu?Jay hunaga akili kabisa una akili kama za nguruwe
 
Pumbaf wewe wild dog, shithole, kazi kupiga kichwa chini hadi kiwe cheusi kama kima, brainless, you have no IQ at all, pumbaf wewe tena, mama yako na wewe ndio mna akili kama nguruwe..

Israel killed all Iranian Nuclear scientists inside Tehran na Iran failed to do anything, and nuclear program has been demolished, sasa Iran anaenda kumalizwa, wewe kima hujui kitu, nyoko wee
 
Back
Top Bottom