Baada ya kubinywa huko Guantanamo Ghailani sasa kujibu mashitaka

Mkandara, Future-Tanzania,....

NB:

..bila Mkapa kupitisha sheria ya magaidi sina uhakika kama Kikwete angekaribishwa White House na Baraka Obama kula ma-apple. pia sidhani kama Joji Bush angetembelea Tanzania na kugawa vyandarua.

Duh...! Hii kali... yaani kwa ajili ya ma-apple na vyandarua tu... au..!?
 
Nilifikiri muswada wa ugaidi umepitishwa na wabunge wakiwemo wa cuf, chadema, tlp, etc kisha rais anasaini kuwa sheria kumbe Mkapa alikaa akaipitisha peke yake na kuipitisha hiyo sheria ya ugaidi!
 
Naona hapa imeshakuwa tabu. Jamaa aombewe msamaha kama inawezekana.

Inshahlah, Mwenye ez Mungu atamsaidia.
 
Tanzanian denies 1998 bombing of US Embassy

Updated 1 hr(s) 48 min(s) ago

NEW YORK, Wednesday

Under heavy guard, a Guantanamo Bay detainee walked into a civilian US courtroom for the first time Wednesday, underscoring the Obama administration's determination to close the Cuban prison and hold trials here despite Republican alarms about bringing terror suspects to America.

Ahmed Ghailani, a Tanzanian accused in two American Embassy bombings a decade ago, pleaded not guilty - in English - in a brief but historic federal court hearing that transported him from open-ended military detention to the civilian criminal justice system.

President Barack Obama has said keeping Ghailani from coming to the United States "would prevent his trial and conviction." Taking a drastically different stance, House Republican leader John Boehner of Ohio labeled yesterday's move "the first step in the Democrats' plan to import terrorists into America."

Ghailani, accused of being a bombmaker, document forger and aide to Osama bin Laden, was brought to New York to await trial in connection with al-Qaida bombings that killed 224 people - including 12 Americans - at the US embassies in Tanzania and Kenya in 1998.

US marshals took custody of Ghailani from his military jailers and transferred him to a federal lockup in lower Manhattan that currently holds financial swindler Bernard Madoff, and once held mob scion John "Junior" Gotti and blind terror leader Sheik Omar Abdel-Rahman. Short and slim with a wispy goatee, Ghailani walked into the courtroom without shackles or handcuffs, wearing a blue jail smock. He listened at times through an interpreter but then removed the headphones and appeared to understand what was said in English.

Big Fat Indictment

Asked by the judge if he wanted her to "read this big fat indictment," he conferred with his lawyer, said it was not necessary and made his plea:"not guilty."About 10 deputy marshals were in the courtroom, including two who were behind him.Ghailani's attorney, Scott L Fenstermaker, declined comment after the hearing.

"We are ready to proceed in the case," declared Assistant US Attorney David Raskin, who said there was "voluminous" evidence to be shared among attorneys.

US District Judge Loretta A Preska acknowledged Ghailani's US military lawyers, Marine Colonel Jeffrey Colwell and Air Force Maj. Richard Reiter, who were seated in the courtroom but were not representing him at the hearing. "Anything you can do to help him transition to the civilian courts will be greatly appreciated," she said. Ghailani's trial will be an important test case for Obama's plan to close the detention center at Guantanamo in seven months and bring some of the terror suspects there to trial.

Attorney General Eric Holder said, "The Justice Department has a long history of securely detaining and successfully prosecuting terror suspects through the criminal justice system, and we will bring that experience to bear in seeking justice in this case."

Though the bombings were a decade ago, "for us, it's like yesterday,"said Sue Bartley, a Washington-area resident who lost her husband, Julian Leotis Bartley Sr., then US consul general to Kenya, and her son, Julian "Jay" Bartley Jnr.

The Standard | Online Edition :: Tanzanian denies 1998 bombing of US embassy in Nairobi&
 
Pleading not guilty is not the end of the trial. Its just the procedural beginning of it.
 
Nemeshawambia huyu kijana alikuwa muuza Unga tu....Tatizo he was at the wrong place at the wrong time..Hawezi kuwa mtu alopanga kulipua Ubalozi wa Marekani kisha ati kaondoka kabla ya...at the age of 20 nani Bongo atamsikiliza..kwa hivyo wanavyodai na navyowajua Watanzania...Haiwezekani..
Kisha kikubwa zaidi wapo wanaomfahamu vizuri vijiwe vya Pakistan kuwa kazi yake ilikuwa kuuza unga kwa Makontena yaliyokuwa yakitumwa huko....

Jamani hawa Wazanzibar ni soo kwa milipuko,
Mnafahamu kuwa mtaalamu wa mabomu wa marekani ni prof. mmoja kutoka Zanzibar?
Mnafahamu kuwa Mr. Bilali ni mtaalamu wa milipuko?
 
Labda coart itatoa haki,Ghailani ni bwanamdogo kutoka familia masikini na yatima wa baba.Mama yake na masikini wa kutupwa ambaye hawezi kupeleka wanawe hata primary school.Ghailani kupitia madrassa aliweza kupata wafadhili wa kumsomesha dini na kumsaidia fedha ndogondogo kwa ajili ya familia yake.hakujua kuwa alikuwa anafadhiliwa na magaidi.
hakuwahi kuwa na nia wala dhamira ya kumuumiza mtu,kwani kwake yeye kumuumiza mtu kungemkumbusha maumivu ya malezi magumu waliyolelewa yeye na wadogo zake.
Hadi ghailani anakamatwa alikuwa hajui kosa lake(na hakuwahi kufanya kosa) kama ni kukimbia,alikuwa anakimmbia kwa maelekezo ya mabosi wake bila kujua anakimbia kwa sababu gani na anamkimbia nani.hajui kuendesha gari sembuse kutengeneza mabomu!!!!!!! wamarekani wamegundua kosa lao kwa huyu dogo ndio maana amekuwa mtu wa kwanza kumleta kwenye mahakama za kiraia,,,,,,lets wait and c
 
Hii hadithi kakufundisha nani kakaa...!?
 
The only thing i do support from your comments above, ni kusema kupitia madrassa aliweza kupata wafadhili wa kumsaudia, hao wafadhiri wakambrain washed...!!! na kusema hajui alikuwa anafanya nini to me it doesn't make any sense at all. Hivi kweli kijana wa miaka 20 hajui bomu linaua? au alifanya kwasababu alikuwa ameshakuwa brainwashed kuchukia wamarekani! huku his action inacost alot of lives, include the lives of innocent people ?
 
..huyu ni Mzanzibari siyo Mtanzania.

Nostradamus said:
Labda coart itatoa haki,Ghailani ni bwanamdogo kutoka familia masikini na yatima wa baba.Mama yake na masikini wa kutupwa ambaye hawezi kupeleka wanawe hata primary school.Ghailani kupitia madrassa aliweza kupata wafadhili wa kumsomesha dini na kumsaidia fedha ndogondogo kwa ajili ya familia yake.hakujua kuwa alikuwa anafadhiliwa na magaidi.
hakuwahi kuwa na nia wala dhamira ya kumuumiza mtu,kwani kwake yeye kumuumiza mtu kungemkumbusha maumivu ya malezi magumu waliyolelewa yeye na wadogo zake.
Hadi ghailani anakamatwa alikuwa hajui kosa lake(na hakuwahi kufanya kosa) kama ni kukimbia,alikuwa anakimmbia kwa maelekezo ya mabosi wake bila kujua anakimbia kwa sababu gani na anamkimbia nani.hajui kuendesha gari sembuse kutengeneza mabomu!!!!!!! wamarekani wamegundua kosa lao kwa huyu dogo ndio maana amekuwa mtu wa kwanza kumleta kwenye mahakama za kiraia,,,,,,lets wait and c

Nostradamus,

..kama kesi yake ingekuwa kama ulivyoeleza hapo juu huyu kijana angeachiwa huru.

..kama mahabusu wenzake wameachiwa huru kwasababu wamarekani wameona hawana ushahidi.
 
Labda coart itatoa haki,Ghailani ni bwanamdogo kutoka familia masikini na yatima wa baba.Mama yake na masikini wa kutupwa ambaye hawezi kupeleka wanawe hata primary school.Ghailani kupitia madrassa aliweza kupata wafadhili wa kumsomesha dini na kumsaidia fedha ndogondogo kwa ajili ya familia yake.hakujua kuwa alikuwa anafadhiliwa na magaidi.
hakuwahi kuwa na nia wala dhamira ya kumuumiza mtu,kwani kwake yeye kumuumiza mtu kungemkumbusha maumivu ya malezi magumu waliyolelewa yeye na wadogo zake.
Hadi ghailani anakamatwa alikuwa hajui kosa lake(na hakuwahi kufanya kosa) kama ni kukimbia,alikuwa anakimmbia kwa maelekezo ya mabosi wake bila kujua anakimbia kwa sababu gani na anamkimbia nani.hajui kuendesha gari sembuse kutengeneza mabomu!!!!!!! wamarekani wamegundua kosa lao kwa huyu dogo ndio maana amekuwa mtu wa kwanza kumleta kwenye mahakama za kiraia,,,,,,lets wait and c
kwi kwi kwi kwi!!!
mbona hujamalizia kusema "nahadithi yangu meishia hapa"
 
Ghailani's best bet is to be tried in the US, where the Obama administration's stand against torture will at least guarantee him a decent trial. Akija bongo hatujui hata torture ni nini, atarushiwa sadist type ya Zombe atakoma kuringa mwenyewe.

Kuna article moja nafikiri ilikuwa kati ya WSJ au NYT last week kama sikosei ilikuwa inaelezea mshtakiwa mmoja wa Kirusi anaeleza kuwa Guantanamo alikuwa poa tu, kuna hospitali zenye huduma hajapata kuziona urusi nzima, nikaona either propaganda za wamarekani (if you believe the American press can stoop that low) au hizi sehemu -waterboarding discounted- ziko much better kuliko jela zetu.

Akipelekwa ukonga atagombewa tu mtoto mzuri huyo, Al-Qaeda or not.His guilt is kind of a foregone conclusion, kama alivyosema Blagojevich kuhusu a cowboy trial, kwanza wanasema tumnyonge, halafu wakasema, tutamnyonga sawa, lakini kwanza tumpe a fair trial :)
 
Junius unaposema huyu sio mtanzania ni mzanzibari hueleweki. Labda hujasoma vizuri Sheria ya Uraia ya Zanzibar (The Zanzibari Act, 1985) inayosema kuwa sifa mojawapo ya kuwa Mzanzibari ni kwanza awe Mtanzania. Pia Katiba ya Zanzibar, 1984 inasema kuwa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano. Hujawasikia pia viongozi wa Zanzibar wanavyoapa wakati wanashika madaraka? Hata kama hupendi jina Tanzania haimaanishi kwamba hizo fact sio za kweli! Be realist pls!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom