JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
Masanja,Mkandara,
..kuna uwezekano mkubwa wa Ghailani kupata haki ya Marekani kuliko Tanzania.
..pia siamini kama Al-Qaida wanaweza kuja Tanzania na kupanga mashambulizi bila kupata ushirikiano wa wa-Tanzania.
NB:
..pamoja na kwamba Tanzania tuna sheria ya makosa ya Ugaidi, kwa usalama wetu wenyewe ni bora tukawaachia Wamarekani wa-deal na wabaya wao.
..sidhani kama Tanzania tuna security logistics za ku-deal na watuhumiwa wa ugaidi. naogopa tunaweza kukaribisha mashambulizi ya kisasi toka kwa hawa jamaa.