Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 127
Jamani hawa Wazanzibar ni soo kwa milipuko,
Mnafahamu kuwa mtaalamu wa mabomu wa marekani ni prof. mmoja kutoka Zanzibar?
Mnafahamu kuwa Mr. Bilali ni mtaalamu wa milipuko?
Kumwita Dr. Bilali ambaye ni mwanafizikia ya nyuklia (nuclear physicist) kwamba ni mtaalamu wa milipuko ni kumshusha zaidi ya kumuita "Mr." mtu mwenye doctorate ya nuclear physics.
Huyu ndiye Neil deGrasse Tyson/ Prof. Hawkings wetu bongo, wewe unamuita "mtaalamu wa milipuko"?