Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,798
- 12,240
Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania.
Ni wazi Rais Samia atafanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la Mawaziri ili kuziba nafasi ya Kwandikwa aliyefariki jana. Hii ni fursa ambayo Rais Samia hapaswi kuacha kuitumia kwani pia haitamjengea chuki kwa ye yote kwa sababu hajasababisha kifo cha Kwandikwa!
Mwigulu must go! Atangulie yeye Burundi!