Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Nilitegemea Tulia hadi leo angekuwa ameshaitisha kikao na wabunge wenzake kusimamia hili ila wapi!!Heka 50 kwa taasisi inayotengemewa hata mimi sikubaliani nazo
Mipango ya uwekezaji kwa taasisi muhimu na adhimu kama hiyo lazima iangalie miaka 100 kuendelea sio miaka10 ijayo
Nilitegemea Tulia hadi leo angekuwa ameshaitisha kikao na wabunge wenzake kusimamia hili ila wapi!!
Ndo mana Mbeya ndo jiji pekee lisilo na double road na wabunge na wananchi wameridhika tu
Ukifika Chato utaona Chato imepangiliwa, imejengwa na iko vizuri. Ila watu wa chato hawana mbwembwe!Mbeya yote iko chini ya CCM! Wanawaza upigaji tu hamna kitu mule!
Kazi ushirikina, majungu na kutopenda maendeleo ya wengine! Hawana Tofauti na watu wa KageraMbeya jiji lenye watu wengi, mali nyingi na uzalishaji mali wa juu kwenye sekta karibu zote lakinilakini maendeleo kidoooogo
Imbombo ngafu.Akiwa jijini Mbeya Rais Mstaafu wa JMT Jakaya Mrisho Kikwete aliulaumu uongozi wa Mkoa wa Mbeya kwa kutokuwa serious kwa kutoa eneo la ekari 50 juu Kwa ajiri ya kujenga Tawi la chuo kikuu cha Dsm.
Kusema kweli asante sana Rais Mstaafu Mhe Kikwete Kwa kuwaambia ukweli watu wa Mbeya. Watu wa Mbeya wana sifa zifuatazo
1. Kujiona wana maendeleo wakati hawana lolote
2. Kujiona wanajua kila kitu wakati hakuna chochote wanachojua
Ukiwa hujafika Mbeya unaweza sema Mbeya ni jiji la kipekee sana Kwa namna watu wa Mkoa wanavyojiweka kwa wengine ila ukifika ndo utaona kumbe ni Mkoa wa hovyo kupindukia. Mbeya hawajali mipango miji, hawajui hata kujenga nyumba Nzuri za kisasa! Wanashindwa hata na Mkoa wa juzi Njombe. Mbeya imejaa uchafu sana na ujengaji wa nyumba wa hovyo kupindukia wanajifanya wana makanisa mengi kumbe wamejaa ushirikina kupindukia na hawapendi maendeleo ya wengine!
Nirudi kwenye Mada!
Tangu JK aongelee lile suala nilitegemea wabunge wa Mbeya watakuwa Wameshaitisha kikao na kujadili jinsi gani watapata ilo eneo la kuwapa Chuo kikuu cha Dsm.
Kwa wasiojua, uwepo wa Chuo kikuu kikubwa Kama UDSM sehemu, sio tu unahamasisha maendeleo, Ila unaleta chachu ya ukuaji wa kiuchumi na kifikra sehemu husika! Mikoa mingi shule na vyuo ndo vimewafanya hata waachane na Mila potofu na kujikita kwenye maendeleo
Leo hii ningekuwa Mbunge wa Mbeya, ningewakusanya wabunge wenzangu na tukaenda kwa Mkuu wa Mkoa kujadiliana nae kwa mapana sehemu gani tuitoe ili tujenge kampasi ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam
Nilifanya kazi Mbeya kwenye mradi wa shirika moja hivi 2008-2012. Kusema kweli nilijifunza mengi sana kuhusu watu wa ule Mkoa na Tabia zao. Ni watu wenye kujikweza Ila hawana chochoteMtoa mada umesahau kusema Mbeya walichokufanyia. Ninawasiwasi mtoa mada umeoa Mbeya kama hujaoa Mbeya basi kuna ndugu yako kaoa Mbeya na amebanywa hasa.
Ukiwalinganisha na nani? Community yako?Nilifanya kazi Mbeya kwenye mradi wa shirika moja hivi 2008-2012. Kusema kweli nilijifunza mengi sana kuhusu watu wa ule Mkoa na Tabia zao. Ni watu wenye kujikweza Ila hawana chochote
Izo picha Mbona zinaweza tu kutengenezwa!
Nikilinganisha na community yangu ya hapa Chato na sehemu zinginezo Kama Kilimanjaro na Arusha!Ukiwalinganisha na nani? Community yako?
Uko bias na watu wa Mbeya.Akiwa jijini Mbeya Rais Mstaafu wa JMT Jakaya Mrisho Kikwete aliulaumu uongozi wa Mkoa wa Mbeya kwa kutokuwa serious kwa kutoa eneo la ekari 50 juu Kwa ajiri ya kujenga Tawi la chuo kikuu cha Dsm.
Kusema kweli asante sana Rais Mstaafu Mhe Kikwete Kwa kuwaambia ukweli watu wa Mbeya. Watu wa Mbeya wana sifa zifuatazo
1. Kujiona wana maendeleo wakati hawana lolote
2. Kujiona wanajua kila kitu wakati hakuna chochote wanachojua
Ukiwa hujafika Mbeya unaweza sema Mbeya ni jiji la kipekee sana Kwa namna watu wa Mkoa wanavyojiweka kwa wengine ila ukifika ndo utaona kumbe ni Mkoa wa hovyo kupindukia. Mbeya hawajali mipango miji, hawajui hata kujenga nyumba Nzuri za kisasa! Wanashindwa hata na Mkoa wa juzi Njombe. Mbeya imejaa uchafu sana na ujengaji wa nyumba wa hovyo kupindukia wanajifanya wana makanisa mengi kumbe wamejaa ushirikina kupindukia na hawapendi maendeleo ya wengine!
Nirudi kwenye Mada!
Tangu JK aongelee lile suala nilitegemea wabunge wa Mbeya watakuwa Wameshaitisha kikao na kujadili jinsi gani watapata ilo eneo la kuwapa Chuo kikuu cha Dsm.
Kwa wasiojua, uwepo wa Chuo kikuu kikubwa Kama UDSM sehemu, sio tu unahamasisha maendeleo, Ila unaleta chachu ya ukuaji wa kiuchumi na kifikra sehemu husika! Mikoa mingi shule na vyuo ndo vimewafanya hata waachane na Mila potofu na kujikita kwenye maendeleo
Leo hii ningekuwa Mbunge wa Mbeya, ningewakusanya wabunge wenzangu na tukaenda kwa Mkuu wa Mkoa kujadiliana nae kwa mapana sehemu gani tuitoe ili tujenge kampasi ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam
Hivi kupanga mji wanapanga wakaazi wa asili au ni mamlaka husika ambazo zinasimamiwa na watu wanaotoka maeneo mbalimbali ya nchi? Nikisema Masaki imepangika, nakuwa nawapa sifa wakazi wa asili wa Dar es Salaam au mamlaka za kipindi hicho zilizopanga Masaki na kuhakisha ujenzi unafuata ramani zake? Nikisema Dodoma wana barabara nzuri za mitaa sifa iende kwa wagogo au mamlaka husika?Izo picha Mbona zinaweza tu kutengenezwa!
Kawafundisheni watu wenu namna gani ya kujenga bora na kupangilia miji yenu! Acheni pia ushirikina na kutopenda maendeleo ya wenzenu
Hauko sawa mkuu. Ni uzembe wa mamlaka husika.Nikilinganisha na community yangu ya hapa Chato na sehemu zinginezo Kama Kilimanjaro na Arusha!
Kilimanjaro kawapanga Nani?Hivi kupanga mji wanapanga wakaazi wa asili au ni mamlaka husika ambazo zinasimamiwa na watu wanaotoka maeneo mbalimbali ya nchi? Nikisema Masaki imepangika, nakuwa nawapa sifa wakazi wa asili wa Dar es Salaam au mamlaka za kipindi hicho zilizopanga Masaki na kuhakisha ujenzi unafuata ramani zake? Nikisema Dodoma wana barabara nzuri za mitaa sifa iende kwa wagogo au mamlaka husika?