Shehe Mwaipopo: Kwa sasa Mzee Kikwete ndiye Baba wa Taifa hivyo Askofu Mbarikiwa wa Mbeya anapaswa kumheshimu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Katibu wa Baraza la Habari la Waislam Shehe Mwaipopo amesema kwa sasa Mzee Kikwete ndiye Baba wa Taifa

Shehe Mwaipopo amemuonya Askofu Mbarikiwa wa Mbeya aache tabia ya kumsemasema Rais mstaafu mzee Kikwete na amevishangaa Vyombo vya Ulinzi kwa kutomchukulia hatua kali hadi sasa

Shehe Mwaipopo kutoka Bakwata alikuwa akiongea na Waandishi wa Habari nchini kuhusu maadili na madhara ya kuchanganya Dini na Siasa

Dominica Njema!
 
Huyu ndo amesema Baba yake alizikwa na Padri?
 
Katibu wa Baraza la Habari la Waislam Shehe Mwaipopo amesema kwa sasa Mzee Kikwete ndiye Baba wa Taifa

Shehe Mwaipopo amemuonya Askofu Mbarikiwa wa Mbeya aache tabia ya kumsemasema Rais mstaafu mzee Kikwete na amevishangaa Vyombo vya Ulinzi kwa kutomchukulia hatua kali hadi sasa

Shehe Mwaipopo kutoka Bakwata alikuwa akiongea na Waandishi wa Habari nchini kuhusu maadili na madhara ya kuchanganya Dini na Siasa

Dominica Njema!
Huyu shekh ubwabwa nasikia ni papai kama Nabii Tito
 
Katibu wa Baraza la Habari la Waislam Shehe Mwaipopo amesema kwa sasa Mzee Kikwete ndiye Baba wa Taifa

Shehe Mwaipopo amemuonya Askofu Mbarikiwa wa Mbeya aache tabia ya kumsemasema Rais mstaafu mzee Kikwete na amevishangaa Vyombo vya Ulinzi kwa kutomchukulia hatua kali hadi sasa

Shehe Mwaipopo kutoka Bakwata alikuwa akiongea na Waandishi wa Habari nchini kuhusu maadili na madhara ya kuchanganya Dini na Siasa

Dominica Njema!
Pumbavu kwanini asiwe mzee Mwinyi hata mimi kuliko huyo mbayuwayu wako? Hili limwaikopo linajipendekeza kwa kila mtu lipate kujaza tumbo lake
 
Katibu wa Baraza la Habari la Waislam Shehe Mwaipopo amesema kwa sasa Mzee Kikwete ndiye Baba wa Taifa

Shehe Mwaipopo amemuonya Askofu Mbarikiwa wa Mbeya aache tabia ya kumsemasema Rais mstaafu mzee Kikwete na amevishangaa Vyombo vya Ulinzi kwa kutomchukulia hatua kali hadi sasa

Shehe Mwaipopo kutoka Bakwata alikuwa akiongea na Waandishi wa Habari nchini kuhusu maadili na madhara ya kuchanganya Dini na Siasa

Dominica Njema!
Wenzie wakati wanasema yeye alikuwa porini anab3ba ndizi
 
Katibu wa Baraza la Habari la Waislam Shehe Mwaipopo amesema kwa sasa Mzee Kikwete ndiye Baba wa Taifa

Shehe Mwaipopo amemuonya Askofu Mbarikiwa wa Mbeya aache tabia ya kumsemasema Rais mstaafu mzee Kikwete na amevishangaa Vyombo vya Ulinzi kwa kutomchukulia hatua kali hadi sasa

Shehe Mwaipopo kutoka Bakwata alikuwa akiongea na Waandishi wa Habari nchini kuhusu maadili na madhara ya kuchanganya Dini na Siasa

Dominica Njema!
CCM ifanye hima kuimariaha idara yake ya itikadi na uenezi. Naona kama vile kwa sasa inawategemea sana chawa katika kukitetea na kukimarisha chama chao.

Nafikiri waelekeapo 2024 ni vyema kwenye timu ya uenezi wamweke Paul Makonda na mtu mwingine muongeaji wa kariba ya Mzee aliyewahi kuwa waziri mwenye dhamana na TAMISEMI na RC wa Tabora.
 
Back
Top Bottom