Nilitaka nikupe like zaidi ya koja lakini haiwezekani kwa hiyo kamata tano mwana wane: [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Yaani hamna kitu kitakua kizuri kwa Magufuli kama kupeleka Muswada bungeni wa kuwapa meno Takukuru na Usalama wa Taifa ,haya mambo ya kupigiana simu kizembe yasinge fanikiwa ,Dau usiye mtaka kaja
Sahau dau kuongezewa mudaWivu wa kike + majungu +Udini= CHADEMA.
muheshmiwa rais muongezee Dr Dau mkataba ainyanyue NSSF na Taifa lipae zaidi na zaidi.
CCM oyeeeeeeeee.
Taarifa za ki intelijensia zolizonifika ni kuwa baada ya jipu wakala wa vipimo kutumbiliwa sasa hali ya wakubwa huko NSSF matumbo yako moto na kwa taariza zaidi hivi Leo Waziri mkuu majaliwa alokuwa atembelee NSSF lakini imeahirishwa ghafla.
Taariza toka jikoni watakaotumbuliwa ni mkuu wa shirika, mkuu wa miradi na uwekezaji pamoja na wote waliohusika kufanya miradi ya kisanii hasa daraja la Kigamboni ambako gharama halisi si zaidi ya bilioni 160 ila NSSF waliweka cha juu hadi 260b utakumbuka kuwa Magufuli wakati huo akiwa waziri wa ujenzi alimgomea dau kujenga na kusimamia daraja hilo ila dau alimzunguka kwa JK na hatimae JP aliondolewa ujenzi na kupelekwa uvuvi ndipo dau alipocheza mchezo na mkataba wa ujenzi ukasainiwa.
Kuna taarifa kuwa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi wakati huo JP alisharudi ujenzi, dau hakumtaarifu JP kuhusu ufunguzi huo kitu kilichomshangaza sana JP. Kwa taarifa za ndani ni kuwa bwana dau alokuwa na dharau sana enzi za JK na aliwaona mawaziri wote kama watunza bustani hata waziri wa kazi enzi hizo alokuwa hawezi kuhoji lolote pale NSSF maana dau akipiga simu kwa JK kibarua hatarini.
NCHI HAIENDESHWI KWA HEARSAY, NA CHUKI BINAFSI, NI UTENDAJI KAZI,Sahau dau kuongezewa muda
Mimi nafikiri badala ya kumtuhumu mleta mada kuwa mwenye chuki binasfi dhidi ya Dau, ulipaswa ulete hoja kinzani au mbadala ya kumweka Dau pazuri. Aren't you a great thinker? I think you are, so live it love it!Naona chuki binafsi tu uliyonayo kwa Dau wala si kingine
Asante mkuu kula like na wewe ,Magufuli akitaka atawale kirahisi ni kuja tu na katiba mpya itakayo beba mfumo mpya naam ni rasimu ya WariobaNilitaka nikupe like zaidi ya koja lakini haiwezekani kwa hiyo kamata tano mwana wane: [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Nasemaga siku zote kutumbua majipu bila kurekebisha sheria zilizosabahisha majipu hayo kuendelea kuwepo ni sawa tu na kutumbua majipu na kukamua (tena kwa kusababisha maumivu makali) bila kutoa kiini. Siku 100 zingekuwa za mafanikio makubwa kama ingetumika kuandaa miswada ya mabadiliko ya sheria mbali mbali ikiwemo ile ya Takukuru na DPP.
Better still, rasimu ya mzee Warioba irejee kwenye bunge maalumu jipya la katiba ili wananchi wapate katiba yao. Ile nyingine wamwachie nyoka mwenye makengeza.
Sentebe wewe unamfagilia kwa kuwa ina maslahi binafsi na dau tena ya kijingajingaNCHI HAIENDESHWI KWA HEARSAY, NA CHUKI BINAFSI, NI UTENDAJI KAZI,
JAMAA LINAPIGA KAZI, NASISI WATANZANIA TUNAMKUBALI SO WHY NOT.
HIYO DHANA , NA UKWELI NA DHANA NI VITU VIWILI TOFAUTI,Sentebe wewe unamfagilia kwa kuwa ina maslahi binafsi na dau tena ya kijingajinga
Taarifa za ki intelijensia zolizonifika ni kuwa baada ya jipu wakala wa vipimo kutumbiliwa sasa hali ya wakubwa huko NSSF matumbo yako moto na kwa taariza zaidi hivi Leo Waziri mkuu majaliwa alokuwa atembelee NSSF lakini imeahirishwa ghafla.
Taariza toka jikoni watakaotumbuliwa ni mkuu wa shirika, mkuu wa miradi na uwekezaji pamoja na wote waliohusika kufanya miradi ya kisanii hasa daraja la Kigamboni ambako gharama halisi si zaidi ya bilioni 160 ila NSSF waliweka cha juu hadi 260b utakumbuka kuwa Magufuli wakati huo akiwa waziri wa ujenzi alimgomea dau kujenga na kusimamia daraja hilo ila dau alimzunguka kwa JK na hatimae JP aliondolewa ujenzi na kupelekwa uvuvi ndipo dau alipocheza mchezo na mkataba wa ujenzi ukasainiwa.
Kuna taarifa kuwa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi wakati huo JP alisharudi ujenzi, dau hakumtaarifu JP kuhusu ufunguzi huo kitu kilichomshangaza sana JP. Kwa taarifa za ndani ni kuwa bwana dau alokuwa na dharau sana enzi za JK na aliwaona mawaziri wote kama watunza bustani hata waziri wa kazi enzi hizo alokuwa hawezi kuhoji lolote pale NSSF maana dau akipiga simu kwa JK kibarua hatarini.
Magufuli alienda baada ya kumpigia simu dau na kumuuliza mbona ndugu yangu dau hujanipa taarifa za uwekaji jiwe LA msingi?
Majini ya dau:-
Kama umesikia kuwa jiwe LA msingi zinawekwa wee njoo tu.(jibu LA mtu kwenye PhD kwa kiongozi wake hilo)
Alionyesha dharau za wazi kwa jpm,kwa kujua hilo na kwa kuwa ndye alokuwa Waziri na kuwa ndye kwenye jukumu LA kumkaribisha rais,ilimbidi aende tu.dau anamwambia jpm eti hujasikia kwenye vyombo vya habari uwekaji jiwe LA msingi!!hakujua jpm ni senior kwake?!!
Nyie pumbavu sana. Mbona hamuhoji udini uliopo PPF, LAPF, EWURA, TCAA, TANESCO, TIB, TPDC! Mtaipiganisha vita vya kidini hiyo nchi yenu nyie makatontaMI NAHIS KWANZA KACHELEWA....KUMEKUWA NA MALALAMIKO MENGI SANA KWENYE HILI SHIRIKA HASA MFUMO WAO WA KUTOA AJIRA..HILI JIPU LIMEIVA ZAMAN SASA HILI LITUMBULIWE HARAKA SANA
Mnaemtaka awe DG wa NSSF bado, hajatulia na ni mtoto mdogo katika uongozi wa shirika kubwa kama lile. Unless, hamjawahi kuiona NSSF ya former Minister for Finance.Taarifa za ki intelijensia zolizonifika ni kuwa baada ya jipu wakala wa vipimo kutumbiliwa sasa hali ya wakubwa huko NSSF matumbo yako moto na kwa taariza zaidi hivi Leo Waziri mkuu majaliwa alokuwa atembelee NSSF lakini imeahirishwa ghafla.
Taariza toka jikoni watakaotumbuliwa ni mkuu wa shirika, mkuu wa miradi na uwekezaji pamoja na wote waliohusika kufanya miradi ya kisanii hasa daraja la Kigamboni ambako gharama halisi si zaidi ya bilioni 160 ila NSSF waliweka cha juu hadi 260b utakumbuka kuwa Magufuli wakati huo akiwa waziri wa ujenzi alimgomea dau kujenga na kusimamia daraja hilo ila dau alimzunguka kwa JK na hatimae JP aliondolewa ujenzi na kupelekwa uvuvi ndipo dau alipocheza mchezo na mkataba wa ujenzi ukasainiwa.
Kuna taarifa kuwa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi wakati huo JP alisharudi ujenzi, dau hakumtaarifu JP kuhusu ufunguzi huo kitu kilichomshangaza sana JP. Kwa taarifa za ndani ni kuwa bwana dau alokuwa na dharau sana enzi za JK na aliwaona mawaziri wote kama watunza bustani hata waziri wa kazi enzi hizo alokuwa hawezi kuhoji lolote pale NSSF maana dau akipiga simu kwa JK kibarua hatarini.
Mwisho wa siku, Kwa Dr. Dau mkubali yaishe maana humu ndani zaidi ya hearsay hakuna jambo lolote tangible, Suala la udini kuna thread ziliweka data full kudhihirisha udini wenu (kwa definition yenu ya udini) na si wa Dr Dau, maana mashirika yote mmehodhi nyie executive management team(s). Fanyeni kazi maana hapa ni kazi tu, majungu pelekeni kwa Sir David Cameron.Mnayempenda kamsifia msiempenda
News Alert: - Magufuli ampongeza Dr Ramadhani Dau na NSSF kuhusu Daraja la Kigamboni & Barabara ya Dar Chalinze
Tena aende haraka nasikia hata kazi zilikua zinatolewa kwa kuangalia dini
Ndio sehemu iliyobakia ya kutafunia futari mtanyooka tu mwaka huuuPorojo na ufataani.
NSSF ni shirika bora la hifadhi ya jamii katika Afrika.