- Thread starter
- #41
Jamani hili LA udini kuacha kikwete aloutengeneza tena kiuwazi ni dau,aliwahiuambia kijana alienda kuomba kazi tena kwa kimemo toka majuu:-huyo dau yafaa atumbuliwe sasa. watu wanafuga midevu na kujidai kufuata swalaa ili kujenga himaya za kifisadi kwa kuingiza udini.
Akikuuliza jina lake,kosa Dogo alipotaja jina,dau alimpa live kuwa kama wewe mkristu sahau kupata kazi Nssf,huyu ni dau anaesubiri thawabu kwa kuwatoa waislamu