Baada ya jipu la wakala wa vipimo sasa kuhamia NSSF

Kama kuna mashirika yanayo endeshwa kibabe na kwa upendeleo wa namna namna basi NSSF ni nambari wani,na kwanini isiwe hivyo wakati chama kina ponea humo na viongozi kwenda kukidhiwa haja zao, hali iliyo mjengea kiburi kikubwa kinara wake kiasi cha kuwa na dharau na ubaguzi usio mithilika.
 
HIYO DHANA , NA UKWELI NA DHANA NI VITU VIWILI TOFAUTI,
NILIIFAHAMU NSSF YA MKULO NA YA DAU,JAMAA IS SIMPLY GENIUS,
HARD WORKER NA MASTER OF STRATEGIC DECISION,
AS A COUNTRY TUNAHITAJI AKINA DAU WENGI ILI WATUNYANYUE.
NA KWA KASI YA DR MAGUFULI NNA UHAKIKA DAU NA THE LIKE WANATUPELEKA KATIKA NCHI YA MAZIWA NA ASALI SOONER THAN LATER
Naomba utueleze jambo zuri alilofanya dau lenye faida kwa wadau wake ie wanachama na mfuko wenyewe.
Uwekezaji wa dau hauna faida zaidi yavkujinufaisha yeye na watu wke,utaujua ukweli mda si mrefu.hebu utueleze faida za utapeli ulifanyika wa kujenga shule na real Madrid,unajua kilichotokea,uliza nyumba za bei nafuu wanazojenga,fahamu garama halisi za ujenzi wa daraja na garama walizojiwekea,dege village pakoje?
 
Mnaemtaka awe DG wa NSSF bado, hajatulia na ni mtoto mdogo katika uongozi wa shirika kubwa kama lile. Unless, hamjawahi kuiona NSSF ya former Minister for Finance.
Kwa taarifa yako hata mfanyeje huyo unaemuita mtoto bora yeye kuliko hili linyangumi linaloiangusha nasf
 
@barborosa alifungua uzi wenye mantiki humu ila wana jf walimuumua uso, alikula za uso za kutosha!
Mimi huwa nachelea kuchangia uzi anaofungua. Maandishi yanakuwa bold sana na wakati mwingine jinsi anavyoendelea kuandika yanazidi kukua kwahiyo napata impression kama anashout kwa maandishi. Na ole wako utofautiane na yeye. Wengine makelele hata kama ni ya kimaandishi hatuyawezi.
 
Mnaemtaka awe DG wa NSSF bado, hajatulia na ni mtoto mdogo katika uongozi wa shirika kubwa kama lile. Unless, hamjawahi kuiona NSSF ya former Minister for Finance.
Huyo mtoto ana miaka mingapi na dau alichukua Nssf akiwa na umri gani?kwa taarifa yako mtu alo I reform Nssf formerly npf ni mkulo,mkulo aliitoa npf na kuleta Nssf na huyu jamaa alokuwa anafanya investment zenye return nzuri,mfano mabobo hostel hela nimerudi kitambo,sasa niambie investment yoyote ya dau iliyo mature,UDOM mkenge,daraja ni kifo cha Nssf nk
 
Jeuri ya DAU nilianza isikia kitambo sana yaweza kuwa kweli hii.
Naona itabidi aende tuu hakuna namna huu upigaji too much
Yule aliyetaka kuendeleza coco anaweza akaguswa somehow.
 
Taarifa za ki intelijensia zolizonifika ni kuwa baada ya jipu wakala wa vipimo kutumbiliwa sasa hali ya wakubwa huko NSSF matumbo yako moto na kwa taariza zaidi hivi Leo Waziri mkuu majaliwa alokuwa atembelee NSSF lakini imeahirishwa ghafla.

Taariza toka jikoni watakaotumbuliwa ni mkuu wa shirika, mkuu wa miradi na uwekezaji pamoja na wote waliohusika kufanya miradi ya kisanii hasa daraja la Kigamboni ambako gharama halisi si zaidi ya bilioni 160 ila NSSF waliweka cha juu hadi 260b utakumbuka kuwa Magufuli wakati huo akiwa waziri wa ujenzi alimgomea dau kujenga na kusimamia daraja hilo ila dau alimzunguka kwa JK na hatimae JP aliondolewa ujenzi na kupelekwa uvuvi ndipo dau alipocheza mchezo na mkataba wa ujenzi ukasainiwa.

Kuna taarifa kuwa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi wakati huo JP alisharudi ujenzi, dau hakumtaarifu JP kuhusu ufunguzi huo kitu kilichomshangaza sana JP. Kwa taarifa za ndani ni kuwa bwana dau alokuwa na dharau sana enzi za JK na aliwaona mawaziri wote kama watunza bustani hata waziri wa kazi enzi hizo alokuwa hawezi kuhoji lolote pale NSSF maana dau akipiga simu kwa JK kibarua hatarini.
Adobe hebu chuki na fitina zako zisizidi weledi wa akili yako!
Magufuli anawezaje kuzuia dau asihusike ktk ujenzi wa daraja ambalo serikali kwa kiasi kikubwa imekopeshwa na NSSF? Labda useme hakumtaka awe mkurugenzi Mkuu vinginevyo hawezi kutohusika!
Kwa bil 100 kuwa ufisadi ni hakika ikithibitika ni jipu na lapaswa kutumbuliwa!
Lakini sehemu mbaya ktk thread yako ni siasa za chuki unazozishabikia ni mbaya sana! Ndio siasa zilizoipeleka awamu ya 4 pabaya! Kama Magufuli ataanza kupambana kwa kulipiza kisasi, definitely atahitaji kuwa na team itakayolinda maslahi yake, team ya umbea ili kumake sure hakuna adui ktk team yake na kundi kubwa na wapambe! Tutarejea awamu iliyopita!
Kama bwana Dau kaiba basi ahukumiwe kwa wizi wake na sio kumpigia simu JK, au ukaribu wake na raisi aliyepita! Hizo zinabaki kuwa ni taarifa za majungu na hiyo ni tabia mbaya kufanywa na wananchi au kiongozi Mkuu wa nchi!
 
My friend magufuli hakuzuia Bali alitaka serikali isimamie ujenzi na hzo hela zipitie hazina kwa kuwa alijua ule ni mwanya wa kuoitishia manyanga ya dau na jk kufanya ufisadi na ndocho kilichotokea
 
Taarifa za ki intelijensia zolizonifika ni kuwa baada ya jipu wakala wa vipimo kutumbiliwa sasa hali ya wakubwa huko NSSF matumbo yako moto na kwa taariza zaidi hivi Leo Waziri mkuu majaliwa alokuwa atembelee NSSF lakini imeahirishwa ghafla.

Taariza toka jikoni watakaotumbuliwa ni mkuu wa shirika, mkuu wa miradi na uwekezaji pamoja na wote waliohusika kufanya miradi ya kisanii hasa daraja la Kigamboni ambako gharama halisi si zaidi ya bilioni 160 ila NSSF waliweka cha juu hadi 260b utakumbuka kuwa Magufuli wakati huo akiwa waziri wa ujenzi alimgomea dau kujenga na kusimamia daraja hilo ila dau alimzunguka kwa JK na hatimae JP aliondolewa ujenzi na kupelekwa uvuvi ndipo dau alipocheza mchezo na mkataba wa ujenzi ukasainiwa.

Kuna taarifa kuwa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi wakati huo JP alisharudi ujenzi, dau hakumtaarifu JP kuhusu ufunguzi huo kitu kilichomshangaza sana JP. Kwa taarifa za ndani ni kuwa bwana dau alokuwa na dharau sana enzi za JK na aliwaona mawaziri wote kama watunza bustani hata waziri wa kazi enzi hizo alokuwa hawezi kuhoji lolote pale NSSF maana dau akipiga simu kwa JK kibarua hatarini.
Sio miradi tu huyu jamaa hata maswala ya ajira yeye vipaumbele anatumia criteria ya dini,mdini sana huyu dau, kama jipu lililoiva basi ni huyu mkurugenzi wa nssf,kwa hili nitamskuru sana mheshimiwa akila nae sahani moja maana jamii tumemchoka
 
Back
Top Bottom