Taarifa za ki intelijensia zolizonifika ni kuwa baada ya jipu wakala wa vipimo kutumbiliwa sasa hali ya wakubwa huko NSSF matumbo yako moto na kwa taariza zaidi hivi Leo Waziri mkuu majaliwa alokuwa atembelee NSSF lakini imeahirishwa ghafla.
Taariza toka jikoni watakaotumbuliwa ni mkuu wa shirika, mkuu wa miradi na uwekezaji pamoja na wote waliohusika kufanya miradi ya kisanii hasa daraja la Kigamboni ambako gharama halisi si zaidi ya bilioni 160 ila NSSF waliweka cha juu hadi 260b utakumbuka kuwa Magufuli wakati huo akiwa waziri wa ujenzi alimgomea dau kujenga na kusimamia daraja hilo ila dau alimzunguka kwa JK na hatimae JP aliondolewa ujenzi na kupelekwa uvuvi ndipo dau alipocheza mchezo na mkataba wa ujenzi ukasainiwa.
Kuna taarifa kuwa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi wakati huo JP alisharudi ujenzi, dau hakumtaarifu JP kuhusu ufunguzi huo kitu kilichomshangaza sana JP. Kwa taarifa za ndani ni kuwa bwana dau alokuwa na dharau sana enzi za JK na aliwaona mawaziri wote kama watunza bustani hata waziri wa kazi enzi hizo alokuwa hawezi kuhoji lolote pale NSSF maana dau akipiga simu kwa JK kibarua hatarini.