Baada ya jipu la wakala wa vipimo sasa kuhamia NSSF

Kumbuka wanataka kuunganisha mashirika yote ya hifadhi ya jamii. Kutakua na mashirika mawili tuu. moja for private na jingine kwa ajili public
 
Hivi mtu unapolipwa hela nyingi au mshahara mkubwa kuliko hata gharama za uendeshaji... unazifanyia nini hizo hela?
 
Magufuli alienda baada ya kumpigia simu dau na kumuuliza mbona ndugu yangu dau hujanipa taarifa za uwekaji jiwe LA msingi?
Majini ya dau:-
Kama umesikia kuwa jiwe LA msingi zinawekwa wee njoo tu.(jibu LA mtu kwenye PhD kwa kiongozi wake hilo)
Alionyesha dharau za wazi kwa jpm,kwa kujua hilo na kwa kuwa ndye alokuwa Waziri na kuwa ndye kwenye jukumu LA kumkaribisha rais,ilimbidi aende tu.dau anamwambia jpm eti hujasikia kwenye vyombo vya habari uwekaji jiwe LA msingi!!hakujua jpm ni senior kwake?!!
  • Wakati wanaongea haya wewe ulikuwa wapi? Ni kwamba ulikuwa ni secretary wa Magufuli au Dau na ulikuwa na tabia ya kusikiliza simu zake, au?
  • Daraja la Kigamboni ni mradi wa serikali kupitia Wizara ya Ujenzi kwa kushirikiana na NSSF! Sasa inakuaje waziri wa wizara husika asifahamu juu ya uwekaji wa jiwe la msingi hadi afikie kupiga simu NSSF kuuliza mbona hakupewa taarifa?
  • By the way, kwanini apewe taarifa na DG wa NSSF wakati wizara yake ni mdau wa mradi (40%)? Unataka kusema kinachoendelea kwenye ujenzi ule wizara hawatakiwi kufahamu na hawana wajibu wa kufahamu hadi pale NSSF wanapotaka serikali ifahamu?
 
Haya maswali si ndio ukawaulize hao NSSF waliofanya kama ni mradi wao peke yao? Au hujamuelewa mleta mada...kasome tena unless umetumwa kutetea usichokijua
 
Tena aende haraka nasikia hata kazi zilikua zinatolewa kwa kuangalia dini
 
Kwani waliosema Magufuli hakupewa taarifa ni NSSF hata utake nikawaulize NSSF?
 
  • Wakati wanaongea haya wewe ulikuwa wapi? Ni kwamba ulikuwa ni secretary wa Magufuli au Dau na ulikuwa na tabia ya kusikiliza simu zake, au?
  • Daraja la Kigamboni ni mradi wa serikali kupitia Wizara ya Ujenzi kwa kushirikiana na NSSF! Sasa inakuaje waziri wa wizara husika asifahamu juu ya uwekaji wa jiwe la msingi hadi afikie kupiga simu NSSF kuuliza mbona hakupewa taarifa?
  • By the way, kwanini apewe taarifa na DG wa NSSF wakati wizara yake ni mdau wa mradi (40%)? Unataka kusema kinachoendelea kwenye ujenzi ule wizara hawatakiwi kufahamu na hawana wajibu wa kufahamu hadi pale NSSF wanapotaka serikali ifahamu?
Hebu tuambie hiyo 40% hadi sasa serikali imetoa shs ngapi
 
Taarifa za ki intelijensia zolizonifika ni kuwa baada ya jipu wakala wa vipimo kutumbiliwa sasa hali ya wakubwa huko NSSF matumbo yako moto na kwa taariza zaidi hivi Leo Waziri mkuu majaliwa alokuwa atembelee NSSF lakini imeahirishwa ghafla.

Taariza toka jikoni watakaotumbuliwa ni mkuu wa shirika, mkuu wa miradi na uwekezaji pamoja na wote waliohusika kufanya miradi ya kisanii hasa daraja la Kigamboni ambako gharama halisi si zaidi ya bilioni 160 ila NSSF waliweka cha juu hadi 260b utakumbuka kuwa Magufuli wakati huo akiwa waziri wa ujenzi alimgomea dau kujenga na kusimamia daraja hilo ila dau alimzunguka kwa JK na hatimae JP aliondolewa ujenzi na kupelekwa uvuvi ndipo dau alipocheza mchezo na mkataba wa ujenzi ukasainiwa.

Kuna taarifa kuwa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi wakati huo JP alisharudi ujenzi, dau hakumtaarifu JP kuhusu ufunguzi huo kitu kilichomshangaza sana JP. Kwa taarifa za ndani ni kuwa bwana dau alokuwa na dharau sana enzi za JK na aliwaona mawaziri wote kama watunza bustani hata waziri wa kazi enzi hizo alokuwa hawezi kuhoji lolote pale NSSF maana dau akipiga simu kwa JK kibarua hatarini.
huyo dau yafaa atumbuliwe sasa. watu wanafuga midevu na kujidai kufuata swalaa ili kujenga himaya za kifisadi kwa kuingiza udini.
 
Tena aende haraka nasikia hata kazi zilikua zinatolewa kwa kuangalia dini
Ewaaa ila waloajiriwa kwa dini yake au kabila lake wasubiri kitakachotokea dau akiondolewa
 
Back
Top Bottom