Baada ya jipu la wakala wa vipimo sasa kuhamia NSSF

Baada ya jipu la wakala wa vipimo sasa kuhamia NSSF

My friend magufuli hakuzuia Bali alitaka serikali isimamie ujenzi na hzo hela zipitie hazina kwa kuwa alijua ule ni mwanya wa kuoitishia manyanga ya dau na jk kufanya ufisadi na ndocho kilichotokea
Hofu yangu ni juu ya uzushi wa taarifa na kuwa sehemu ya chuki na majungu!
Ni mwana intelijensia gani anayekupa habari ya siri na wewe uisambaze?
Lkn ziara ya kushtukiza ya waziri Mkuu ndio itakayoelezea ufisadi huo wenye miaka zaidi ya 10? Kwani hati ya mkataba haipo hazina anayo Dau ofisini kwake?
Na kama ilikuwa ziara ya ghafla sasa wewe mbona umeitoa hadharani? Lengo lako nini? Kuwafanya NSSF washtuke na kufuta uozo wao au ni kutaka kuwa wa kwanza kuleta habari!
 
Mhh hiyo ziara ya gafla imetoka wapi tena humu
 
Au ndo mwendo wa kusahau mavi ya kale kwa kuwa hayanuki?? Kimei naye ana kesi ya kujibu kwa kuwezesha dili la Richmond kufanyika tena jumapili
 
Dr. Dau ni mchapakazi!!! katika eneo ambalo MZEE MKAPA ALICHEZA KAMA PELE NI KUMUWEKA DAU NSSF...

acheni mjungu
 
Magufuli alienda baada ya kumpigia simu dau na kumuuliza mbona ndugu yangu dau hujanipa taarifa za uwekaji jiwe LA msingi?
Majini ya dau:-
Kama umesikia kuwa jiwe LA msingi zinawekwa wee njoo tu.(jibu LA mtu kwenye PhD kwa kiongozi wake hilo)
Alionyesha dharau za wazi kwa jpm,kwa kujua hilo na kwa kuwa ndye alokuwa Waziri na kuwa ndye kwenye jukumu LA kumkaribisha rais,ilimbidi aende tu.dau anamwambia jpm eti hujasikia kwenye vyombo vya habari uwekaji jiwe LA msingi!!hakujua jpm ni senior kwake?!!

Duuu, kama ni kweli majibu hayo, basi ni balaaa!!!!!!!!!!!
 
Naomba utueleze jambo zuri alilofanya dau lenye faida kwa wadau wake ie wanachama na mfuko wenyewe.
Uwekezaji wa dau hauna faida zaidi yavkujinufaisha yeye na watu wke,utaujua ukweli mda si mrefu.hebu utueleze faida za utapeli ulifanyika wa kujenga shule na real Madrid,unajua kilichotokea,uliza nyumba za bei nafuu wanazojenga,fahamu garama halisi za ujenzi wa daraja na garama walizojiwekea,dege village pakoje?

Mnaemtaka awe DG wa NSSF bado, hajatulia na ni mtoto mdogo katika uongozi wa shirika kubwa kama lile. Unless, hamjawahi kuiona NSSF ya former Minister for Finance.
Kwa taarifa yako hata mfanyeje huyo unaemuita mtoto bora yeye kuliko hili linyangumi linaloiangusha nas
AHAAAAA KUMBE SHINYANGA KWETU MAJUNGU YOTE HAYO KWA DAU UNA MPIGIA DEBE JAMAA YAKO ????.
MAJUNGU+UONGO+FITINA+UKABILA+UDINI=UBINAFSI=HAVITAMLETEA MAENDELEO MDAU WA NSSF NA WATANZANIA KWA UJUMLA, TUPIGE KAZI , TUWE WAKWELI NA WAADILIFU TUITENDEE HAKI MAMA TANZANIA.
MSHAURI JAMAA YAKO AJIONGEZE, APIGE KAZI, AACHE MAJUNGU NA KAMA ANA SIFA NA VIGEZO ATAPEWA SHAVU.
hapa KAZI
 
Hivi ule uzalishaji Umeme wamefikia wapi hawa wasanii,imebumaeee
 
Magufuli alienda baada ya kumpigia simu dau na kumuuliza mbona ndugu yangu dau hujanipa taarifa za uwekaji jiwe LA msingi?
Majini ya dau:-
Kama umesikia kuwa jiwe LA msingi zinawekwa wee njoo tu.(jibu LA mtu kwenye PhD kwa kiongozi wake hilo)
Alionyesha dharau za wazi kwa jpm,kwa kujua hilo na kwa kuwa ndye alokuwa Waziri na kuwa ndye kwenye jukumu LA kumkaribisha rais,ilimbidi aende tu.dau anamwambia jpm eti hujasikia kwenye vyombo vya habari uwekaji jiwe LA msingi!!hakujua jpm ni senior kwake?!!
Kama ni kweli ndio mimi naamua kujiuzulu mapema wakati wa kampeni maana siwezi kusubiri.
 
Ukitaka kuona roho za kikristo soma uzi kama hizi, hili li dini ndo maana linakufa kwa kasi, limebaki ni li dini la waafrika wa africa, na waafrika matapeli wa usa, wazungu na wayahudi walishalipiga chini siku nyingi
 
Kuna taarifa kuwa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi wakati huo JP alisharudi ujenzi, dau hakumtaarifu JP kuhusu ufunguzi huo kitu kilichomshangaza sana JP. Kwa taarifa za ndani ni kuwa bwana dau alokuwa na dharau sana enzi za JK na aliwaona mawaziri wote kama watunza bustani hata waziri wa kazi enzi hizo alokuwa hawezi kuhoji lolote pale NSSF maana dau akipiga simu kwa JK kibarua hatarini.

Vipi na ule mradi wa Dege Eco Village si itakuwa balaa?
Tetesi zinasema washirika wa mradi wengine wametimua mbio na mradi kwa sasa umesimama kwa muda !. huku hakukosekani majipu.

For more information, visit Dege Exo Village website at Dege Eco Village

Wajumbe Bodi ya Wakurugenzi NSSF Watembelea Ujenzi ...
www.thehabari.com › featured
Translate this page
Mkurugenzi wa Kampuni ya Azimio, Mohamed Ikubal (mwenye kanzu) akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya NSSF jengo la mauzo ya nyumba za mradi wa Dege
 
Hiki ndocho kitanzi kingine cha dau

WAJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo wametembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa unaojulikana kwa jina la Dege ECO Village unaojengwa eneo la Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Ujenzi huo wa mji wa kisasa ambao utakuwa na nyumba za kuishi za kisasa za watu wa kipato cha kati unajumuisha ujenzi wa nyumba zaidi ya 7,000 zikiwa na huduma zote za kujamii eneo moja.

Akizungumzia mradi huo mkubwa unaotekelezwa kati ya NSSF kwa ushirikiano na kampuni ya Azimio, Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo aliwaeleza wajumbe wa Bodi ya shirika hilo kuwa ujenzi wa makazi hayo ya kisasa kwa wananchi wa kipato cha kati unaendelea vizuri.

Alisema eneo hilo litakuwa na nyumba bora na za kisasa zikiwa na huduma zote za msingi kwa jamii kama maduka, shule, hospitali, masoko, viwanja vya michezi, kituo cha polisi, kituo cha zimamoto, eneo la ujenzi wa majengo ya ibada, majengo ya burudani pamoja na miundombinu ya kisasa ya maji safi na maji taka.

Alisema ujenzi wa mradi huo wa kisasa utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kuchukua watu takribani elfu 30 ambao watapata makazi bora nay a kisasa katika eneo hilo la Kigamboni.

Akifafanua zaidi Mhandisi Msemo alisema ujenzi wa nyumba hizo utakuwa na awamu tatu; ambapo awamu ya kwanza itakamilika mwaka 2016 ikiwa na nyumba 2,500, huku awamu ya pili ya ujenzi itakamilika 2017 ikiwa na nyumba bora na za kisasa 2,500.
“…Awamu ya tatu tunatarajia ikamilike mwaka 2018 hii itakuwa na nyumba 2,460,” alisema Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi Msemo akifafanua zaidi kwa waandishi wa habari juu ya mradi huo.

Aidha akijibu baadhi ya maswali ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa NSSF, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Dk. Ramadhan Dau alisema nyumba zote zitakazojengwa katika mradi huo zitauzwa kwa watu wenye kipato cha kati watakaohitaji. Alisema zipo zitakazouzwa kwa fedha taslimu na nyingine kwa makubaliano ya mikopo kadri ya utaratibu utakavyotolewa na shirika hilo pamoja na mwekezaji walieshirikiana naye kutekeleza mradi huo, yaani kampuni ya Azimio.

Alisema bei ya nyumba moja inakadiriwa kuuzwa kuanzia dola za Kimarekani elfu 80 hadi 130, na tayari wameanza kupokea fedha na maombi kwa watakaohitaji au kulipa kidogo kidogo kwa utaratibu utakao kubalika. Hata hivyo baadhi ya wajumbe wa bodi walipongeza juhudi za uongozi wa NSSF kwa kubuni mradi huo wa kisasa ambao utawasaidia wengi na hivyo kushauri kuna haja ya kutekelezwa na mikoa mingine.
*Imeandaliwa na www.thehabari.com

Jiunge nasi kwenye so
 
Back
Top Bottom