Ngoja niongeze Popcorn'skazi wanayo! JPM alinyimwa fimbo sasa kapewa rungu. waliojifanya kujua kuzunguka sasa wataisoma namba. yangu macho!!
Taarifa za ki intelijensia zolizonifika ni kuwa baada ya jipu wakala wa vipimo kutumbiliwa sasa hali ya wakubwa huko NSSF matumbo yako moto na kwa taariza zaidi hivi Leo Waziri mkuu majaliwa alokuwa atembelee NSSF lakini imeahirishwa ghafla.
Taariza toka jikoni watakaotumbuliwa ni mkuu wa shirika, mkuu wa miradi na uwekezaji pamoja na wote waliohusika kufanya miradi ya kisanii hasa daraja la Kigamboni ambako gharama halisi si zaidi ya bilioni 160 ila NSSF waliweka cha juu hadi 260b utakumbuka kuwa Magufuli wakati huo akiwa waziri wa ujenzi alimgomea dau kujenga na kusimamia daraja hilo ila dau alimzunguka kwa JK na hatimae JP aliondolewa ujenzi na kupelekwa uvuvi ndipo dau alipocheza mchezo na mkataba wa ujenzi ukasainiwa.
Kuna taarifa kuwa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi wakati huo JP alisharudi ujenzi, dau hakumtaarifu JP kuhusu ufunguzi huo kitu kilichomshangaza sana JP. Kwa taarifa za ndani ni kuwa bwana dau alokuwa na dharau sana enzi za JK na aliwaona mawaziri wote kama watunza bustani hata waziri wa kazi enzi hizo alokuwa hawezi kuhoji lolote pale NSSF maana dau akipiga simu kwa JK kibarua hatarini.
Pamoja na kutaka kwako kujionesha wewe ndo unafahamu sana na mimi ni mtu wa hovyo lakini mwisho wa siku na wewe umeishia kuzungumzia irrelevant subject kama mwenzako coz' pamoja na kujionesha wewe ndo unafahamu lakini bado ukashindwa kutumia japo dakika moja kuangalia nilimuuliza nini hadi nikafikia kusema jibu lake ni irrelevant! Sasa kwa kuwa umejitokeza kumsaidia, anza kwanza kumjibia nilichomuuliza manake swali lake kwamba serikali imetoa ngapi "hadi sasa" halikuwa na uhusiano na maswali yangu! Haya ndo maswali ambayo nilimuuliza:We kumbe hovyo,tukisema serikali inafanyia ubia 40% sasa hebu mfafanulie hiyo 40% serikali imetoa shs ngapi unaisha kusema irrelevant,kama hujui jambo waache wajuaji wanene,ukweli wa ujenzi wa hili daraja ni kuwa serikali wali pledge 40% ila hadi sasa hakuna sent tano iliyotolewa,na hii ni baada ya jpm kugundua Mchezo mchafu wa dau hakuomba bajeti ya ku finance huo mradi maana kodi zetu zingepotea bure kwa dau kuzilamba hovyo mzigo ukaangukia kwa Nssf kujenga kwa michango ya wafanyakazi.hili ni janga kwani wafanyakazi watakapozitaka hela zao na kuzikosa barabara zetu zitakuwa ndogo Lisa mjinga mmoja dau kaamua kufuja hela zao
- Wakati wanaongea haya wewe ulikuwa wapi? Ni kwamba ulikuwa ni secretary wa Magufuli au Dau na ulikuwa na tabia ya kusikiliza simu zake, au?
- Daraja la Kigamboni ni mradi wa serikali kupitia Wizara ya Ujenzi kwa kushirikiana na NSSF! Sasa inakuaje waziri wa wizara husika asifahamu juu ya uwekaji wa jiwe la msingi hadi afikie kupiga simu NSSF kuuliza mbona hakupewa taarifa?
- By the way, kwanini apewe taarifa na DG wa NSSF wakati wizara yake ni mdau wa mradi (40%)? Unataka kusema kinachoendelea kwenye ujenzi ule wizara hawatakiwi kufahamu na hawana wajibu wa kufahamu hadi pale NSSF wanapotaka serikali ifahamu?
Umbea hauna posho!Taarifa za ki intelijensia zolizonifika ni kuwa baada ya jipu wakala wa vipimo kutumbiliwa sasa hali ya wakubwa huko NSSF matumbo yako moto na kwa taariza zaidi hivi Leo Waziri mkuu majaliwa alokuwa atembelee NSSF lakini imeahirishwa ghafla.
Taariza toka jikoni watakaotumbuliwa ni mkuu wa shirika, mkuu wa miradi na uwekezaji pamoja na wote waliohusika kufanya miradi ya kisanii hasa daraja la Kigamboni ambako gharama halisi si zaidi ya bilioni 160 ila NSSF waliweka cha juu hadi 260b utakumbuka kuwa Magufuli wakati huo akiwa waziri wa ujenzi alimgomea dau kujenga na kusimamia daraja hilo ila dau alimzunguka kwa JK na hatimae JP aliondolewa ujenzi na kupelekwa uvuvi ndipo dau alipocheza mchezo na mkataba wa ujenzi ukasainiwa.
Kuna taarifa kuwa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi wakati huo JP alisharudi ujenzi, dau hakumtaarifu JP kuhusu ufunguzi huo kitu kilichomshangaza sana JP. Kwa taarifa za ndani ni kuwa bwana dau alokuwa na dharau sana enzi za JK na aliwaona mawaziri wote kama watunza bustani hata waziri wa kazi enzi hizo alokuwa hawezi kuhoji lolote pale NSSF maana dau akipiga simu kwa JK kibarua hatarini.
hahahaa nirushie nami pia.Ngoja niongeze Popcorn's
Kwani una tatizo na uswalihina wake?Ngoja ushahidi utakapowekwa kati ndo utajua huyo mnaemsujudu kuwa ni mswahilina ni tambaazi au kipele
kiukweli magufuli si nguvu ya soda ila ni nguvu ya soda jumlisha gongo kasema yeyeNgoja tutiane adabu kwanza ili mambo yaende sawa manina zao.
Suala la udini halipo hapa kwani ni taasisi ngapi ambazo DG ni wakristo na watu mbona dini zote wapo ndani ya taasisi.hata NSSF mbona wakristu ni wengi kuliko waisilamu.acha wivu wa kijinga kakaJamani hili LA udini kuacha kikwete aloutengeneza tena kiuwazi ni dau,aliwahiuambia kijana alienda kuomba kazi tena kwa kimemo toka majuu:-
Akikuuliza jina lake,kosa Dogo alipotaja jina,dau alimpa live kuwa kama wewe mkristu sahau kupata kazi Nssf,huyu ni dau anaesubiri thawabu kwa kuwatoa waislamu
Mkuu huo ushabiki tu toa ushahidiHapo nssf nijipu uchungu aisee huyu jamaa nasikia alijigeuza mugu mtu kwa kuajiri waslamu tu pale ukiwa dini nyingine sahau kupata kibarua pale anapesa chafu na maekaru nasikia
Kumbe daraja limeshafunguliwa! Lilifunguliwa lini?Ila ufunguzi Wa daraja mbona magufulialikuwepo
Dau labda ana mabaya yake lakini mtendeeni haki!Jamani hili LA udini kuacha kikwete aloutengeneza tena kiuwazi ni dau,aliwahiuambia kijana alienda kuomba kazi tena kwa kimemo toka majuu:-
Akikuuliza jina lake,kosa Dogo alipotaja jina,dau alimpa live kuwa kama wewe mkristu sahau kupata kazi Nssf,huyu ni dau anaesubiri thawabu kwa kuwatoa waislamu