Baada ya chuo ningepata kibarua, malipo!

Baada ya chuo ningepata kibarua, malipo!

Dah hako kadada hizi meseji nimezipenda bure .
Kanatia hamasa na kanatia nguvu ya kupambana aisee bila kenyewe na huu msoto unaopitia ungekuwa umekufilia mbali kabisa .

Anyway boss kubwa mwambie tulikubaliana nini ili aanze upya akiwa nje ya makubaliano temana na hiyo kazi tafuta kwingine
Oya mamaa imenyooka, hapa kama ni swala la kupendwa napendaa wazee since 2016, bad thing kaajiriwa hizo insecurity sasa zinatuweka pabaya plus ke akikuzid kipato Kuna namna tu😀😀
 
Oya mamaa imenyooka, hapa kama ni swala la kupendwa napendaa wazee since 2016, bad thing kaajiriwa hizo insecurity sasa zinatuweka pabaya plus ke akikuzid kipato Kuna namna tu😀😀
Huyo ni mshua dogo rasi!
 
Hukuwepo soma kuanzia mwanzo utaelewa lols
Ni Kwanini umebadili id unataka kutufanyanini?😅
Kuna mama moja nataka niibukie na nyuzi kama yule forest cjui na mwenzie chai ya rangi 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom