MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 8,902
- 24,162
Umepigwa ndoige mpaka umekubali kaka yaani umesahau namba tunawekaga PM umempa hapa hapa .Point tupu, sema nimemwambia nitampigia simu nkae ntafakari coz skufikiria hivyo vile ambavyo yeye ananilipa, mkuu naomba tuwasiliane 0769442907
Mawazo Yako ni chanya sana🙏🙏✅
Kikubwa awe salama ila yakitokea mengine sitasita kukutafuta 😀