Baada ya chuo ningepata kibarua, malipo!

Jamaa kashaonekana kapata kibarua usitegemee ataendelea kukaa bure lazma nae atie mkono kwa namna moja au nyingne hapo wanapo ishi.

Ndyo maana sijamshauri aondoke papo hapo lakini atafte sehemu nyingne, uthubutu ndo kila kitu kwanini ajitese kwa 5k kuanzia asubuh mpaka jioni non stop akati kunasehemu anaweza angaikia akapata pesa zaidi ya hyo ko bado wanamnyonya tu.

Hata watu wa jikokoa kinondoni hawawezwi lipwa hvo mkuu.
Ndio maisha! Kuna watu wanatafuta hata hiyo yake hawapati! Kwahivyo aangalie unafuu anaupataje tu!
 
5k zidisha 30 days hapo ni 150k huo ni mshahara wa mlinzi anaelinda geti somewhere sio mbaya lakini mradi maisha yanasonga
Nalipwa per day na nvae official yaani ukiniona road huwezi Amini kama nalipwa hiyo pesa asee, maumivu kila mahali
Umepigwa ndoige mpaka umekubali kaka yaani umesahau namba tunawekaga PM umempa hapa hapa .

Kikubwa awe salama ila yakitokea mengine sitasita kukutafuta 😀
Uhali
Mjibu kuhusu chakula kwanza😂😂
Kejeli sasa
 
5k zidisha 30 days hapo ni 150k huo ni mshahara wa mlinzi anaelinda geti somewhere sio mbaya lakini mradi maisha yanasonga
Nalipwa per day na nvae official yaani ukiniona road huwezi Amini kama nalipwa hiyo pesa asee, maumivu kila mahali
Umepigwa ndoige mpaka umekubali kaka yaani umesahau namba tunawekaga PM umempa hapa hapa .

Kikubwa awe salama ila yakitokea mengine sitasita kukutafuta 😀
Uhali
 
Seran nakusalimu kwa jina la Jamuhuri🤣🤣🤣
Haya mambo ni magumu sana mamkali🤦🏽‍♀️
DCC29D0B-6960-4E3E-976E-B8D5494AFBFE.jpeg
 
Jamaa kashaonekana kapata kibarua usitegemee ataendelea kukaa bure lazma nae atie mkono kwa namna moja au nyingne hapo wanapo ishi.

Ndyo maana sijamshauri aondoke papo hapo lakini atafte sehemu nyingne, uthubutu ndo kila kitu kwanini ajitese kwa 5k kuanzia asubuh mpaka jioni non stop akati kunasehemu anaweza angaikia akapata pesa zaidi ya hyo ko bado wanamnyonya tu.

Hata watu wa jikokoa kinondoni hawawezwi lipwa hvo mkuu.
Hakika
 
tulikutana na wahuni wakitaka kufanyiwa photoshop kwa 10 kwa siku kwa mwezi 310 enh malipo 100k, enh usafiri wako msosi wako kifupi kufa kivyako. Nikasma narudi geto nikaaka na pc geto ikanipa 10milioni kwa miezi 4 tu nikawa doni na mimi nikaanza mkwara we endelea kula 5k
 
Una uhakika😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom