Baada kuwa gereza kubwa la wazi, Gaza imegeuka ni kaburi la sheria za kibinadamu

Waafrika hatima akili hata ya kiwango Cha nyani. Watu Bado tumeendelea kukomaa kwamba Wapalestina waendelee kufa tu kisa waliichokiza Israel wakati wenye akili wanasema GAZA inekuwa gereza la wazi miaka mingi
NYINYI NDO MLISHANGILIA KIFO CHA MOLLEL
JIITE NYANI KABISA , WAPALESTINA HATA KUWATAMBUA KAMA BINADAMU HAWAWEZ ILA UPO BUSY KUWASHABIKIA
WAO WANAKUITA MTUMWA
 
Wachangiaji wengi wanaendeshwa na mihemko,hawajadili facts!Jukwaa limekuwa Kama kijiwe Cha kahawa au kibaraza Cha mipasho,ni nadra sana kukutana na comment ambayo Kama mtu mweledi unasema Yes,nimepata kitu!
Michango mingi humu ni nonsense!
ISRAEL FOREVER

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL

NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR
 
Wazee wa kulia lia
Wakuonewa huruma
Wavaa vipedo
Kuleni vyuma hivooo
 
Wachangiaji wengi wanaendeshwa na mihemko,hawajadili facts!Jukwaa limekuwa Kama kijiwe Cha kahawa au kibaraza Cha mipasho,ni nadra sana kukutana na comment ambayo Kama mtu mweledi unasema Yes,nimepata kitu!
Michango mingi humu ni nonsense!
Acha dharau ww kwa hiyo waliochangia wote humu unaona ni mazoba 🥸
 
Hamas walipovamia Israel wakaua na kuteka watu, mlishangilia wala hamkusema Mambo ya Gereza wala Kaburi. Mliwaita Makomandoo.

Leo mumebanwa makagare mnaanza kuokoteza vihabari vya kuwatetea Hamas na kutia tia huruma. Mara mposti picha watoto wamekufa. Nani aliwaambia vita ina macho? Wanawake na watoto tunasema wamekufa vitani. Hadi mtakapojifunza kuwalinda watoto wenu na wwke zetu. Otherwise mtabaki wanaume tu ndani ya mahandaki. Na bado mtanyoka. Piga hao Hamas na ndugu zao
Ushawahi kujiuliza kwa nini Hamas walikwenda Israel kushambulia! Au una conclude kwa ulicho kiona siku ile ya tarehe 7?
 
Hamas walipovamia Israel wakaua na kuteka watu, mlishangilia wala hamkusema Mambo ya Gereza wala Kaburi. Mliwaita Makomandoo.

Leo mumebanwa makagare mnaanza kuokoteza vihabari vya kuwatetea Hamas na kutia tia huruma. Mara mposti picha watoto wamekufa. Nani aliwaambia vita ina macho? Wanawake na watoto tunasema wamekufa vitani. Hadi mtakapojifunza kuwalinda watoto wenu na wwke zetu. Otherwise mtabaki wanaume tu ndani ya mahandaki. Na bado mtanyoka. Piga hao Hamas na ndugu zao
Hata Mimi hiki kitu kinanishangaza Sana kwanini watu wengi wanatetea sana Gaza, Israeli hawakufa watoto? na wanawake?.
I mean Gaza kaanza kupiga Israeli akiwa amelala akaua watu wake,Ila Israeli alipoamua kujitetea ndio akawa kakosea?
Halafu watu wanaokomaa eti " pray for Gaza" mara sijui human rights (Tena waafrika)wengi wao ni wanafiki tu, wewe Kama unataka kupray Basi pray for victims on both countries kwa sababu hiyo ni vita na vita haina macho victims wote wanaokufa hawahusiki kabisa(refer Joshua Molel).
Mbona ndugu zetu huko Sudan na hapa Congo tu wanakufa na vita ambayo haiishi lakini Hawa wanaojiita watetezi wa watoto na wanawake na prayer warriors hawasemi kitu, what's so special about Gaza?.
 
Waafrika hatima akili hata ya kiwango Cha nyani. Watu Bado tumeendelea kukomaa kwamba Wapalestina waendelee kufa tu kisa waliichokiza Israel wakati wenye akili wanasema GAZA inekuwa gereza la wazi miaka mingi
Washughulikiwe bila huruma! Kwanza waliwaua Watanzania wenzetu bila hatia
 
Hamas inatakiwa ifutwe kwenye uso wa dunia magaidi wakubwa hao, wameua watanzania kikatili bila kosa ngoja na wenyewe waipate.

Umejuaje kama ni hamas wamewauwa ndugu zako wayahudi weusi?

Na kama ni hamas wamewauwa utasemaje wamewaua bila kosa! Mbona mateka wameshikiliwa na kuachiliwa bila kudhuriwa!

Screenshot_20231222-074613_Gallery.jpg
 
Washughulikiwe bila huruma! Kwanza waliwaua Watanzania wenzetu bila hatia

Kama walihusika kuuwa ndugu zetu waislamu basi ni halali yao kuuawa, japo hakuna ukweli kama wameuawa na Hamas/freedom fighters

Weka clip hapa tuone kama wameuwa na hamas na sio kuleta chuki hapa
 
Wachangiaji wengi wanaendeshwa na mihemko,hawajadili facts!Jukwaa limekuwa Kama kijiwe Cha kahawa au kibaraza Cha mipasho,ni nadra sana kukutana na comment ambayo Kama mtu mweledi unasema Yes,nimepata kitu!
Michango mingi humu ni nonsense!
Ukichangia wewe hiyo yenye sense inatosha

Humu watu wanachangia hoja kutokana na akili ya mtoa mada

Sasa wewe Uzi wa mtu nonsense Kama Alwaz inatakiwa kuchangiwa kinonsense nonsense tu
 
Ile Jihadi imepotelea wapi?
Wapi Akbar?

Mjitambue kuwa nyie ni wa dalaja la pili kwenye hii Dunia.
Kila kitu chenu mnawategemea hao wa dalaja la juu, mnaowaita Makafiri.
Na hamwezi kushitaki popote mkashinda bila hiyari ya hao hao mnao waita Makafiri.

Tatizo mnajiamini sana na dharau tele kwa kudanganywa yule tapeli wa dunia.
Mtapigwa hadi akili ziwarudie tena.
 
Hata Mimi hiki kitu kinanishangaza Sana kwanini watu wengi wanatetea sana Gaza, Israeli hawakufa watoto? na wanawake?.
I mean Gaza kaanza kupiga Israeli akiwa amelala akaua watu wake,Ila Israeli alipoamua kujitetea ndio akawa kakosea?
Halafu watu wanaokomaa eti " pray for Gaza" mara sijui human rights (Tena waafrika)wengi wao ni wanafiki tu, wewe Kama unataka kupray Basi pray for victims on both countries kwa sababu hiyo ni vita na vita haina macho victims wote wanaokufa hawahusiki kabisa(refer Joshua Molel).
Mbona ndugu zetu huko Sudan na hapa Congo tu wanakufa na vita ambayo haiishi lakini Hawa wanaojiita watetezi wa watoto na wanawake na prayer warriors hawasemi kitu, what's so special about Gaza?.
Bahati mbaya wewe mgogoro wa gaza unadhan umeanza hamas walipovamia October,
Weka hisia za dini pembeni kisha fatilia matukio wanayofanyiwa wapalestina before huo uvamis unaousema kisha urudi,

Najua utaegeme upande w dini ila kama utakua honest, itaelewa why Israel is evil state
 
IDF Jeshi Bora Duniani Hawa Hamas waendelee Kuishi Kwenye Mashimo Njaa Ndio Itawatoa Na Tukijua Mashimo Yao Tutaziba Juu Ili Wafie Humo Humo
 
Kama walihusika kuuwa ndugu zetu waislamu basi ni halali yao kuuawa, japo hakuna ukweli kama wameuawa na Hamas/freedom fighters

Weka clip hapa tuone kama wameuwa na hamas na sio kuleta chuki hapa
Magaidi yalikua yanaua kila raia aliekua mbele yao. Haijalishi kama unahusika ama la.
Ilikua random massacre
 
Aliyefungua hiyo kesi ICJ Africa kusini ni Muislamu mwanamama swala tano waziri wa mambo ya nchi za nje wa Afrika ya kusini

Chief Prosecutor wa ICJ ambaye aliwakilisha hayo mashtaka dhidi ya Israel ICJ ni Muislamu Karim

Ulitegemea Israel iheshimu maamuzi ya waislamu ambao inaoambana nao Gaza?
Waafrika uwezo wenu ni mdogo sana. Uislamu na haki za wapalestina walioporwa ardhi kwa nguvu tangu mwaka 1947 na wazungu kunahusiana nini? Kwani ili muweze kuchambua na kutetea haki za watu kuishi chini ya jua lazima muihusishe dini?

Hakina hizi dini za kuletwa zimewafanya Wafrika na hasa Watanzania wawe na akili mavi vichwani.
 
Back
Top Bottom