Baada kuwa gereza kubwa la wazi, Gaza imegeuka ni kaburi la sheria za kibinadamu

Waafrika hatima akili hata ya kiwango Cha nyani. Watu Bado tumeendelea kukomaa kwamba Wapalestina waendelee kufa tu kisa waliichokiza Israel wakati wenye akili wanasema GAZA inekuwa gereza la wazi miaka mingi
Achana nawapalestina tuwatetee kwanza wasudani wenzetu
 
Vita ina Sheria zake, ukikaa kimwa adui anaendelea kukupa kichapo.
Ukisalenda.
Hamas wanatakiwa kusalenda au kusema Mateka wameuawa wote.

Kukaa kimya kunaonyesha unaendelea na vita. Adui anaendelea kujipanga na kutoa kichapo.
Israeli Iko vitani na haiwezi kuacha mpaka isikie upande wa pili unasemaje, adui anasemaje.

Kiukweli Hamas wameshindwa vita ila wanajikaza tu. Na sasa wanajuta kwanini walianzisha ugomvi usio wa rika lao.

Israeli bado anapigana kuwaokoa mateka wake na ni halari yake kwa kanuni za vita.

Vita havina macho. Hamas alipoivamia Israeli hakuchagua wa kumwua.

Kama Hamas alikuwa na kisasi na Serikali ya Israeli angepiga kambi ya Jeshi na sio raia wasio na hatia.

Acheni Hamas waadabishwe ili aheshimu Sheria za Kimataifa za vita, na mwisho wa vita ni Hadi Serikali ya Hamas iangushwe yote na kuwekwa Serikali nyingine itakayo ratibiwa na aliyeshinda vita.
Yaani Israeli.
 
Back
Top Bottom