OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,234
- 103,867
Umeanzisha mada?Hivi waliotangaza kuwa maisha ni magumu sana mabasi yamepaki hamna abiria wa kusafiri, wanajisikiaje kuona watu wamekosa mabasi ,na wengine wakidandia coaster kwa nauli mara mbili.
Aibu ya kufungia mwaka hii.
MTU akikuambia kuna njaa, usimuulize mbona umekula ugali Leo na umebakiza? Unatakiwa kujifunza kuelewa ktk mawanda mapanaHivi waliotangaza kuwa maisha ni magumu sana mabasi yamepaki hamna abiria wa kusafiri, wanajisikiaje kuona watu wamekosa mabasi ,na wengine wakidandia coaster kwa nauli mara mbili.
Aibu ya kufungia mwaka hii.
Hivi waliotangaza kuwa maisha ni magumu sana mabasi yamepaki hamna abiria wa kusafiri, wanajisikiaje kuona watu wamekosa mabasi ,na wengine wakidandia coaster kwa nauli mara mbili.
Aibu ya kufungia mwaka hii.
Tangu lini MTU Serious akashindwa Kwenda kwaoHivi waliotangaza kuwa maisha ni magumu sana mabasi yamepaki hamna abiria wa kusafiri, wanajisikiaje kuona watu wamekosa mabasi ,na wengine wakidandia coaster kwa nauli mara mbili.
Aibu ya kufungia mwaka hii.
Unajua kuna watz mpaka sasa wana lala njaa huku Dodoma kutokana na mvua kuzidi walikosa chakula cha kutosha kwa hiyo mvua ikiendelea kuchelewa na selekali ikatoa matamko ya ajabu ajabu tutegemee kiamaKutokana na hali ya kukosekana kwa mvua katika sehemu nyingi inatazamiwa kukosekana kwa chakula katika sehemu nyingi.
Mpaka Chrissmas hii bado hali ya mvua haieleweki na mazao yaliyochipua yameanza kukauka. Kama hali itaendelea kuwa hivi ni dhahiri kwamba familia nyingi hasa za wakulima zitakumbwa na baa la njaa.
Ikumbukwe kwamba wahanga wa tetemeko la Bukoba walipoonyesha kuitrgemea serikali kwa malazi na chakula walionywa kuwa serikali haikuleta tetemeko hivyo wajifunge mkanda na kujipigania. Pia wahanga wa mvua ya mawe wilayani Kahama walipewa taarifa katika ziara ya Mh.Rais kwamba serikali haitawajengea nyumba kama ilivyoahidi katika awamu ya NNE
Kwa dalili hizi za baa la njaa(Mungu tuepushe) je tutegemee nini kwa serikali?Je,tujifunge mikanda kwa kuwa serikali haijazuia mvua kama ambavyo haikuleta tetemeko huko Bukoba?
Muombe mungu akupoteze kwa sababu huna fikra wala maono watz tumetofautiana kwa kipato na kaziPunguzeni fitna, unafik na kunyoosha vidole ......jiulize ww utajipangaje kukabili baa hilo la njaa....ama unasubiri serekali ikubebe kama mtoto mdogo ...