Mbona hueleweki, umekunywa mbege ya wapi wewe dada?.Sijawahi kuona raia wa inchi wakuombea mabaya inchi yao. Huu ni uzuzu kweli unazani hayo mabaya yakitokea ndio kutakufanya wewe uishi maisha mema. Acheni siasa mjue mtu anayeombea mabaya mtu au taifa ni kumuombea aishi maisha marefu ili Mungu amuonyeshe jinsi unavyofanikiwa ama inchi itakavyopiga hatua. Hayo mabaya yasikatishe tamaa serikali iendelee kufanya kazi kwa juhudi zaidi.
Na kitu kibaya hatujui hali hii itadumu kwa miaka mingapii huko mbeleKwa hali inavyoenda huenda kukawepo na upungufu mkubwa wa chakula, ukame umezidi kwa kweli
Sasa utaelewaje nawakati umeshapiga viroba dada wewe. Hata maandiko matakatifu yanakuambia ombea mema adui yako.Mbona hueleweki, umekunywa mbege ya wapi wewe dada?.
Hebu tuambie huko kwenu ukiacha mvua mnapata wapi maji kwa ajili ya kilimo na ni wakulima wangapi wanapata hayo maji?Kama umekariri kua Mvua ndio chanzo cha maji pekee watu wanachoweza kukitumia kulima basi iko kazi kubwa sana,
Kwani waliotangaza kuwa hakuna upungufu wa dawa mahospitalini wakati sisi wagonjwa tulioenda kutibiwa hakuna dawa hospitali zimekauka...hivi nao wanajiskiaje??Hivi waliotangaza kuwa maisha ni magumu sana mabasi yamepaki hamna abiria wa kusafiri, wanajisikiaje kuona watu wamekosa mabasi ,na wengine wakidandia coaster kwa nauli mara mbili.
Aibu ya kufungia mwaka hii.
Mwisho wake atasema kama wananchi hawana ugali wale chapati wakati wanalalamika hawana chakula. Fuatilia uchangiaji wake utang'amua kitu mkuu.MTU akikuambia kuna njaa, usimuulize mbona umekula ugali Leo na umebakiza? Unatakiwa kujifunza kuelewa ktk mawanda mapana