Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

Sawa, lakini umepata nilichotaka kuongelea....ndio hivyo
Bado maana kila sehemu wanakula sana matunda kutokana na aina na msimu wenyewe ila haiondoi ukweli kuwa ndiyo kinakuwa chakula siku zote.hiyo inakuwa nyongeza tu katika maisha yao na kwa muda fulani
 
Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Pepo la lumumba!
 
Taarifa kwa wajinga wenzio.
 
Huna haja ya kutukana, ukisema maembe sio chakula ni matunda haitoshi? Haya nishaacha uzwazwa, tafadhali naomba niambie matunda sio chakula? kama matunda sio chakula basi chakula maana yake nini? Naomba nisaidie tafsiri ya chakula ndugu yangu mwerevu

Wewe ni mpumbavu wala siwezi kufanya argument na wewe, lini umesikia maembe, nanasi, parachichi yamekuwa chakula cha watu kushindia mchana na jioni?. Hivo vitu ni matunda yanayopaswa kuliwa baada ya mtu kula. Matunda kuwepo kwenye makundi ya vyakula vinavyotakiwa kiafya havifanyi viwe vyakula vya mtu kushindia. Inawezekana wewe ni mhaya au mchaga huko watu chakula kikuu ni ndizi, kanda ya ziwa ni ugali na wali kwa shinyanga na mwanza, huko nyanda za juu kusini ni wali, pwani ni wali. Hebu nambie maembe au nanasi ni chakula kikuu cha watu gani hapa tz?. Wewe mama yako amewahi kutenga maembe mezani kama chakula cha mchana na baadaye jioni na kesho ikawa hivyo?. Sipendagi matusi ila wewe naona una kichwa kikubwa kisicho na akili kama sufuria bila maji.
 
Sawa, nimekuelewa, maembe sio chakula. Angalau wewe umeniaambia kitu kutokana na uzoefu wako. Sasa inatubidi tutafute tafsiri ya chakula ni nini, inaezekana hata kusema tuna njaa au hatuna njaa kunatokana na sisi kutofahamu chakula ni nini?
Domokaya unaongea point sana hapo. Kweli maembe ghali Dsm na bei yake ni sawa nusu kilo ya Michele. Pia umesema kama wanamaembe wanakula basi hawana njaa..ni kweli wana matunda hivyo wanakula kupoza njaa. Na kwa maoni yako tukufu waweke chakula akiba (ambacho hawana kwa sasa) hivyo wasilie njaa wafanye kazi kama anavyoagiza mwenyekiti wetu. Na kwa kweli kama unakula na kushiba kabisa huwezi kumjua mwenye njaa ndio maana unwashangaa mwenye kula maembe wakati ugali upo kibao mtaani. It is obvious kuwa nyuma ya key board na kuandika kwa mzaha juu ya njaa sishangai kabisa.
 
Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Tangu lini embe ndio chakula kamilifu kwa afya bora? Ni dhahiri uelewa wako wa kanuni za lishe bora ni ndogo. Elemika na wimbo huu mama chakula bora.
Listen and Download Mbaraka Mwinshehe - Mama Chakula Bora Mp3
 
Ninamuona DC Gondwe akikanusha Clouds 360 kwa kuuliza "kwenye ukame maembe yanaweza kukomaa".
Lakini ameshindwa kusema alitumia jitihada zipi kwa msimu wa kilimo uliopita katika kujihakikishia wilaya yake haina njaa.Aina hii ya viongozi ni hatari sana.
 
Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Kichwa chako kazi yake ni nyele tu!
 
unahitaji maombi
 
Hii habari itamkera sana yule anayejua kama kuna njaa au hakuna,mtu yeyote anayekula bure hawezi muonea huruma mwenye njaa,zaidi atamkejeli na kumcheka na kumuona mjinga
 
Bado maana kila sehemu wanakula sana matunda kutokana na aina na msimu wenyewe ila haiondoi ukweli kuwa ndiyo kinakuwa chakula siku zote.hiyo inakuwa nyongeza tu katika maisha yao na kwa muda fulani

Kwa kuwaa hatutaki kufahamu chakula ni nini japo tunakula kila siku haya tuendelee kujadiliana ujinga. Tungejadili na kufahamu hapa chakula ni nini, basi tungeangalia katika mazingira ya nchi yetu je tuna hichokitu kinachoitwa chakula? Inawezekana tuna chakula lakini hatuna maarifa ya kutambua chakula na badala yake tunaishia kulalamika tuna njaa. Pia inawezekana tukipata tafsiri ya chakula na tukaangalia katika mazingira yetu tunaweza tukajikuta kumbe hatuna kitu na tukatangazia dunia kuwa tuna baa la njaa. Chakula ni nini? Wenzetu katika lugha ya kiingereza wameweza kutofautisha hunger na famine, lakini sisi tuna njaa tu. Sasa hiyo njaa ya kula maembe na famine au hunger? Naamini werevu watatuambia
 
Hali ya Ukosefu wa Chakula Nchini imewafanya wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kufanya Maembe kuwa Chakula
Kikuu

Picha hapa Chini ikimuonyesha Mkuu wa Wilaya hio Akilia baada ya kushuhudia wananchi wakishindia maembe
Chakula! chakula mkuu usiwe mtu wa kukalili kuwa kula mpaka ule ugali ndo uamini umekula kama hayo maembe yanauwa tutaangalia namna ya kuwasaidia waache kulia lia.
 
Back
Top Bottom