Wewe ni mpumbavu wala siwezi kufanya argument na wewe, lini umesikia maembe, nanasi, parachichi yamekuwa chakula cha watu kushindia mchana na jioni?. Hivo vitu ni matunda yanayopaswa kuliwa baada ya mtu kula. Matunda kuwepo kwenye makundi ya vyakula vinavyotakiwa kiafya havifanyi viwe vyakula vya mtu kushindia. Inawezekana wewe ni mhaya au mchaga huko watu chakula kikuu ni ndizi, kanda ya ziwa ni ugali na wali kwa shinyanga na mwanza, huko nyanda za juu kusini ni wali, pwani ni wali. Hebu nambie maembe au nanasi ni chakula kikuu cha watu gani hapa tz?. Wewe mama yako amewahi kutenga maembe mezani kama chakula cha mchana na baadaye jioni na kesho ikawa hivyo?. Sipendagi matusi ila wewe naona una kichwa kikubwa kisicho na akili kama sufuria bila maji.