Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

Hapa hoja tu, hakuna kutajataja majina ya watu, food security ni body of knowledge. kujadili kwake hakuhitaji majina, kunahitaji hoja weledi. Jibu kwanza chakula ni nini? Halafu eleza kwa nini maembe unasema sio chakula hapo tutaendelea, hayo majina yapo huko kwenu Tanzania, nchi nyingine kuna majina mengine lakini njaa is universal, kama unaweza kujadili onesha kwanza unajua unachojadili. Swali la mwisho rahisi ukiunganisha na hayo mengine. Njaa ni nini? Hapo sasa tutaona uwezo wako wa kufikiri kama unaweza au la. Kamamaswali yatakupa shida basi unaweza hata ku google

uwezo wako ni mkubwa sana una hoja nzuri tanga sijui wanalilia nini wakat wanayo na machungwa wakat ni chakula kikuu kizur tu mkuu wa wilaya afukuzwe handeni wanalima vizur sana machungwa hiki ni chakula kizur pia

ndo mana nkasema magufuli na majaliwa walikurupuka kuna tani za chakula nyingi bado zipo shambani hawakupaswa kukimbilia kwenye maghala mkuu wa wilaya ya kinonondi hapi nae kachemka hakupaswa jana kwenda kukagua masokoni mahindi na mchele kwamba kuna njaa alitakiwa ahimize wafanyabiashara waagize maembe kwa wingi toka tanga chakula kipo bana hakuna shida ya chukula maembe,machungwa,mafyulisi,zambarau na ndilolo hivyo vyakula vitaharibika bure na hatuna uwezo wa kuvihifadhi kwa muda mrefu.
 
Badilika ndugu. Fikiria kutumia kifikirisha. Acha mihemko. Kama ilivyo wanafunzi wanavyotakiwa kuwa ni sawa na serikali zinavyotakiwa kuwa. Namaanisha kila nafasi ina tabia zake.

Hata hiyo fani ya ualimu uliyosomea hukuitendea haki. Kama unafahamu kuhusu individual differences kwa nini uka generalize? Aaaaaagh, mi naona una ji contradict, tulia ufikiri, mwenye tafakuri nzuri huamini wazo la kiupuuzi ni lile ambalo mtu halisemi, wazo lolote likishasemwa hilo si la kipuuzi, litumie kutafakari, linawea kukupa kitu kipya, hata tu kufahamu kuwa kuna watu wana fikra tofauti na wewe nako ni mpaka utafakari
 
Achana na kutafuta chaka la kujifichia, toa tafsiri yako ya chakula na utuambia kitu gani ni chakula na nini si chakula utunufaishe sisi ambao hatukubahatika kwenda shule. Mbona ninyi wasomiwachoyo hivyo? Unaninyima hata definition ambayo tunaweza kuitumia katika mjadala wetu. Tafadhali naomba definition chakula ni nini na njaa ni nini? Tafdhali usinichoke, msomi wangu nguli

ulijibu vipi maembe ni chakula wakat hujui? ungeuliza kwenye post yako ya kwanza umetiririka kwamba maembe ni chakula halafu katikati unasema hujui hatar

na ukamshangaa mkuu wa wilaya kulia wakat handeni wana maembe ambacho ni chakula.
 
Wewe kweli domokaya.

Kama unazungumzia suala la kudhani sasa wewe hujui unachokizungumza na pia sio sizani ni sidhani. Haya mambo yanahitaji weledi kuyazungumzia, ni body of knowledge, inaitwa food security. Kipi unachozungumzia wewe kati ya njaa au mlo kamili? Kwa hiyo kama mtu hapati mlo kamili huyo ana njaa? Duuh, kazi kweli kweli, ndio maana nasema unaweza ukadhani kufikiri si kazi lakini unapotakiwa ufikiri kwa njia ya kujibu hoja hapo ndipo utaona kuwa kuna watu wana uwezo wakufikiri zaidi yako
 
uwezo wako ni mkubwa sana una hoja nzuri tanga sijui wanalilia nini wakat wanayo na machungwa wakat ni chakula kikuu kizur tu mkuu wa wilaya afukuzwe handeni wanalima vizur sana machungwa hiki ni chakula kizur pia

ndo mana nkasema magufuli na majaliwa walikurupuka kuna tani za chakula nyingi bado zipo shambani hawakupaswa kukimbilia kwenye maghala mkuu wa wilaya ya kinonondi hapi nae kachemka hakupaswa jana kwenda kukagua masokoni mahindi na mchele kwamba kuna njaa alitakiwa ahimize wafanyabiashara waagize maembe kwa wingi toka tanga chakula kipo bana hakuna shida ya chukula maembe,machungwa,mafyulisi,zambarau na ndilolo hivyo vyakula vitaharibika bure na hatuna uwezo wa kuvihifadhi kwa muda mrefu.

Mkuu wa wilaya ndio kitu gani katika food security? ama mwenzake huyu analia kwa kudhani maembe si chakula ana tofauti gani na huyo. Ishu sio wanasiasa wanasema nini, ishu ni taaluma ya chakula inasemaje. kama utaamua kubaki na majina yako kisiasa baki nayo lakini ujue Japan hawamfahamu Hape.Ukiwa huko ukaulizwa chakula nini ukamtaja Hape alienda kukagua mahindi imekula kwako. Amka, fikiri, hoji, changia ulimwengu wa mawazo, usiishi ili ule, dunia inakuhitaji uvumbue, ikiwezekana hata ufanye jambo ubadilishe baadhi ya mila, msing'ang'anie mile ya utamu tu, kila siku ukeketaji ukeketaji wakati kuna mila nyingine kibao tu zinatuudisha nyuma. Wachina wanakula mbwa, je wanakufa? Narabuku!
 
ulijibu vipi maembe ni chakula wakat hujui? ungeuliza kwenye post yako ya kwanza umetiririka kwamba maembe ni chakula halafu katikati unasema hujui hatar

na ukamshangaa mkuu wa wilaya kulia wakat handeni wana maembe ambacho ni chakula.

Kwangu mimimaembe ni chakula wewe ambaye una argue maembe sio chakula ndio utoe tafsiri yako chakula ni nini na kwa nini maembe si chakula kwani pengine unasema jambo ambalo hata hulifahamu vyema
 
Mkuu wa wilaya ndio kitu gani katika food security? ama mwenzake huyu analia kwa kudhani maembe si chakula ana tofauti gani na huyo. Ishu sio wanasiasa wanasema nini, ishu ni taaluma ya chakula inasemaje. kama utaamua kubaki na majina yako kisiasa baki nayo lakini ujue Japan hawamfahamu Hape.Ukiwa huko ukaulizwa chakula nini ukamtaja Hape alienda kukagua mahindi imekula kwako. Amka, fikiri, hoji, changia ulimwengu wa mawazo, usiishi ili ule, dunia inakuhitaji uvumbue, ikiwezekana hata ufanye jambo ubadilishe baadhi ya mila, msing'ang'anie mile ya utamu tu, kila siku ukeketaji ukeketaji wakati kuna mila nyingine kibao tu zinatuudisha nyuma. Wachina wanakula mbwa, je wanakufa? Narabuku!

kumbe tanga ipo japan????

kumbe tanzania tunatumia lugha na tafsiri moja ya vitu na wa japan aloo safi sana.

na maembe yapo kwenye food security safi!!!
 
Wewe kweli domokaya.

Wewe tayari, hoja zimekukimbia! Usipate shida, wewe sio wa kwanza hata wenzako hoja zilipowaishia wakakimbilia kwenye ID. Kaa chini utafakari unataka kuzungumzia nini kati ya njaa au mlo kamili. Pole sana ndugu, kufikiri kugumu
 
kumbe tanga ipo japan????

kumbe tanzania tunatumia lugha na tafsiri moja ya vitu na wa japan aloo safi sana.

na maembe yapo kwenye food security safi!!!

Labda umekasirika, ungetulia ungeweza kutoa hoja nzuri.Inaonekana una uwezo wa tufikra fikra ila tu kuhamaki kwako kumekufanya upoteze track. Tulia, soma uzuri upate mantiki
 
Kwangu mimimaembe ni chakula wewe ambaye una argue maembe sio chakula ndio utoe tafsiri yako chakula ni nini na kwa nini maembe si chakula kwani pengine unasema jambo ambalo hata hulifahamu vyema

huku unauliza uambiwe huku kwako wewe ni chakula unayumbayumba tu
 
Labda umekasirika, ungetulia ungeweza kutoa hoja nzuri.Inaonekana una uwezo wa tufikra fikra ila tu kuhamaki kwako kumekufanya upoteze track. Tulia, soma uzuri upate mantiki

napoteza muda hapa siwezi kuchukia nachukia nikikosa pesa sio maembe ambapo ushatuambia chakula mitaala ya elimu ina badilika huwenda mm sikufundishwa ndo raha ya kujiunga jf sasa najua embe ni chakula bado chungwa na mafyulis
 
Wewe tayari, hoja zimekukimbia! Usipate shida, wewe sio wa kwanza hata wenzako hoja zilipowaishia wakakimbilia kwenye ID. Kaa chini utafakari unataka kuzungumzia nini kati ya njaa au mlo kamili. Pole sana ndugu, kufikiri kugumu
Wewe jamaa kama maembe ni chakula wape watoto wako maembe,asubuhi, mchana pia wape maembe na usiku wape maembe, bila chakula kingine.
 
napoteza muda hapa siwezi kuchukia nachukia nikikosa pesa sio maembe ambapo ushatuambia chakula mitaala ya elimu ina badilika huwenda mm sikufundishwa ndo raha ya kujiunga jf sasa najua embe ni chakula bado chungwa na mafyulis

Huwezi ku operate bila working definition, kwa kuwa huna uwezo wa kutoa definitio ya kufanyia mjadala itakuwa ngumu kufanya mjadala labda kama unataka tubishane. Nimeomba working definition kutoka kwako ili nifahamu kwako wewe maembe ni kitu gani ambalo ndilo msingi wa hoja yetu naona mwenzangu unaruka ruka na kuokoteza okoteza huku tikupoteza muda pasipo kujadili chochote. Niambie chakula ni nini ili nione tumetofautiana wapi tupate kujadili. Kubishana hakuleti maarifa bali kujadili
 
Mbona humueleweki watoa hoja ??

Hadeni ina njaa kali, then unasema Maembe yawa chakula kikuu. Hapo huoni unajichanganya? Maembe siyo chakula cha binadamu? sasa kama ni chakula kwa nini unasema Hadeni kuna njaa wakati maembe yamejaa kibao?? Waacheni wayale
 
Wewe jamaa kama maembe ni chakula wape watoto wako maembe,asubuhi, mchana pia wape maembe na usiku wape maembe, bila chakula kingine.

Kwetu Mererani chakula ni mawe, tunawapa watoto wetu asubuhi mchana na jioni! Hatuna njaa japo hayaliwi
 
Huwezi ku operate bila working definition, kwa kuwa huna uwezo wa kutoa definitio ya kufanyia mjadala itakuwa ngumu kufanya mjadala labda kama unataka tubishane. Nimeomba working definition kutoka kwako ili nifahamu kwako wewe maembe ni kitu gani ambalo ndilo msingi wa hoja yetu naona mwenzangu unaruka ruka na kuokoteza okoteza huku tikupoteza muda pasipo kujadili chochote. Niambie chakula ni nini ili nione tumetofautiana wapi tupate kujadili. Kubishana hakuleti maarifa bali kujadili

kumbe unabishana ndo mana unahangaika halafu msahaulifu mwanzo nimekwambia uko vizur na unajua na nimemaliza kwa kukushukur kwa kutuambia embe ni chakula mm sikua najua unataka kingine kipi?

au utupeleke japani na wachina wanakokula mbwa?

narudia tena mitaala inatofautiana ya elimu kila wazir anapoingia kama haipo huku basi mwenzetu umeipata japan nayo ni faida ya kusoma nje hongera.
 
Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Maembe kuwa chakula kikuu ndo tatizo na si watu kula maembe.
 
Wewe jamaa kama maembe ni chakula wape watoto wako maembe,asubuhi, mchana pia wape maembe na usiku wape maembe, bila chakula kingine.
Kuna principal inasema hivi, "When the system is in equilibrium and one of the factor in equilibrium is disturbed, then the system will change to alter the effect of that change".

Mwili wa binadamu ni sawa na system, ukila maembe mwili lazima utaji-adjust ili maembe yawe chakula kikuu na hakutakuwa na tatizo lolote mwilini - Hii ni Principal ya mifumo yote duniani.
 
kumbe unabishana ndo mana unahangaika halafu msahaulifu mwanzo nimekwambia uko vizur na unajua na nimemaliza kwa kukushukur kwa kutuambia embe ni chakula mm sikua najua unataka kingine kipi?

au utupeleke japani na wachina wanakokula mbwa?

narudia tena mitaala inatofautiana ya elimu kila wazir anapoingia kama haipo huku basi mwenzetu umeipata japan nayo ni faida ya kusoma nje hongera.

Chakula ni nini? ukiweza kutoa definition ya chakula tutajadili, kama huwezi basi nimeshindwa mimi. Mimi napenda mijadala kwani katika mijadala huwa napata mawazo mapya na muda mwingine kubadili msimamo sasa ww mwenzangu unataka tujadili hovyo hovyo, hili jambo sensitize lazima nilitendee haki, kujadili namna yako siwezi. Sema definition yako ya chakula ni nini ili nifahamu kwa nini unaamini embe sio chakula nipate wazo jipya, acha kukimbilia machakani mara waziri wa elimu, mara mkuu wa wilaya. hata kama huwezi kutafsiri chakula ni nini kuwa muungwana sema tu tupate njia nyingine ya kujadili
 
Maembe kuwa chakula kikuu ndo tatizo na si watu kula maembe.
ahaa, sasa hizo anasa, kumbe mnataka kuchagua kipi kiwe chakula kikuu chenu na kingine kisiwe? haya endeleeni kuchagua, Serikali yenu itawaletea mnachokitaka, hayo maembe acheni yaoze.
 
Back
Top Bottom