Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

Watu wanaleta mzaha mbele ya njaa, naijua njaa. Hasa wilaya hio ya Handeni najua vilivyo
 
Maembe kuwa chakula kikuu ndo tatizo na si watu kula maembe.

Binadamu wa Tanzania amepataje chakula kikuu? Kilitokea tu kikawa au alipitia 'evolution'? Hiyo evolution imesimama au bado inaendelea? Nini nafasi yetu katika kubadilika na kuvumbua vitu vipya? Je sisi ni static au tu dynamic?
 
Chakula ni nini? ukiweza kutoa definition ya chakula tutajadili, kama huwezi basi nimeshindwa mimi. Mimi napenda mijadala kwani katika mijadala huwa napata mawazo mapya na muda mwingine kubadili msimamo sasa ww mwenzangu unataka tujadili hovyo hovyo, hili jambo sensitize lazima nilitendee haki, kujadili namna yako siwezi. Sema definition yako ya chakula ni nini ili nifahamu kwa nini unaamini embe sio chakula nipate wazo jipya, acha kukimbilia machakani mara waziri wa elimu, mara mkuu wa wilaya. hata kama huwezi kutafsiri chakula ni nini kuwa muungwana sema tu tupate njia nyingine ya kujadili

wewe ndo useme chakula ni nini mana ushaniambia embe ni chakula nikasema sawa kwa kurahisisha ungesema embe ni chakula kutokana na difinition hii
 
Watu wa Handeni nao wamezidi,natamani raisi afike huko siku moja awazodoe,Yani tangu nimezaliwa kila siku wao tu njaa,Mbona wachagga wamekwenda huko kuchukua mashamba na wanapata hela kweli kweli!
Hawa jamaa kwanza ni kabila gani?

JPM naomba ufanye ziara Handeni uje na viboko kabisa,tuwachape vijana wote wapate akili!
 
Watu wanaleta mzaha mbele ya njaa, naijua njaa. Hasa wilaya hio ya Handeni najua vilivyo

tena mzaha kweli ajabu shirika la chakula duniani halihangaiki kukusanya maembe kupeleka sehemu zenye njaa wale washibe wanahangaika na nafaka tu hata wakulima wanakwambia mimea tuliyopanda inanyauka kwa kukoaa mvua kiashiria cha njaa ambapo utatokea upungufu wa chakula hawajalalamika miti ya maembe inanyauka au kutokuzaa tutakosa chakula na sijawahi kusikia toka nizaliwe kwamba maembe yamepungua tunatatizo la chakuka
 
Binadamu wa Tanzania amepataje chakula kikuu? Kilitokea tu kikawa au alipitia 'evolution'? Hiyo evolution imesimama au bado inaendelea? Nini nafasi yetu katika kubadilika na kuvumbua vitu vipya? Je sisi ni static au tu dynamic?
Kula hayo maembe siku tatu mfululizo afu nenda shamba kalime uone ka misuli itaonesha ushirikiano na ubongo wako
 
Kula hayo maembe siku tatu mfululizo afu nenda shamba kalime uone ka misuli itaonesha ushirikiano na ubongo wako

Kungekuwa na masindano ya kudhani duniani basi timu yetu ya Taifa ingekuwa bora kabisa! Tuna watu wenye vipaji hivyo kwa kiwango cha kupitiliza kabisa. Mungu ibariki Tanzania
 
Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Wewe utakua bioloji ulipata ziroooo
 
Wewe utakua bioloji ulipata ziroooo

Mimi wala hiyo baioloji sikusoma, haya wewe uliyosoma hiyo baioloji sijui haya tuambie, maembe chakula au sio chakula kama kweli bado kichwani kuna kitu
 
Mkuu wa wilaya yupo clouds za hivi, ngoja tuone kama atasema lasivyo hili gazeti ni la kidaku
Masikini Tbc wangu weeee viongozi wa mihemko wanazidi kukutosa! Nakuandalia sanda ya kuzikiwa naona mawingu yanazidi kuchanua
 
tena mzaha kweli ajabu shirika la chakula duniani halihangaiki kukusanya maembe kupeleka sehemu zenye njaa wale washibe wanahangaika na nafaka tu hata wakulima wanakwambia mimea tuliyopanda inanyauka kwa kukoaa mvua kiashiria cha njaa ambapo utatokea upungufu wa chakula hawajalalamika miti ya maembe inanyauka au kutokuzaa tutakosa chakula na sijawahi kusikia toka nizaliwe kwamba maembe yamepungua tunatatizo la chakuka

Shirila la chakula duniani pia hua haliangaiki kutafuta mayai kuwapelekea wenye njaa! Wenye mayai kama walivyo wenye maembe hao hawana njaa. Au wewe unafikiri hawawapelekei mayai kwa vile mayai sio chakula pia? Ingekuwa Handeni wana baa la njaa wanashindia mayai tungelalamika pia? Nafaka ni kama dawa kipindi cha ugonjwa, ukiwa huna hamu ya kula badala ya kukuambia kale citrus fruits wanakupa B complex kwa kuwa ni emergency. Mwwenye maembe huyo hahitaji dawa kwani hana emergrncy yeyote. Chakula anacho nacho ni maembe. Watu wanalima mahekari kwa mahekari ya maembe ninyi mnasema sio chakula? Kwa miaka dahari tumekuwa tuki import juice ya maaza kutoka nje leo mnasema nini? maembe ni dhahabu inayoota mtini. Tusilaani bahati, tujilaani sisi wenyewe kwa kukosa fikra sahihi. eti leo embe sio chakula, wa kupimwa ninyi!
 
Watu wanalia njaa selikali inasema hakuna njaa maana yake nini sasa hii.

Karibu JF, utajifunza tu taratibu namna ya kutoa hoja nzuri na maswali yenye maana. Hiyo maana yake kwa kukusaidia tu, ni kuwa serikali ndio yenye mamlaka ya kusema kama nchi ina njaa au haina njaa! Karibu
 
Msiba usikie kwa Jirani tu.

Kuna principal inasema hivi, "When the system is in equilibrium and one of the factor in equilibrium is disturbed, then the system will change to alter the effect of that change".

Mwili wa binadamu ni sawa na system, ukila maembe mwili lazima utaji-adjust ili maembe yawe chakula kikuu na hakutakuwa na tatizo lolote mwilini - Hii ni Principal ya mifumo yote duniani.
 
Shirila la chakula duniani pia hua haliangaiki kutafuta mayai kuwapelekea wenye njaa! Wenye mayai kama walivyo wenye maembe hao hawana njaa. Au wewe unafikiri hawawapelekei mayai kwa vile mayai sio chakula pia? Ingekuwa Handeni wana baa la njaa wanashindia mayai tungelalamika pia? Nafaka ni kama dawa kipindi cha ugonjwa, ukiwa huna hamu ya kula badala ya kukuambia kale citrus fruits wanakupa B complex kwa kuwa ni emergency. Mwwenye maembe huyo hahitaji dawa kwani hana emergrncy yeyote. Chakula anacho nacho ni maembe. Watu wanalima mahekari kwa mahekari ya maembe ninyi mnasema sio chakula? Kwa miaka dahari tumekuwa tuki import juice ya maaza kutoka nje leo mnasema nini? maembe ni dhahabu inayoota mtini. Tusilaani bahati, tujilaani sisi wenyewe kwa kukosa fikra sahihi. eti leo embe sio chakula, wa kupimwa ninyi!

mayai na maembe ni vyakula bora serikali inabid ihimize ufugaji na upandaji miti ya maembe tuache dhana ya kulima mahindi pekee ktk suala la njaa vinaokoa
 
Karibu JF, utajifunza tu taratibu namna ya kutoa hoja nzuri na maswali yenye maana. Hiyo maana yake kwa kukusaidia tu, ni kuwa serikali ndio yenye mamlaka ya kusema kama nchi ina njaa au haina njaa! Karibu
We unaongea nini? Unataka mpaka uletewe msiba wa mama kafa kwa njaa ndiyo uamini?
 
Back
Top Bottom