Azzan Zungu anamwaga darasa Bungeni

Azzan Zungu anamwaga darasa Bungeni

Dada Faiza hapana hakuna matumaini hayo.kwa mimi niliepo hapa tangia miaka ya 70 mpaka sioni kama kuna jipya.
Ni kama wamefika kikomo cha kufikiri...
Watu wameengezeka na biashara zimengezeka na kodi pia zimengezeka lakini bara bara zile zile za zamani zinawashinda.
Ulaji ummekua mkubwa.
Nakupa mfano mmoja...ndani ya jiji lote kwa siku ni gari ngapi zinapaki kwenye maegesho ya kulipia ? Kwa uchache ni ni mzunguko wa gari zaidi ya 50000×2000 (average ya kila gari kwani mpaka jioni hakuna parking tupu) =100,000,000 × 20
days tu = 2000,000,000 kwa mwezi.
Sasa uliza jiji linapata ngapi kwa mwezi?
Hapa mbali ya vibali vya magari ya mizigo na mafuta.
Kwa mwezi wanakusanya 0.30% ya turnover ya biashara zote Dar...fikitia mi kiasi gani ?
Jee unaweza kujua kuna mabango kiasi gani katika jiji la Dar? Kila mahali kumejaa mabango haya ulipaji wake si chini ya 100,000 sasa chukulia yapo 50, 000= 5000,000,000
Faiza nchi hii hakuna wazalendo...uzalendo wetu ni katika ngozi tu.
Hili jiji ni la kuwa na mabustani na sehemu maalum za watoto
Ni jiji kama watu wanatuliza akili zao kusinge kuwa na foleni za kijinga au barabara kugeuka mahandaki.
Tusifu pa kusifiwa lakini jiji halina watu wenye vision kabisa

Kwa mapato wanapata mengi sana, lakini kumbuka kuwa hawaruhusiwi kutumia zote hizo, wan portion tu zingine ni lazima ziende hzina kusaidia mambo mengine yanayotakiwa nchi nzima.

Babra mpya mbona zinajengwa sasa hivi, tuna daraja la Kigamboni, tuna BRT, tuna Flyover ya Tazara, tuna ring road inakuja, kuna mengi mazuri tu yanakuja, na sasa tunaweza kukopa kwa wingi kwa kuwa tuna gas ya kutosha kwa hiyo tunakopesheka, wala usiwe na hofu, tutayaona tu mambo yakibadilika.

Tatizo kubwa ni viongozi waliopita, sijui walikuwa wanafanya nini? ndiyo kwanza tunaona Kikwete akijitahid kujenga huku na kule.
 
Kwahiyo huyu ndio msomi katika #DiniYetu Haya lakini tuna wakina Nundu na ma Prof wengine wengi tu, Bila kusahau dr.dr.dr.dr.dr. J.M. Kikwete.

Mtachonga sana, na hao wa dini yet ndio watendaji bora, tazama record "dr.dr.dr.dr.dr. J.M. Kikwete." ni nani wa kabla yake ambae hata kuikaribia wacha kuifikia. Nakuhakikishia huna.

Ukija kwa Dau! Shirika la Umma la kwanza linaloikopesha Serikali, toka Dau ashike pale. Toka watu walikuwa wanalia miaka hawalipwi mafao yao, mpaka kufikia shirika bora la pension fund Afrika Mashariki na ya kati.

Hizo ndio habari za vijana wa Madrassa.
 
Mipango miji hawafanyi kazi. Kutoka ubungo-buguruni njia za kuchepuka zinahesabika unadhani foleni zitaisha vp? Masoko ya dar yanahesabika mengi hata huko mikoani wamaita soko mjinga mvua zikinyesha kama mazizi.
 
Duh! usilolijuwa ni usiku wa kiza!

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Military College of Aviation[/TD]
[TD="align: center"]Aviation Studies[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]1973[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sound Air Canada[/TD]
[TD="align: center"]Aviation Studies[/TD]
[TD="align: center"]1979[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzania/NCC[/TD]
[TD="align: center"]Procurement Course[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cairo[/TD]
[TD="align: center"]Diplomatic Studies[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tambaza Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]Ordinary Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1968[/TD]
[TD="align: center"]1969[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sekondari miaka miwili kudadeki!..
 
Sekondari miaka miwili kudadeki!..

Kumbuka, siku hizo wanafunzi wanaofanya vizuri wanachukuliwa jeshini, unajuwa alichosomeshwa huko? Enzi hizo jeshi linachukuwa wanafunzi wanaowaona wanawafaa hata kabla hawajamaliza kusoma, wanaenda kuwamalizia kuwasomesha na kuwa mold wanavyotaka wao. Tazama vizuri CV utaona kutoka hapo kaingizwa Military Academy Canada miaka mitatu, na hapo alishapigwa msasa Jeshini hapa hapa nyumbani.
 
Jana nilimkubali Zungu.........yeye ukishamtibua tu utamsikia..."embu kaa chini ". Jamaa noma, hataki utani kazini
 
Kumbuka, siku hizo wanafunzi wanaofanya vizuri wanachukuliwa jeshini, unajuwa alichosomeshwa huko? Enzi hizo jeshi linachukuwa wanafunzi wanaowaona wanawafaa hata kabla hawajamaliza kusoma, wanaenda kuwamalizia kuwasomesha na kuwa mold wanavyotaka wao. Tazama vizuri CV utaona kutoka hapo kaingizwa Military Academy Canada miaka mitatu, na hapo alishapigwa msasa Jeshini hapa hapa nyumbani.

Mkuu, tujuze alikuwa na cheo gani cha kijeshi baada ya kumaliza masomo kwenye hiyo military academy, na ali retire jeshi akiwa na cheo kipi? Aliwahi kuwa commissioned officer wa jeshi?
 
Ooyooo huyu kadada naona ni kapenzi chake na ndo humpigea debe ili bwana aoni ni kweli anampenda na huyu kadada ni kaujanja janja kanaonishi ili huyo mzungu asije akamgeuzia kibao na kumpata demu mpya na huyu zungu ni profisa na mhadhiri wa misheni kota ya kariakoo na ana kijewe pale mtaa wa muheza tena kwa longo longo na domo humuwezi huyu lakini kwa kutenda ni sawa na usiku wa kiizaaaaa tupu
 
Mkuu, tujuze alikuwa na cheo gani cha kijeshi baada ya kumaliza masomo kwenye hiyo military academy, na ali retire jeshi akiwa na cheo kipi? Aliwahi kuwa commissioned officer wa jeshi?

Lance Corporal.
 
Mkuu, tujuze alikuwa na cheo gani cha kijeshi baada ya kumaliza masomo kwenye hiyo military academy, na ali retire jeshi akiwa na cheo kipi? Aliwahi kuwa commissioned officer wa jeshi?

Najuwa alikuwa jeshini lakini sijui alikuwa na cheo kipi, ntajaribu kupata hizo habari na nikizipata ntakujulisha.
 
:smile-big::biggrin1::brushteeth:😛uke::sorry:
 
Jana nilimkubali Zungu.........yeye ukishamtibua tu utamsikia..."embu kaa chini ". Jamaa noma, hataki utani kazini

Huyo ni Mwanajeshi toka bado kijana mdogo sana, si unajuwa Jeshini, hawajui kuongea sana kwao ni amri tu.
 
Ahsante Zungu, unaionesha Tanzania kwanini Wilaya ya Ilala ndiyo wilaya tajiri Tanzania na haina shamba wala madini. Vichwa.

We are proud of you. Ukigombea tena Ubunge tunakupa bila kupingwa. Kudos.
Umeona barabara ya uhuru kuelekea kariakoo ilivyombovu...sasa


hiyo wilaya ni tajiri kabla zungu hajawa mbunge. Ubovu wa barabara ni karibu TZ nzima.
Sababu ya ilala kuwa tajiri kwa kipindi kile nipo TZ(kwa siku hizi sifahamu) ni kwamba ilala kuna cooperate ofice/head-offices nyingi za vitega uchumi ambavyo havipo ilala kwa hiyo kodi ikilipwa kwa serikali na hizo office, hiyo kodi inahesabika imetokea ilala.
 
Back
Top Bottom