Ahsante Zungu, unaionesha Tanzania kwanini Wilaya ya Ilala ndiyo wilaya tajiri Tanzania na haina shamba wala madini. Vichwa.
We are proud of you. Ukigombea tena Ubunge tunakupa bila kupingwa. Kudos.
Mwenyekiti wa kikao cha bunge kinachoendelea saa hii, Azzan Zungu, (nna-declare interest) ni mbunge wa jimbo langu la Ilala.
Hivi sasa anamwaga darsa kwa kila anaechukuwa shillingi ya waziri, nimeona mpaka sasa wabunge wa upinzani kama watatu wa upinzani kila wanapochukuwa shillingi na kuing'ang'ania yeye anatoa darsa la maana na wanamuelewa na darsa linawaingia mpaka wanarudisha shillingi wenyewe bila makeke, na hili nimelishuhudia toka jana si leo pekee.
Huyu ndiye alifaa kuwa Speaker wa bunge, anakubalika kote kote.
Ahsante Zungu, unaionesha Tanzania kwanini Wilaya ya Ilala ndiyo wilaya tajiri Tanzania na haina shamba wala madini. Vichwa.
We are proud of you. Ukigombea tena Ubunge tunakupa bila kupingwa. Kudos.
Peleka mawazo yako kwa mbunge wako wa BMK.
Ukimsikiliza vizuri anawasaidia hao wabunge ndiyo maana wanakubali kurudisha shillingi, kwani ukizuwia shillingi, hoja inafikia kupigiwa kura na upinzani hawana majority wanashindwa kwenye kura. Anachofanya yeye ni kuiwacha wazi hiyo hoja ili ipate kuzungumzwa kwenye kamati maalum za bunge, anaipa hoja uhai. Unless niwe sijamuelewa darsa lake na wale wabunge wa upinzani wanaokubali kuvuta shillingi hawajamuelewa.
Kumbuka, hapo kwa sasa hivi yeye ni mwenyelkiti wa kamati ya bunge kwa hilo, kama mwenyekiti anaweza kuongelea mada hiyo. Bunge likikaa kama na yeye akikaa kama speaker ndio hawezi kuchangia zaidi ya kulitolea muongozo na kusimamia kanuni za kuendesha bunge, lakini si hapa lilipo sasa hivi kama kamati. Kumbuka hilo.
Mwenyekiti wa kikao cha bunge kinachoendelea saa hii, Azzan Zungu, (nna-declare interest) ni mbunge wa jimbo langu la Ilala.
Hivi sasa anamwaga darsa kwa kila anaechukuwa shillingi ya waziri, nimeona mpaka sasa wabunge wa upinzani kama watatu wa upinzani kila wanapochukuwa shillingi na kuing'ang'ania yeye anatoa darsa la maana na wanamuelewa na darsa linawaingia mpaka wanarudisha shillingi wenyewe bila makeke, na hili nimelishuhudia toka jana si leo pekee.
Huyu ndiye alifaa kuwa Speaker wa bunge, anakubalika kote kote.
Ahsante Zungu, unaionesha Tanzania kwanini Wilaya ya Ilala ndiyo wilaya tajiri Tanzania na haina shamba wala madini. Vichwa.
We are proud of you. Ukigombea tena Ubunge tunakupa bila kupingwa. Kudos.
Wabunge wote wa Dsm wame fail kufanya kazi zao.
Jiji sasa linavunja recodi kwa uchafu
Miundo mbinu ya bara bara mibovu
Mitaro ya maji chafu kuziba
Hakuna master plan ya jiji ya kueleweka
Mainjinia wa jiji na planners wao ni wajinga (ujinga sio tusi ni ukosefu wa elimu ) hawajui wafanyalo au ni mambo ya 10%.mfano barabara zote mpya zinajengwa bila ya kufikiria watoto au walemavu au wazee na watembea miguu.baya zaidi zile zinazopita mashuleni kunakua na mitaro ya wazi pande zote za barabara.wanafunzi hawajui wapite wapi.
Ukweli hakuna dunia nzima ujenzi huu katka majiji yote.
Jiji na wabunge Dar wamefeli hawapaswi kuendelea pamoja na mkurugenzi wa jiji wote ni majanga matupu
Kila wakati sikuelewi kabisa na hasa uwezo wako wa kuchambua mambo. Yaani wewe kazi anayoifanya hapo uliona ni kazi yake? Anaweza kuwa anazungumza yale unayotaka kuyasikia lakini ukweli hiyo siyo kazi yake.
Huwa sipendi kabisa mtu anayehangaika kutafuta wastani kwa kutumia namba moja tu!
Huyu mtu wako ile skendo ya madawa imeishia wapi? Au utauliza ushahidi uko wapi?
Kuna tatizo mtu akiwa na mawazo tofauti na wewe?Kila mtu anafikiri namna tofauti na ndiyo maana tuko tofauti.Sijadharau maoni au mawazo yako bali nimetoa ninavyowaza.
Na la mwisho hivi tulichagua wabunge wa bunge maalumu?Kama jibu ni hapana basi hauna haki ya kuniambia mawazo yangu niyapeleke kwa mbunge wangu wa BMK.
Sasa kosa langu ni nini hapo, na wabunge ndio wanalizungumzia hilo la katiba mpya bungeni.
Hilo la Uwaziri kutokuwa wabunge hata mimi naliunga mkono, na ndiyo maana nimekwambia peleka hoja hiyo kwa mbunge wako ili lifanyiwe kazi, sijui nilichokukera mpaka ukaona tumetofautiana ni kipi?
Ka kremishwa kila MUISLAM hajasoma.Duh! usilolijuwa ni usiku wa kiza!
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Military College of Aviation[/TD]
[TD="align: center"]Aviation Studies[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]1973[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sound Air Canada[/TD]
[TD="align: center"]Aviation Studies[/TD]
[TD="align: center"]1979[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzania/NCC[/TD]
[TD="align: center"]Procurement Course[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cairo[/TD]
[TD="align: center"]Diplomatic Studies[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tambaza Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]Ordinary Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1968[/TD]
[TD="align: center"]1969[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name [/TH]
[TH="align: center"]Position [/TH]
[TH="align: center"]From [/TH]
[TH="align: center"]To [/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Public Procuring Regulator Authority[/TD]
[TD]Board Director[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Ilala Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ilalla Municipal[/TD]
[TD]Deputy Mayor[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ilala Municipal[/TD]
[TD]Councilor[/TD]
[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UAE[/TD]
[TD]Material Manager[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Military College of Aviation[/TD]
[TD]Principal Aircraft Maintanance Engineer[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE [/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Commonwealth Parliamentary Association Tanzania Br[/TD]
[TD]Chairman[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]City Council Investment Committee[/TD]
[TD]Chairman[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Foreign,Defence Home Security Committee[/TD]
[TD]Vice Chairman[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Pole sana, na nisameh sana, si kusudio langu.
Kumbuka Dar ni jiji lililokuwa designed kuwa na watu 500,000 tu, kwa kuwa kuna mafanikio na harakati za kibiashara kubwa sana katika Afrka Mashariki, na ni makao makuu ya wizara zote kwa sasa (dodoma zuga tu), watu wamejazana kwa wingi sana, influx, ya watu imekuwa kubwa, sasa hivi jiji lina watu million 6 na wanazidi kila siku, ni changa moto lakini nna uhakika mikakati iliyopo sasa hivi, hiyo itakuwa mambo ya kale baada ya muda si mrefu.
Ka kremishwa kila MUISLAM hajasoma.
Jembe la nini kizamani, sisi tuna matractor.