FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
- Thread starter
- #61
hiyo wilaya ni tajiri kabla zungu hajawa mbunge. Ubovu wa barabara ni karibu TZ nzima.
Sababu ya ilala kuwa tajiri kwa kipindi kile nipo TZ(kwa siku hizi sifahamu) ni kwamba ilala kuna cooperate ofice/head-offices nyingi za vitega uchumi ambavyo havipo ilala kwa hiyo kodi ikilipwa kwa serikali na hizo office, hiyo kodi inahesabika imetokea ilala.
Yes, ni Wilaya tajiri toka zamani na si kwa ajili ya Azzan kuwa mbunge, nisome vizuri, nimesema anaionesha Tanzania kwanini Ilala ni tajiri. Vichwa.
Ukiona mahali ma cooperate offices na ma head offices yanajazana ujuwe hapo mambo mazuri. Kuna vichwa.