Azory’s parents appeal to Magufuli for probe

Azory’s parents appeal to Magufuli for probe

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,769
Reaction score
288,337
Azory’s parents appeal to Magufuli for probe

Thursday May 23 2019


Azory Gwanda’s Parents, Obadia Gwanda and Eva

Azory Gwanda’s Parents, Obadia Gwanda and Eva Mpulumba speak at Msimba Village in Kigoma District yesterday. They made an appeal to President John Magufuli to intervene over the case of their missing son who dissapeard in 2017. PHOTO | ANTHONY KAYANDA
In Summary

The family of the missing journalist Mr Azory Gwanda has come out President Magufuli to direct security organs to do whatever it takes to investigate and tell about the fate of their son.

Kigoma. Parents of Mwananchi Communications Limited (MCL) journalist, Mr Azory Gwanda, who has been missing since November 2017, say they were going through untold agony for being in the dark about the whereabouts of their son, they say was a bread winner.

They told journalists at their Msimba Village, Kigoma District that the disappearance of their son has turned their day and nights painful.

“We live in difficult situation since the disappearance of their son because we are in the dark about his whereabouts and we are not receiving any support. We do not know whether he is alive or dead. We ask President Magufuli to help us in searching for him,” she said.

Azory’s father, Obadia Gwanda (96), did not manage to speak to journalists because of his age. His repeated attempts to speak were unsuccessful.

John Gwanda, who is the brother of Azory, said they have decided to speak to journalist because there has been no report about him for eighteen months now since they day he was reported missing.

“We as a family ask the government, specifically President Magufuli, to direct state organs to investigate what happened to our brother,” he said. “We need to know whether he is alive or dead. And if he is dead, we organize a funeral,” he said.
 
Inatia uchungu sana, baba wa miaka 96 anapopotelewa mwanae anajisikiaje katika umri ule?

Ikiwa wamemuua Azory ama la lakini watambue huyo mzee wao ndio wanamfikisha katika hali mbaya zaidi.

kama ilivyokuwa kwa Akwilina R.I.P. nina shaka ndivyo itakuwa kwa Azory na hadithi itakuwa imeisha!

natafakari "...tuna watu makini sana na wanaojua kazi yao hatuhitaji msaada kutoka nje...."
 
Haki huwa haipindwi, laana ya kupinda haki siku zote huwanyima amani wanaoipinda...
aliyeua na aliyeagiza kuua na wanaoshangilia damu zilizomwagika wasidhani watu wananyamaza kila uchao wana familia wanatoa laana... na laana hizo hazitawaacha salama.
Endeleeni kuhamisha magoli ila ni mazwazwa pekee wanaoamini mnachokisema na kukiamini..
mrudisheni Azory
 
Sana Mkuu halafu yule Mwakyembe eti anathubutu kuzuia watu kumuulizia Azory kwa kuwa kesi yake ni ndogo sana. Sidhani kama mwanaye angepotea angetoa kauli ya kipuuzi kama hiyo.

INATIA UCHUNGU SANA, BABA WA MIAKA 96 ANAPOPOTELEWA MWANAE ANAJISIKIAJE KATIKA UMRI ULE? IKIWA WAMEMUUA AZORY AMA LA LAKINI WATAMBUE HUYO MZEE WAO NDIO WANAMFIKISHA KATIKA HALI MBAYA ZAIDI.... KAMA ILIVYOKUWA KWA AKWILINA R.I.P. NINA SHAKA NDIVYO ITAKUWA KWA AZORY NA HADITHI ITAKUWA IMEISHA!!!
NATAFAKARI "...TUNA WATU MAKINI SANA NA WANAOJUA KAZI YAO HATUHITAJI MSAADA KUTOKA NJE...."
 
Jamani hawa wazazi wanatia huruma ila Mungu wetu hajalala,wote walioshiriki kumpoteza au kumficha huwa malipo hapa hapa duniani .Hivi kuna kitu mtu anafanya mpaka asiweze kusameheka umpoteze kabisa mwenzake au kumficha huko aliko asimtoe mpaka leo.Hizi damu zilizopotea hazitawaacha watu salama .
 
Sana Mkuu halafu yule Mwakyembe eti anathubutu kuzuia watu kumuulizia Azory kwa kuwa kesi yake ni ndogo sana. Sidhani kama mwanaye angepotea angepotea angetoa kauli ya kipuuzi kama hiyo.
Ulevi wa madaraka Mkuu.

Wafaransa walipolilia mikate binti mfalme aliwajibu kirahisi tu kama wamechoka mikate wale keki.

Siku wakiguswa familia zao na hao wauwaji wanaowachunga na kujidai nao tutawasikia mayowe yao.

Ilishasemwa "...Unachomtenda mwenzako nawe utatendewa hichohicho! ...kipimo utakachowapimia wenzako nawe utapimiwa hichohicho!

Ni suala la muda tu tuombe uzima Mkuu...
 
Kabisa Mkuu wanajisahau sana hawa watu wamepoteza utu wao kwa kujiona kama miungu vile na watakuwa madarakani milele.

Ulevi wa madaraka Mkuu...
Wafaransa walipolilia mikate binti mfalme aliwajibu kirahisi tu kama wamechoka mikate wale keki...
Siku wakiguswa familia zao na hao wauwaji wanaowachunga na kujidai nao tutawasikia mayowe yao..
Ilishasemwa "...Unachomtenda mwenzako nawe utatendewa hichohicho! ...kipimo utakachowapimia wenzako nawe utapimiwa hichohicho!!!!
Ni suala la muda tu tuombe uzima Mkuu...
 
Wakati si milele.... Kila wakati na majira yake.... Heri kurudi kuliko kwenda... [emoji25][emoji848][emoji144]
 
Ni kuwa wavumilivu tu, wewe unadhani familia ya Akwilina inajisikiaje baada ya Mbowe kusababisha kifo cha ndugu yao!
Mijitu mingine bwana! Sijui kichwani wanafugia chawa? Unawezaje kuleta utani wa siasa kwenye issue ya kuumiza hivi. Think thrice kama Azory au Akwilina wangekuwa watoto wako uliowalea kwa shida na raha. You have made my day off.
 
Kumbe huyo Azory Gwanda ni wa kigoma aweza kuwa katokomea zake Burundi au Kongo may be baada ya kuona anafuatiliwa uraia wake kujua ni mtanzania au la
Hivi kwanini nyie watu mnakuwa na roho ya kishetani?
 
Kumbe huyo Azory Gwanda ni wa kigoma aweza kuwa katokomea zake Burundi au Kongo may be baada ya kuona anafuatiliwa uraia wake kujua ni mtanzania au la
ma. ta. ko kabisa ww unatapika uchafu ktk mambo ya msingi, kuwa unafikirisha ubongo achana na umama wakuomba nakutaka kutetea upuuzi. shwain
 
Back
Top Bottom