Azory’s parents appeal to Magufuli for probe

Azory’s parents appeal to Magufuli for probe

Binadamu mtu wa ajabu sana, nakumbuka siku Samuel Doe aliyekuwa rais wa Liberia anauwawa nafikiri sometime in September 1990 aliwasihi saana wauaji wake wasimuue huku akisahau jinsi yeye alivyokuwa akiamuru watu wauwawe.

People are very hypocritical. Even our today's tormenters when their day comes, just like Doe, they will be the first to plead with their killers to spare their lives, forgetting that only yesterday they were condemning others to the gallows.
 
ma. ta. ko kabisa ww unatapika uchafu ktk mambo ya msingi, kuwa unafikirisha ubongo achana na umama wakuomba nakutaka kutetea upuuzi. shwain
Zitto Kabwe na Azory Gwanda kumbe wote wa kigoma .OK OK OK na wote walikuwa vinara walioshibana issue ya Mkuranga ,Kibiti na Rufiji _MKIRU _mmmmmm.Kigoma connection.Asante gazeti la Mwananchi kutujuza
 
Mijitu mingine bwana! Sijui kichwani wanafugia chawa? Unawezaje kuleta utani wa siasa kwenye issue ya kuumiza hivi. Think thrice kama Azory au Akwilina wangekuwa watoto wako uliowalea kwa shida na raha. You have made my day off.
Nakwambia vichwa vingine ubongo uko embeded in the anus! Huweku kuwa na ubongo uko sehemu stahili ukasema mavi kama hayo wakati watu wanalia na watoto wao hawajulikani walipo na mtuhumiwa anasifiwa!
 
Zitto Kabwe na Azory Gwanda kumbe wote wa kigoma .OK OK OK na wote walikuwa vinara walioshibana issue ya Mkuranga ,Kibiti na Rufiji _MKIRU _mmmmmm.Kigoma connection
hakuna falme inayodumu daima, iko siku unayoyashangilia ukihisi ni sawa watu kutendewa yatakuwa upande wenu.
 
Sana Mkuu halafu yule Mwakyembe eti anathubutu kuzuia watu kumuulizia Azory kwa kuwa kesi yake ni ndogo sana. Sidhani kama mwanaye angepotea angepotea angetoa kauli ya kipuuzi kama hiyo.
Mwakyembe kipindi kile kapata ajali tu malalamiko yalikuwa kibao,mara jaribio la nini sijui mara nini na nini lakini leo kwa wengine anaona shega tu.
 
utaambiwa kesi ipo mhakamani na uchunguzi bado unaendlea..
 
Ni kuwa wavumilivu tu, wewe unadhani familia ya Akwilina inajisikiaje baada ya Mbowe kusababisha kifo cha ndugu yao!
Mbowe ana shabaha sana kumbe,kwanini asifungwe basi kwa kummiminia risasi binti mdogo na hata bunduki iliyotumika imeshindikana kuipata?
Wauaji huwa wanajionyesha straight pale wanapoleta kebehi binadamu mwenzao anapokuwa amefariki, tyrants are on the throne so inabidi tu wanyonge waendelee kuukubali ukeweli mchungu.
 
Sana Mkuu halafu yule Mwakyembe eti anathubutu kuzuia watu kumuulizia Azory kwa kuwa kesi yake ni ndogo sana. Sidhani kama mwanaye angepotea angepotea angetoa kauli ya kipuuzi kama hiyo.
Nyie ndugu zangu Watanzania, tena wahumu JF. Mimi ni member wa CCM, tena wa kulipia kwa muda mrefu.

Nakipenda sana chama changu, lakini mengine yanayotendeka katika awamu hii, hayaridishi, hayakubaliki na sio haki.

Hawa wachache wanaokiaharibia jina chama chetu lazima tuwaweke wazi ili kukiokoa chama.

Ndugu watanzania, sidhani kama Azzory atakuwa hai, mtu ukishapotea kwa siku mbili na hukutokea siku ya tatu, uzuri ndugu na jamaa wakatafuta kaburi.

Killing has never been the politics of TZ, hawa watu wa mpakani mwa kenya wasituketee majanga yao.
 
Kumbe huyo Azory Gwanda ni wa kigoma aweza kuwa katokomea zake Burundi au Kongo may be baada ya kuona anafuatiliwa uraia wake kujua ni mtanzania au la
Mkuu kama majibu ni that simple mbona poli ccm wenu hawatoi repoti, au wewe ndio msemaji wao. Mkuu kwenye jambo la kusikitisha kama hili, na kutokea mtu ukatoa mawazo ya kipuuzi kama haya inasikitisha sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Binadamu wengine hujisahau kupita kiasi na kudharau matatizo ya wengine.

Mwakyembe kipindi kile kapata ajali tu malalamiko yalikuwa kibao,mara jaribio la nini sijui mara nini na nini lakini leo kwa wengine anaona shega tu.
 
Muuaji ni huyu hapa na kauli ya kuthibitisha kwamba huyo nduli na dikteta hii hapa.

Nyie ndugu zangu Watanzania, tena wahumu JF. Mimi ni member wa CCM, tena wa kulipia kwa muda mrefu.

Nakipenda sana chama changu, lakini mengine yanayotendeka katika awamu hii, hayaridishi, hayakubaliki na sio haki.

Hawa wachache wanaokiaharibia jina chama chetu lazima tuwaweke wazi ili kukiokoa chama.

Ndugu watanzania, sidhani kama Azzory atakuwa hai, mtu ukishapotea kwa siku mbili na hukutokea siku ya tatu, uzuri ndugu na jamaa wakatafuta kaburi.

Killing has never been the politics of TZ, hawa watu wa mpakani mwa kenya wasituketee majanga yao.
 
Kumbe huyo Azory Gwanda ni wa kigoma aweza kuwa katokomea zake Burundi au Kongo may be baada ya kuona anafuatiliwa uraia wake kujua ni mtanzania au la
Furahia na endelea tu kukejeli Ndugu..
Kila nyakati na majira yake..
Omba MUNGU yasije yakakukuta.
 
"Tunaishi maisha ya shida na ufukara mkubwa tangu Azori alipotoweka, familia haina msaada na hatujui kama yupo hai au alikufa, tunaomba Rais (John Magufuli) atusaidie mtoto wetu apatikane."- Mama Mzazi wa Mwandishi Azory Gwanda, Eva Mpulumba (85)

Serikali ya Wanyonge inawezaje kuishi na vilio hivi vya damu zisizo na hatia zilizomwagika?
IMG_20190523_185214.jpeg
 
Back
Top Bottom