Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,719
Pole kwa familia
Mijitu mingine bwana! Sijui kichwani wanafugia chawa? Unawezaje kuleta utani wa siasa kwenye issue ya kuumiza hivi. Think thrice kama Azory au Akwilina wangekuwa watoto wako uliowalea kwa shida na raha. You have made my day off.
Google utunza historia ni vipofu awaoni kesho yao yataabuWakati si milele.... Kila wakati na majira yake.... Heri kurudi kuliko kwenda... [emoji25][emoji848][emoji144]
Habari hii ni ya kusikitisha.“We as a family ask the government, specifically President Magufuli, to direct state organs to investigate what happened to our brother,” he said. “We need to know whether he is alive or dead. And if he is dead, we organize a funeral,” he said.
Muuaji ni huyu hapa na kauli ya kuthibitisha kwamba huyo nduli na dikteta hii hapa.
Aah, YEHODA, nimezunguka ndani ya jamvi hili baada ya kukusoma nikijizuia kuyakumbuka maneno yako haya machache.Kumbe huyo Azory Gwanda ni wa kigoma aweza kuwa katokomea zake Burundi au Kongo may be baada ya kuona anafuatiliwa uraia wake kujua ni mtanzania au la
Alikuwa haishi huko Kibiti?Utafiti huo huo ndio uliomponza huyo jamaa....kafungwa mdomo...
Labda yupo ule mji mwengine.. ' mji salama' ....