Azory’s parents appeal to Magufuli for probe

Mbona inaonekana hata alipo kuwepo hakua na msaada au katoweka miaka 20 iliyopita?
Kweli ndio hivyo ila kumbuka kuwa, hata yeye alikuwa mwandishi wa kawaida tu hivyo kipato chake sio kikubwa. Ila kumbuka alikuwa anawatupiamo kitu kidogo kidogo wazazi nao wakafurahi kununua tumafuta twa mboga. Sasa hata hilo tone limekatika.
Ila nakushauri; Acha kushabikia ujinga. Wadhani katika awamu hii unaweza kujenga hata choo kwa mshahara??
 
"Tunaishi maisha ya shida na ufukara mkubwa tangu Azori alipotoweka, familia haina msaada na hatujui kama yupo hai au alikufa, tunaomba Rais (John Magufuli) atusaidie mtoto wetu apatikane."- Mama Mzazi wa Mwandishi Azory Gwanda, Eva Mpulumba (85)

Serikali ya Wanyonge inawezaje kuishi na vilio hivi vya damu zisizo na hatia zilizomwagika?View attachment 1105807
Na laana ya huyu na wengine iwarudie wote waliohusika
 
Kweli ndio hivyo ila kumbuka kuwa, hata yeye alikuwa mwandishi wa kawaida tu hivyo kipato chake sio kikubwa. Ila kumbuka alikuwa anawatupiamo kitu kidogo kidogo wazazi nao wakafurahi kununua tumafuta twa mboga. Sasa hata hilo tone limekatika.
Ila nakushauri; Acha kushabikia ujinga. Wadhani katika awamu hii unaweza kujenga hata choo kwa mshahara??
Majibu mazuri wakati sahihi
 
Halafu wale viongozi waliopewa dhamana unakuta wanakuja na majibu mepesi mepesi tu as if hawana ndugu au watoto! ila akipotea faru John au faru Ndugai utashangaa wanavyomtafuta kwa mbwembwe. Ni aibu kubwa sana kwa serikali isiyojali uhai, maisha na ustawi wa wananchi wake.
 
Aisee kabla hatujaanza kuchokonoa watu, embu kwanza tuwe tunageuka nyuma,hiki ni nini sasa ninachokiona hapa.
 
1105962

inasikitisha
 
Sana Mkuu halafu yule Mwakyembe eti anathubutu kuzuia watu kumuulizia Azory kwa kuwa kesi yake ni ndogo sana. Sidhani kama mwanaye angepotea angepotea angetoa kauli ya kipuuzi kama hiyo.

Wenzetu wanatufundisha kwamba kwenye issue kama hizi, kikubwa ni kuutafuta ukweli na kuuweka wazi. Maisha ya Azory ni maisha muhimu kama ya wale wote waliopoteza maisha Rufiji kwa vitendo viovu vya mauaji.
Watu wengi waliuwawa bila hatia yoyote ile. Nafikiri ili story iwe kamili, yote yaliyofanyika yangefanyiwa tafiti, ikiwemo la Azory
 
Kumbe huyo Azory Gwanda ni wa kigoma aweza kuwa katokomea zake Burundi au Kongo may be baada ya kuona anafuatiliwa uraia wake kujua ni mtanzania au la
Mkuu Hata kama ni Propaganda ila hii imezidi, ipo siku utafiwa au utaugua sana na machungu wanayo yapata hawa wazee utayapata mara 100. Mungu yupo na anaona.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
"Tunaishi maisha ya shida na ufukara mkubwa tangu Azori alipotoweka, familia haina msaada na hatujui kama yupo hai au alikufa, tunaomba Rais (John Magufuli) atusaidie mtoto wetu apatikane."- Mama Mzazi wa Mwandishi Azory Gwanda, Eva Mpulumba (85)

Serikali ya Wanyonge inawezaje kuishi na vilio hivi vya damu zisizo na hatia zilizomwagika?View attachment 1105807
Sad.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wenzetu wanatufundisha kwamba kwenye issue kama hizi, kikubwa ni kuutafuta ukweli na kuuweka wazi. Maisha ya Azory ni maisha muhimu kama ya wale wote waliopoteza maisha Rufiji kwa vitendo viovu vya mauaji.
Watu wengi waliuwawa bila hatia yoyote ile. Nafikiri ili story iwe kamili, yote yaliyofanyika yangefanyiwa tafiti, ikiwemo la Azory
Utafiti huo huo ndio uliomponza huyo jamaa....kafungwa mdomo...

Labda yupo ule mji mwengine.. ' mji salama' ....
 
Kumbe huyo Azory Gwanda ni wa kigoma aweza kuwa katokomea zake Burundi au Kongo may be baada ya kuona anafuatiliwa uraia wake kujua ni mtanzania au la
Mkuu muogope Mungu, kumbuka anayezungumzwa kupotea hapa ni mtu si kuku.
 
Mbona inaonekana hata alipo kuwepo hakua na msaada au katoweka miaka 20 iliyopita?

Kwani hujui extended family zilivyo kwikwi? mara usomeshe mtot wa shemeji..mara binamu akuombe mtaji..mara ujenge jiko la wazaz limeanguka na mvua..ww mwenzetu wa wapi?? pluto?
 
Back
Top Bottom