Aziz Ki hatakuja kuuzwa Wydad AC

Aziz Ki hatakuja kuuzwa Wydad AC

Yanga huwa haina utaratibu wa kumwachia mchezaji kwa njia za amani. Ni kaburi la vipaji vya mchezo wa soka. Mrisho Ngasa na Edibily Lunyamila ni mifano halisi ya watu waliozika vipaji vyao ndani ya timu ya Yanga.
 
Kibu mpaka katoroka msimu uliopita kwenda Sweden au Kibu mchezaji wa Lipuli? Mnapenda kujisaulisha wakati juzi tu hapa.

Ngasa alizuiwa na nani kila trial aliyopata Yanga alienda kufanya,mpaka ya West Ham.
 
Mkuu ulikosea sana kuona Hawa utopolo Wana uwezo wa kumbakisha huyu jamaa ..walijaribu jaribu kwa kufanya lobbying na kukusanya matajiri wa kumlipa na mke juu, ila jamaa akaona hapa atakuja kua kama mrisho ngassa..sasahivi Yuko angani anaitafuta Casablanca...
Ona huyu zuzu
 
Mkuu ulikosea sana kuona Hawa utopolo Wana uwezo wa kumbakisha huyu jamaa ..walijaribu jaribu kwa kufanya lobbying na kukusanya matajiri wa kumlipa na mke juu, ila jamaa akaona hapa atakuja kua kama mrisho ngassa..sasahivi Yuko angani anaitafuta Casablanca...

Yanga huwa haina utaratibu wa kumwachia mchezaji kwa njia za amani. Ni kaburi la vipaji vya mchezo wa soka. Mrisho Ngasa na Edibily Lunyamila ni mifano halisi ya watu waliozika vipaji vyao ndani ya timu ya Yanga.
Yaani mchezaji kuuzwa mpaka aozeshwe, mpaka manii zake zichukuliwe zikahifadhiwe Bwagamoyo, aisee....
 
Nafikiri hizi stori za Aziz Ki kuuzwa Wydad tuzizike rasmi na tuachane nazo.

Yanga haijawahi kutaka kumuachia Aziz Ki na kitendo cha aliyekuwa kocha wa Mamelodi, Rulani Mokwena kumsogeza na kuanza "kumnong'oneza" baada ya ile mechi ya robo fainali kati ya Mamelodi na Yanga ilichukuliwa kama ishara ya dharau kwa Yanga na ikawapa hasira, kiburi na kisingizio cha kuapa kwamba hawatakuja kumuuza kwa Mamelodi au popote pale Mokwena atakapokuwa.

Harakati za kumuozesha kwa Hamisa Mobetto zilikuwa zina nia hiyo hiyo ya kumnasa katika tundu bovu. Sasa hivi Aziz Ki anajinenepea tu, hana habari za Club World Cup wala nini.

Mokwena mwenyewe amekalia kuti kavu huko Wydad, muda wowote kibarua chake kinaota nyasi.

Ninachoona siyo tu Yanga wamekwepakwepa fursa za kumuachia Aziz Ki kwa Wydad, ila pia wametoa masharti magumu yasiyotekelezeka ili tu dili lijifie. Kiufupi wanataka wapigiwe magoti huku wakiwa na dhamira ya dhati ya kutomuuza.

Club World Cup inaanza mwezi June, Wydad hawawezi kumnunua mchezaji kwa pesa ndefu na kutekeleza masharti ya kiduwanzi wanayopewa na Yanga halafu wategemee kumuandaa kwa wiki mbili tu kabla ya mashindano makubwa kama ya CWC kuanza na wakati huo huo anayetaka kumleta wanataka kumtimua muda wowote.

Tufunge stori za Aziz Ki. Huyu tupo naye hapa hapa hadi kiama.
Dah! Mashabiki wa simba ni kama mna gundu vile.
 
Azizi Ki kwa kipaji chake anahitaji kuandaliwa Nini?!! Kua Azizi Ki wiki 2 hazimtoshi kuingia kwenye timu?!! Ama magozi ya Moroco na Club World Cup yapo tofauti na ya kwetu hapa?!!
Magozi ndo Nini 😂😂😂😂
 
Utabiri wako umetimia mkuu

Usipoteze kapu lako la uganga😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom