Yan makolo ni wachawi nyie inafika kipindi mnashindwa kujificha mnaamua kuuonesha wazi uchawi wenu. Haya ona sasa hii aibu yako sijui utaificha wapi?Wydad hawawezi kumnunua mchezaji kwa pesa ndefu na kutekeleza masharti ya kiduwanzi wanayopewa na Yanga halafu wategemee kumuandaa kwa wiki mbili tu kabla ya mashindano makubwa kama ya CWC kuanza na wakati huo huo anayetaka kumleta wanataka kumtimua muda wowote.
Mbumbumbu mtatoka usingizini lini?
Hili ni pigo lingine la kihasibu.
Utabiri wako umetimia mkuu
Usipoteze kapu lako la uganga😂
Ulisema?
Umewahi kuwaza mleta mada ndio angekua mgawa ridhiki?
Nilikuwa sahihi kabisa. Sababu kuu iliyokuwa inakwamisha Aziz Ki kuuzwa Wydad haipo tena. Uto wamesubiri hadi Mokwena kafungishwa virago ndiyo wamekubali kumuuza Mr. Mobetto.Yan makolo ni wachawi nyie inafika kipindi mnashindwa kujificha mnaamua kuuonesha wazi uchawi wenu. Haya ona sasa hii aibu yako sijui utaificha wapi?
Hii ndio source ya kuleta JF? Siyo market transfer?Haya mkeka huu hapa. Mkawa mnadanganyana kauzwa kwa karibia bilioni 2. Yaani uto
View attachment 3346758
Usije ukaweka akili yako ukaamini habari yoyote kuhusiana na Yanga. Amini habari nyingine anazotoa ila sio kuhusiana na Yanga.Haya mkeka huu hapa. Mkawa mnadanganyana kauzwa kwa karibia bilioni 2. Yaani uto
View attachment 3346758
Umeshajiridhisha sasa?Huwa sileti mada kama kwanza sijajiridhisha na jambo ninalosema.
Nani aliyekwambia uto pekee ndiyo wanaweza kuwa source ya taarifa ya uhamisho wa Aziz Ki?Usije ukaweka akili yako ukaamini habari yoyote kuhusiana na Yanga. Amini habari nyingine anazotoa ila sio kuhusiana na Yanga.
Umeshajiridhisha sasa?
Nani alikwambia Micky pekee ndio anaweza kuwa source ya taarifa ya uhamisho wa Aziz Ki?Nani aliyekwambia uto pekee ndiyo wanaweza kuwa source ya taarifa ya uhamisho wa Aziz Ki?
Kiko wapiKile kinachomtokea Aziz sio kushuka kiwango Bali ni kuporomoka kiwango
UongoNgono na mpira havijawahi kaa nyumba moja
Kiko wapi
Nani aliyesema Micky pekee ndiye anaweza kuwa source ya taarifa ya uhamisho wa Aziz Ki?Nani alikwambia Micky pekee ndio anaweza kuwa source ya taarifa ya uhamisho wa Aziz Ki?
kwa nini haya mambo mkuu haujayaeleza tangu ulipotoa post yako mwaka jana?Nilikuwa sahihi kabisa. Sababu kuu iliyokuwa inakwamisha Aziz Ki kuuzwa Wydad haipo tena. Uto wamesubiri hadi Mokwena kafungishwa virago ndiyo wamekubali kumuuza Mr. Mobetto.
Halafu muache hii tabia ya kukaa kimya mtu anapoleta mada, mnakuja kuibuka kutoka vichakani baadae.
View attachment 3346430
Post gani hiyo ya mwaka jana?kwa nini haya mambo mkuu haujayaeleza tangu ulipotoa post yako mwaka jana?
Hii ndio source ya kuleta JF? Siyo market transfer?
Yani watu na akili zetu source yetu iwe Micky? Kweli unetudharau kwa kiwango hiki?
Usije ukaweka akili yako ukaamini habari yoyote kuhusiana na Yanga. Amini habari nyingine anazotoa ila sio kuhusiana na Yanga.
Kuna watu Uzi zao hua zinapindia mwishonii.
Kiko wapi
Ila uto mnajinadi kabisa mko smart halafu bado mnaamini Aziz Ki anaweza kuuzwa karibia shilingi bilioni 4. Inahuzunisha kwa kweli....Hawa jamaa nyuzi habari zao sijui huwa wanatoa wapi.