zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,415
- 27,249
muda umeanza kusema jamboUzi unaenda kuwa wa KIHASIBU. Muda utaongea.
muda umeanza kusema jamboUzi unaenda kuwa wa KIHASIBU. Muda utaongea.
😂😂Jf kuna utitiri wa Wahasibu hadi sio poa.muda umeanza kusema jambo
muhasibu yule sijui ana hali gani baada ya taarifa ya aziz kuuzwa😂😂Jf kuna utitiri wa Wahasibu hadi sio poa.
Nna uhakika hawezi kurudi kwenye haya mashudu yake aliyo mwaga😂😂Jf kuna utitiri wa Wahasibu hadi sio poa.
Huwa sileti mada8MT4X6YG6ma kwanza sijajiridhisha na jambo ninalosema.
Umechelewa kujuaMALA YA KWANZA NILIJUA UNA AKILI TIMAMU NIKAWA NASOMA MADA ZAKO.
Nimekuja kugundua kuwa wewe ni mtu mzima Empty kabisa kichwani.
Huna akili
Aucho bado hana replacement, Mwamnyeto pia tusikurupuke hao wengine waendeMsimu ujao bwana nategemea fagio kubwa sana kuna watu wameshaitumikia sana yanga hebu wakatafute changamoto pengine ikiwemo Aziz/Chama/Farid Musa/Yao kwasi pancha/bakari nondo/Kenedy Musonda/komein aboubakary/Aucho
Akitoka replacement itapatikanaAucho bado hana replacement, Mwamnyeto pia tusikurupuke hao wengine waende
Huyo jamaa ni mpuuzi mmoja tu.... Kutaka kujipa umhimu asiokuwa nao.... Anag'ata meno sana ...sahambaMALA YA KWANZA NILIJUA UNA AKILI TIMAMU NIKAWA NASOMA MADA ZAKO.
Nimekuja kugundua kuwa wewe ni mtu mzima Empty kabisa kichwani.
Huna akili
MALA ❌MALA YA KWANZA NILIJUA UNA AKILI TIMAMU NIKAWA NASOMA MADA ZAKO.
Nimekuja kugundua kuwa wewe ni mtu mzima Empty kabisa kichwani.
Huna akili
sawasawa uwe unajiridhisha kama hivyo ndio unaleta mada mkuu
muda umeanza kusema jambo
😂😂Jf kuna utitiri wa Wahasibu hadi sio poa.
Nilikuwa sahihi. Mambo yamebadilika na Yanga kulegeza kamba baada ya mtu waliyetaka kumkomoa kuondoka pale Wydad.Habari ndugu 👋
Mimi kitambo sana niliwaonya wana Jf kama huyu mtu Hana akili ila hawakunisikiaMALA YA KWANZA NILIJUA UNA AKILI TIMAMU NIKAWA NASOMA MADA ZAKO.
Nimekuja kugundua kuwa wewe ni mtu mzima Empty kabisa kichwani.
Huna akili
Kiko wapi 😂😂😂Sio tu aziz ki hayauzagi wachezaji.
Unapata tabu ukiwa wapi.Kwani nimewahi kusema sifuatilii habari za Yanga?
Na uzi tayari unasema Mokwena alishaonyesha kumtaka Aziz Ki toka baada ya mechi ya Mamelodi ila viongozi wa Yanga wakaapa hawatampa kisa dharau wanazodhani alizionyesha ingawa wote tunajua hiko ni kisingizio tu maana Yanga haina utamaduni wa kumuachia mchezaji kwa amani.
Vip bado unaendelea kujiridhisha......Huwa sileti mada kama kwanza sijajiridhisha na jambo ninalosema.