DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
- Thread starter
- #121
Nimeshakupa mkeka mzima kutoka hiyo source na mimi nauunga mkono maana unaendana na uhalisia ninaoufahamu mimi.Weka wazi bila mabishano.
Nimeshakupa mkeka mzima kutoka hiyo source na mimi nauunga mkono maana unaendana na uhalisia ninaoufahamu mimi.Weka wazi bila mabishano.
SawaNimeshakupa mkeka mzima kutoka hiyo source na mimi nauunga mkono maana unaendana na uhalisia ninaoufahamu mimi.
Kwa hiyo Stephene Aziz Kii ameuzwa, au hajauzwa huko Wydad Casablanca? Lengo la hili swali ni kutaka tu kuufahamu msimamo wako wa mwisho! Ili ikwezekana tuwaombe wenye mamlaka waufute huu uzi wako.Haya mkeka huu hapa. Mkawa mnadanganyana kauzwa kwa karibia bilioni 2. Yaani uto
View attachment 3346758
Kwa hiyo Stephene Aziz Kii ameuzwa, au hajauzwa huko Wydad Casablanca? Lengo la hili swali ni kutaka tu kuufahamu msimamo wako wa mwisho! Ili ikwezekana tuwaombe wenye mamlaka waufute huu uzi wako.
Msimamo wangu ulikuwa uto iliwekea ngumu kumuuza Mr. Mobetto kwa sababu ya kisirani walichokuwa nacho dhidi ya Kocha Mokwena.Conclusion yake ilikuwa
"Tufunge stori za Aziz Ki. Huyu tupo naye hapa hapa hadi kiama"
Kwa hiyo ameuzwa! Naomba ujibu kwa ufupi tafadhali. Ndiyo, au hapana?Msimamo wangu ulikuwa uto iliwekea ngumu kumuuza Mr. Mobetto kwa sababu ya kisirani walichokuwa nacho dhidi ya Kocha Mokwena.
Mokwena ametimuliwa na hayupo tena Wydad kwa hiyo uto wameridhia kumuuza Mr. Mobetto.
Pia likajwa swali la ameuzwa kiasi gani. Huo mkeka ni wa kusafisha vimbelembele waliokuwa wanadai Mr. Mobetto ameuzwa kwa karibia mwigulu bilioni 2 jambo ambalo siyo kweli.
Usiniambie na wewe umefikia kuwa mtu wa kuuliza maswali ya kiduwanzi kama hayo.Kwa hiyo ameuzwa! Naomba ujibu kwa ufupi tafadhali. Ndiyo, au hapana?
Tayari mkuuUzi unaenda kuwa wa KIHASIBU. Muda utaongea.
Yan makolo ni wachawi nyie inafika kipindi mnashindwa kujificha mnaamua kuuonesha wazi uchawi wenu. Haya ona sasa hii aibu yako sijui utaificha wapi?
Nani alikwambia Micky pekee ndio anaweza kuwa source ya taarifa ya uhamisho wa Aziz Ki?
Ila uto mnajinadi kabisa mko smart halafu bado mnaamini Aziz Ki anaweza kuuzwa karibia shilingi bilioni 4. Inahuzunisha kwa kweli....
Source yenyewe ndio hii??
Au wewe ndo Micky mwenyewe??
Unapenda mabishano yasiyo na faida yoyote ndgu yangu.
Kujibu kifupi namna hiyo ni kukupa ujumbe kua siendelei na huo mjadala.
Akili ndogo sana inatumika kung'amua hilo mkuu.
Siku zote ukweli una tabia ya kuchelewa ila ukifika, nyeti zote za uongo na propaganda zinaachwa wazi.Kwa hiyo ameuzwa! Naomba ujibu kwa ufupi tafadhali. Ndiyo, au hapana?
Jifunze kuwa na akiba ya maneno, kiwango cha Aziz Ki sio cha kubahatisha, atakuja kukuumbua huyu.Siku zote ukweli una tabia ya kuchelewa ila ukifika, nyeti zote za uongo na propaganda zinaachwa wazi.
View attachment 3386164
Huyu chawa wa uto anatuambia leo kuwa Aziz Ki kumbe alikuwa kwenye mkopo wa wiki 3. Kutoka kununuliwa kwa bilioni 4 hadi kutolewa kwa mkopo wa wiki 3, ukwerrrii ndo huo.
Sasa mtuambie kwa jinsi Wydad walivyomtumia huko CWC mnaona kama kweli walimhitaji huyu mchezaji kama mlivyokuwa na huyu chawa anavyotaka bado kutuaminisha?
Tuacheni kudanganyana jamani!
Ataniumbua kwa lipi? Mechi na Man City kacheza dakika 6 za mwisho. Mechi na Juventus kacheza dakika 3. Mechi ya mwisho hata hajagusa uwanja. Huyu ndiye waende kuwalipa bilioni 4 mlizokuwa mnatamba nazo?Jifunze kuwa na akiba ya maneno, kiwango cha Aziz Ki sio cha kubahatisha, atakuja kukuumbua huyu.
Lakini kumbukumbu zangu zinaniambia hata Mayele mliwahi kusema yupo kwa mkopo Yanga. Tukawauliza mkopo gani wa miaka miwili mkashindwa kujibu.Siku zote ukweli una tabia ya kuchelewa ila ukifika, nyeti zote za uongo na propaganda zinaachwa wazi.
View attachment 3386164
Huyu chawa wa uto anatuambia leo kuwa Aziz Ki kumbe alikuwa kwenye mkopo wa wiki 3. Kutoka kununuliwa kwa bilioni 4 hadi kutolewa kwa mkopo wa wiki 3, ukwerrrii ndo huo.
Sasa mtuambie kwa jinsi Wydad walivyomtumia huko CWC mnaona kama kweli walimhitaji huyu mchezaji kama mlivyokuwa na huyu chawa anavyotaka bado kutuaminisha?
Tuacheni kudanganyana jamani!
Kama haujui, timu kadhaa hasa hizi za Africa zilichukua wachezaji kwa mikataba ya muda mfupi kwa ajili ya Club World Cup. Sababu kubwa ikiwa ni gharama kubwa za hao wachezaji, siyo tu katika signing fees, nk. ila pia katika kuwalipa mishahara yao mikubwa kwa muda mrefu.Lakini kumbukumbu zangu zinaniambia hata Mayele mliwahi kusema yupo kwa mkopo Yanga. Tukawauliza mkopo gani wa miaka miwili mkashindwa kujibu.
Sasa nakuuliza tena mkopo gani huo wa wiki tatu? Je tutegemee kumuona msimu ujao wa 25/26 Yanga baada ya kumaliza huo mkopo wa wiki tatu? Naomba majibu
Ndugu unajua wewe unaeleza kihisia zaidi badala ya uhalisia. Hakuna timu yoyote duniani inayojielewa ikampa mchezaji mkopo wa wiki 3 au hata wiki 4. Kwa mchezaji kariba ya Aziz Ki kweli aende WC apate dakika zisizozidi 10 kwa mashindano ya wiki 4 halafu ije kumtema eti haijaridhika na kiwango chake! Wewe hiyo inakuingia akilini kabisa? Assume wewe ndio wakala wa mchezaji unaweza kufanya blunder kama hiyo?Kama haujui, timu kadhaa hasa hizi za Africa zilichukua wachezaji kwa mikataba ya muda mfupi kwa ajili ya Club World Cup. Sababu kubwa ikiwa ni gharama kubwa za hao wachezaji, siyo tu katika signing fees, nk. ila pia katika kuwalipa mishahara yao mikubwa kwa muda mrefu.
Unashangaa mkopo wa miaka 2? Mkopo unaweza kuwa wa mwaka mmoja ukawa na vipengele vya kuongeza muda, kumnunua mchezaji au kuachana naye.
Huyu aliyesema Aziz Ki yupo kwa mkopo ni chawa kindakindaki wa Yanga ambaye amejenga career yake katika kuitetea na kuilinda Yanga. Kwa nini leo hii aje atuambie Aziz Ki yupo kwa mkopo halafu tusimuamini na kwa nini hakusema haya toka mwanzo? Ni kwamba ameona kuna uwezekano mkubwa wa kutemwa ndiyo maana amevujisha hizi taarifa mapema. Aziz Ki angeonekana ni tegemeo huko CWC na angeperform vizuri hizi taarifa tusingezipata.
Sielewi unachobisha ni nini wakati hizi taarifa ukizitaka hata mitandaoni unazipata.Ndugu unajua wewe unaeleza kihisia zaidi badala ya uhalisia. Hakuna timu yoyote duniani inayojielewa ikampa mchezaji mkopo wa wiki 3 au hata wiki 4. Kwa mchezaji kariba ya Aziz Ki kweli aende WC apate dakika zisizozidi 10 kwa mashindano ya wiki 4 halafu ije kumtema eti haijaridhika na kiwango chake! Wewe hiyo inakuingia akilini kabisa? Assume wewe ndio wakala wa mchezaji unaweza kufanya blunder kama hiyo?
Kwa hiyo huyo chawa wa Yanga ametengeneza taarifa za uongo kuichafua Yanga?Sasa kwa hizi taarifa zinazotoka ni aidha kuna misinformation au watoa taarifa mmeamua kutengeneza propaganda yenu wenyewe kwa malengo yenu wenyewe maana mpaka unaniambia career ya mtoa taarifa utafikiri simfahamu. Sijui ila kwa akili ya kawaida bila hisia hicho kitu hakiwezekani
Yan habari kama hiyo machawa konki wa Simba wasi ripoti aje aripoti dogo mwingine anayejitafuta kwenye career yake?Sielewi unachobisha ni nini wakati hizi taarifa ukizitaka hata mitandaoni unazipata.
Kwa hiyo huyo chawa wa Yanga ametengeneza taarifa za uongo kuichafua Yanga?
SawaSio tu aziz ki hayauzagi wachezaji.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sfr hii mtafungwa 10 na mnyama
Huyu ni kawaida yake kupindisha alichokisema baada ya mambo kuwa ndivyo sivyo.Conclusion yake ilikuwa
"Tufunge stori za Aziz Ki. Huyu tupo naye hapa hapa hadi kiama"