Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,197
- 3,918
Ngono na mpira havijawahi kaa nyumba mojaKile kinachomtokea Aziz sio kushuka kiwango Bali ni kuporomoka kiwango
Ngono na mpira havijawahi kaa nyumba mojaKile kinachomtokea Aziz sio kushuka kiwango Bali ni kuporomoka kiwango
Nasimama na nilichosema katika mada yangu. Mengine hayo ya kina Kibu nakuachia wewe uliyeyaletaKwa akili zako lazima usahau sio kosa lako, ila uzuri JF inatunza risiti kasome comments zako na zangu halafu utaona nani aliyeanza kuzungumzia tamaduni kwenye maswala ya usajili.
Nililitegemea hilo.Nasimama na nilichosema katika mada yangu. Mengine hayo ya kina Kibu nakuachia wewe uliyeyaleta
Sawa sawaNililitegemea hilo.
Aziz ki alikungonilesha Nini?Ngono na mpira havijawahi kaa nyumba moja
Unazi ni tatizo sana ona huyu mburukenge sasaAziz ki alikungonilesha Nini?
Tupe ushahidi labda ashakufanya vibaya hatujui
Umetoa Tuhuma nzito
Unakereka nini Aziz ki akifanya ngonoUnazi ni tatizo sana ona huyu mburukenge sasa
Kamuuze Kibu au Panzi kama watawakubaliIla miyanga ni mibinafsii
Haya nayo malimbukeni bana...mlishachezea 5 mkala 6 mkala 4 za kutosha...hii ndo tofauti yetu na nyie malimbukeni....Kamuuze Kibu au Panzi kama watawakubali
Au hapo umbumbumbuni hakuna wachezaji wanaotoka kucheza nje
Mnataka tuwauze ili tusiwafunge 5
Mayele kauzwa 1 billionHaya nayo malimbukeni bana...mlishachezea 5 mkala 6 mkala 4 za kutosha...hii ndo tofauti yetu na nyie malimbukeni....
Nyie ni mabinafsi ndo maana mayele akaondoka freee mamburura nyie...roho mbaya chuki husda....
Sfr hii mtafungwa 10 na mnyama
Mayele aliondoka bure?Haya nayo malimbukeni bana...mlishachezea 5 mkala 6 mkala 4 za kutosha...hii ndo tofauti yetu na nyie malimbukeni....
Nyie ni mabinafsi ndo maana mayele akaondoka freee mamburura nyie...roho mbaya chuki husda....
Sfr hii mtafungwa 10 na mnyama
Huyo ni mbumbumbu me najua kuishi nao na umbumbumbu waoMayele aliondoka bure?
MsyuuuMayele kauzwa 1 billion
Feisal kauzwa million 700
Mzize na Aziz ki watauzwa 5bilions
Mazuzu mnajipa umuhimu sana nyie...Huyo ni mbumbumbu me najua kuishi nao na umbumbumbu wao
Pole koloMsyuuu
Chukua na wewe Uto...Pole kolo
Aishi miaka mingi mzee Rage ! Kiama kimefika kama ulivyosemaNafikiri hizi stori za Aziz Ki kuuzwa Wydad tuzizike rasmi na tuachane nazo.
Yanga haijawahi kutaka kumuachia Aziz Ki na kitendo cha aliyekuwa kocha wa Mamelodi, Rulani Mokwena kumsogeza na kuanza "kumnong'oneza" baada ya ile mechi ya robo fainali kati ya Mamelodi na Yanga ilichukuliwa kama ishara ya dharau kwa Yanga na ikawapa hasira, kiburi na kisingizio cha kuapa kwamba hawatakuja kumuuza kwa Mamelodi au popote pale Mokwena atakapokuwa.
Harakati za kumuozesha kwa Hamisa Mobetto zilikuwa zina nia hiyo hiyo ya kumnasa katika tundu bovu. Sasa hivi Aziz Ki anajinenepea tu, hana habari za Club World Cup wala nini.
Mokwena mwenyewe amekalia kuti kavu huko Wydad, muda wowote kibarua chake kinaota nyasi.
Ninachoona siyo tu Yanga wamekwepakwepa fursa za kumuachia Aziz Ki kwa Wydad, ila pia wametoa masharti magumu yasiyotekelezeka ili tu dili lijifie. Kiufupi wanataka wapigiwe magoti huku wakiwa na dhamira ya dhati ya kutomuuza.
Club World Cup inaanza mwezi June, Wydad hawawezi kumnunua mchezaji kwa pesa ndefu na kutekeleza masharti ya kiduwanzi wanayopewa na Yanga halafu wategemee kumuandaa kwa wiki mbili tu kabla ya mashindano makubwa kama ya CWC kuanza na wakati huo huo anayetaka kumleta wanataka kumtimua muda wowote.
Tufunge stori za Aziz Ki. Huyu tupo naye hapa hapa hadi kiama.
Una maono ya kinabiiUzi unaenda kuwa wa KIHASIBU. Muda utaongea.
sawasawa uwe unajiridhisha kama hivyo ndio unaleta mada mkuuHuwa sileti mada kama kwanza sijajiridhisha na jambo ninalosema.