faby
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 2,214
- 768
Mungu wangu kwangu itakuwa kama kituo cha runinga kwa kuwa na madish mengi nina Zuku,DStv na sasa Azam,jamani kwanini isiwe kama kampuni za simu tuwe tunabadili smart card tu ,hadi mapaa yanaanguka kwa kuzidiwa na madishi na sebuleni hadi meza zinaanguka kwa kubeba ving'amusi.Mapaa ya nyumba yamekuwa kama majumba ya mazungu wa unga kwa kuwa na madish mengi.Naomba Azam asije kutujazia channel za Peace TV na za Yemeni au Mecca
Mkuu mbona umeharisha! Au unataka aweke chanel za yule tapeli tb joshua?