Azam Media Group

Azam Media Group

Kwa style hii Azam atachukua pesa zetu sana tu, wateja wa Startimes atawachukua karibia wote!
 
Sina hakika na bei kama bi elfu mbili.. kama kweli atawakomba hadi wa vijijini
 
Hapo hata sisi ambao tumegoma kununua king'amuzi kutokana na ubabaishaji tunakisubiri kukinunua.
 
Si mchezo naona sasa ukombozi wa full kujilamba unakaribia, mimi nivyofahamu huu utakuwa ukombozi kwa watanzania. kwa kuwa wanatumia dishi hata sisi wa huku interior mambo yatakuwa safi, azam tv tunakusubili kwa hamu sana.
 
602772_532542333445845_652343287_n.jpg

Haya mambo ya kua na Visimbuzi 10 sebuleni ni usumbufu sana, bado sijaona kampuni ambayo inaweza kukizi mahitaji ya watazamaji wengi wa tv hapa tz, kwani urasimu ni mwingi mno
 
Kwa taarifa nlizopata ni kwamba azam media group watazindua king'amuz chao cha azam tv cku ya eid,, kina
Chaneli 80 za kitaifa na kimataifa,,
Ligi kuu tanzania itaoneshwa na pia EPL na LA LIGA!! Kaeni mkao wa kula wadau

We acha uongo utakuja umbuke EPL sio ligi ya ktoto lesen yake kuipata ni ngum mno..we unadhan zuku na startime,continental,digitek hawapendi kuonesha?..na hyo elfu mbili kwa mwz haiwezekan! labda km sat ni yao..
 
Wataonesha mechi mbili za epl kila wiki, jmoc mech 1 na jpli au j3 1... Kama huamin we subiri,
 
Tena nilitaka kununua zuku ila hawa jamaa hawaeleweki kabisa kila mwezi wanapandisha bei,mwezi huu 16000 mwezi ujao wanakuambia ulipie 28000 mwezi mwingine unaambiwa ununue 48000 NASUBIRI!!!!!!!!
 
Kwa taarifa nlizopata ni kwamba azam media group watazindua king'amuz chao cha azam tv cku ya eid,, kina
Chaneli 80 za kitaifa na kimataifa,,
Ligi kuu tanzania itaoneshwa na pia EPL na LA LIGA!! Kaeni mkao wa kula wadau
Mungu wangu kwangu itakuwa kama kituo cha runinga kwa kuwa na madish mengi nina Zuku,DStv na sasa Azam,jamani kwanini isiwe kama kampuni za simu tuwe tunabadili smart card tu ,hadi mapaa yanaanguka kwa kuzidiwa na madishi na sebuleni hadi meza zinaanguka kwa kubeba ving'amusi.Mapaa ya nyumba yamekuwa kama majumba ya mazungu wa unga kwa kuwa na madish mengi.Naomba Azam asije kutujazia channel za Peace TV na za Yemeni au Mecca
 
Kisimbus chenyewe ni 48000, ila ukinunua seti nzima pamoja na dishi lake ni 90000, malipo kwa mwezi ni tsh 2000 tuu!!

kina channels zipi ?nijiandae kuuza ving'amusi nilivyonavyo kwa bei ya karibu na bure,
 
Kisimbus chenyewe ni 48000, ila ukinunua seti nzima pamoja na dishi lake ni 90000, malipo kwa mwezi ni tsh 2000 tuu!!

Huyo ndiyo atakuwa mkombozi. Unafungiwa na kadish kwa hiyo hakuna masuala ya chengachenga. Haka kama wakisema ni Tshs 5,000.00 hakuna shida.
 
dstv ni kila kitu.hawawezi kuonyesha epl wakionyesha mimi nakufa

Mkuu nao DStv ni kama wanatukomoa yaani wanaofaidi ni wale tu wanaotoa TZS 135000 kwa mwezi wengine wa vifurushi mdebwedo hakuna kitu,narudi tena ZUKU kwa maana kwa sisi wa vifurushi mdebwedo hakuna kuenjoy chochote,tumejaziwa channels za mchina tu
 
poleni sana ndugu zangu. Ila cwalaumu kwan bado mko masomoni na mtakapohitimu mtaujua ukweli ambao utawafanya muwe huru. Mtaendelea kuumia sana kwani kuhitimu hakutakuja haraka. Poleni sana ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom