Azam huu nao ni ubaguzi

Azam huu nao ni ubaguzi

Kuna kosa hapo sidhani kama miili ya hao madereva haikusafirishwa pamoja na hao marehemu wengine lakini pia inawezekana miili itatokea hapo Hospital ilipoifadhiwa kwenda kwa hao ndugu wa madereva direct bila kuja dar.. !! But all in all hapo pana tatizo
Tatizo lipo kwenye kuanzia kutangaza. Ajali imeondoa Watanzania saba (7), lakini Azam wao wanatangaza watano (5) wa kwao tu. Hii haijakaa sawa kabisa
 
Habarini wakuu...?

Poleni wafiwa wote kwanza

Mie nimeliona hili toka jana azam mnavyotangaza kufiwa na staff wenzenu

1. Kwanza mnatangaza sana watu watano badala ya 7, hata kama wale wawili sio staff wenu lakini mkumbuke ndio walikua wamewabeba staff wenu.

2. Mmefata miili ya staff watano tu, yan mmeshindwa hata kusaidia hiyo miili miwili ya wenzetu...

Mkumbuke lakini hata hao madereva ukute walikua wateja wenu kwa namna moja, lakini ninyi mmejiangalia kama ninyi tu kwenye shida.

Mungu mkubwa kupitia clouds fm nimewasikia madereva wa coaster wa biafra na external nao wamesema wanajipanga kusafirisha miili ya wenzao hao pia wizara ya utalii imesema itawasaidia....

NOTE
Azam kumbukeni hata msiba wa lucky Vicente serikali haikubagua kwamba huyu ni dereva alisababisha ajali au hawa ni wanafunzi na walimu, bali ilitoa heshima ya maziko kwa wote.View attachment 1149596
Niliwaza kuhusu hili pia, anyway
 
nawaambia siku zote; matatizo mengine watanzania tunajitakia wenyewe.

halafu unatukuta nasi wanachama tunajimwaga jukwaani kushadadia tusiyoyajua. likitokea la uwajibikaji lawama tele.
Mleta Uzi soma hii na futa uzi wako mara moja.
 
Habarini wakuu...?

Poleni wafiwa wote kwanza

Mie nimeliona hili toka jana azam mnavyotangaza kufiwa na staff wenzenu

1. Kwanza mnatangaza sana watu watano badala ya 7, hata kama wale wawili sio staff wenu lakini mkumbuke ndio walikua wamewabeba staff wenu.

2. Mmefata miili ya staff watano tu, yan mmeshindwa hata kusaidia hiyo miili miwili ya wenzetu...

Mkumbuke lakini hata hao madereva ukute walikua wateja wenu kwa namna moja, lakini ninyi mmejiangalia kama ninyi tu kwenye shida.

Mungu mkubwa kupitia clouds fm nimewasikia madereva wa coaster wa biafra na external nao wamesema wanajipanga kusafirisha miili ya wenzao hao pia wizara ya utalii imesema itawasaidia....

NOTE
Azam kumbukeni hata msiba wa lucky Vicente serikali haikubagua kwamba huyu ni dereva alisababisha ajali au hawa ni wanafunzi na walimu, bali ilitoa heshima ya maziko kwa wote.View attachment 1149596

Kwani Wewe hii tabia ya Kiubaguzi pamoja ya Udini iliyopo hapo ndiyo umeanza Kuijua leo Kiongozi? Pole sana!
 
🤔🤔🤔🤔
Kama Ndiyo Hivyo Kuna Eneo Haliko Sawa Sawa
 
Inasikitisha kwa kweli. Walitakiwa wasafirishe miili yote saba. Walitakiwa wawasiliane na ndugu za hao madereva. Watu wabaguzi jamani. Tena kwenye matatizo jamani.
Kiukweli hawajatenda haki
 
Waafrika tumelogwa na aliyetuloga alikufa kitambo hivi ata ungekuwa na roho ya shetani unaweza fanya jambo kama ilo? Kwamba ufike eneo last ajari ubebe mili ya wafanyakazi wako tu nyingine uiache hapo? Think twice bro ilo aliwezekani mnawabebesha watu lawama za bule kabisa.
 
Na madereva wamesafirishwa pamoja na wafanyakazi wa Azam.

Labda kwa kuwa matangazo yao yanawataja wafanykazi hao watano ukahisi hao madereva wamewaacha.

Nipo karibu na familia ya dereva mmoja aliyefariki. Maiti imesafirishwa na Azam na imefika jana kwa njia ya ndege.
Tusipende kulaumu bila ya uthibitisho
JamiiForums naomba hizi comments mziweke kwenye huo uzi hapo juu, ili watu waone ukweli ulipo.
Tusipende kutunga tunga maneno ambayo hatuna uhakika nayo!!!!
Ahsante wakuu Do santos na jerrybanks
mimi mwenyewe nlikuwa miongoni mwa waliopokea hizo maiti na zilikuwa 7 watanzania tuache kukurupuka kwa mambo msiyoyajua alafu mkipotezwa mnalalamika kumbe ni haki yenu
 
Na madereva wamesafirishwa pamoja na wafanyakazi wa Azam.

Labda kwa kuwa matangazo yao yanawataja wafanykazi hao watano ukahisi hao madereva wamewaacha.

Nipo karibu na familia ya dereva mmoja aliyefariki. Maiti imesafirishwa na Azam na imefika jana kwa njia ya ndege.
Tusipende kulaumu bila ya uthibitisho
Case closed (in Lemutuz voice)
 
Maiti zilikuja tano za staff wa Azam tu.... Zile mbili zililetwa kwa Bus hadi morogoro tu.

Azam walichofanya ni kujijari wenyewe, wamesahau wale madereva waliwakodi.
 
Back
Top Bottom