hyusuph
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,655
- 692
Watu mnapenda kulalamika sana jaman yan hakuna jema!kila alifanyalo mja hakuna jema!ptuuuuuTatizo lipo kwenye kuanzia kutangaza. Ajali imeondoa Watanzania saba (7), lakini Azam wao wanatangaza watano (5) wa kwao tu. Hii haijakaa sawa kabisa