Hawa ni noma. Sijawahi kuwasikia wakitoa salamu za pasaka wala xmass kwa watazamaji wao.
Radio Maria imesajiliwa kidiniALAFU WAKRISTO MNANISHANGAZAGA.MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAM MCHUNGU.
MBONA SIJAWAHI ONA RADIO MARIA IKIPIGA NASHEED.??!!
Utakufa na umasikini wako kwa wivu.Haya ma azam Jana ndio yamelazimishwa kupiga nyimbo za kikristo tangu yafungue li TV lao wapuuzi sana
🤣 🤣 🤣 🤣 Radio Maria ni redio ya Kikatoliki, purely KATOLIKI. Sio redio kama Uhai ama radio One ama Clouds. Ni kama redio Imani vile!ALAFU WAKRISTO MNANISHANGAZAGA.MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAM MCHUNGU.
MBONA SIJAWAHI ONA RADIO MARIA IKIPIGA NASHEED.??!!
Jinga hilo. Lina akili zileee za kukariri lugha ya halwaRadio Maria imesajiliwa kidini
Kama ilivyo kwa Redio Sauti ya Quran, Redio Kheri na Redio Iman
Je Azam Media imesajiliwa kidini?
Duuuh...! Wakipotezwa ni haki yao?mimi mwenyewe nlikuwa miongoni mwa waliopokea hizo maiti na zilikuwa 7 watanzania tuache kukurupuka kwa mambo msiyoyajua alafu mkipotezwa mnalalamika kumbe ni haki yenu
Licha ya ndg, uongozi wa hao madereva (tajiri mwenye hiyo gari) wangewasilian nae pia kwsbb sidhani km madereva walitaka kufa nao.Inasikitisha kwa kweli. Walitakiwa wasafirishe miili yote saba. Walitakiwa wawasiliane na ndugu za hao madereva. Watu wabaguzi jamani. Tena kwenye matatizo jamani.
We kibibi, dini imeingiaje hapo!?Kwani Wewe hii tabia ya Kiubaguzi pamoja ya Udini iliyopo hapo ndiyo umeanza Kuijua leo Kiongozi? Pole sana!
afute!!!..udini unamsumbua,maana cha kukosoa hana,walidai azam inaajiri kidini,lakini katika marehemu..wengi ni wa dini isiyo ya azamMleta Uzi soma hii na futa uzi wako mara moja.
katika waliofariki wakristo wangapi na waislam wangapi?Jinga hilo. Lina akili zileee za kukariri lugha ya halwa