Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,814
- 11,503
Mengine ya dini ni kuwaonea Azam. Tuache unafiki watanzania tunajua fika kuna taasisi nchi hii mpaka zimekua vigango vya madhehebu fulani.
Mimi sehemu pekee nayowalaumu ni kutotoa official statement ya kueleza kinagaubaga. Maana ikumbukwe awali walitueleza wataonyesha mechi zote. Kwenye hili nawalaumu. Maana kuondoa sintofahamu lazima uwaeleze walaji kwamba kutokana na 1,2,3, hatutaendelea, kuliko kutuacha kwenye suspense. Ni hayo tu!