gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,583
Na Copa America!startimes mkuu hawaoneshi africon. but wanaonesha bundasliga, serie A, mls, jupler league, ligi kuu scotland, ligi kuu uturuki, na ligi kuu sweden (kwa baadhi ya matches)
Na Copa America!startimes mkuu hawaoneshi africon. but wanaonesha bundasliga, serie A, mls, jupler league, ligi kuu scotland, ligi kuu uturuki, na ligi kuu sweden (kwa baadhi ya matches)
Acha uongo bwana! Unasimulia kitu utadhani unatumia peke ako!
Mimi pia ni mwathirika wa kisimbuzi cha Azam kutoonyesha Afcon kuanzia hatua ya robo fainali ila,
Hata channel za kikristo zipo kwenye hiki king’amuzi..
Channel za historia,jografia&science zipo angalia vizuri kisimbuzi chako.
Kaswida na mambo ya dini ya kiislamu kwa channel ya ndani ni moja tu zbc2, kuna nyingne za kiislam za nje....Lakini pia zipo nyingine nyingi za kikristo kutoka nje.
Huenda unanunua kifurushi cha bei ya chini kabisa huwezi kuziona unaishia kulalama tu.
Labda ungekuja na hoja kwann safu ya uongozi walio wengi ni waislam hapo ningekuelewa kidoogo.
Hayo ni mambo ya leseni. Kbc wana leseni ya kuonesha Afcon ndani ya Kenya hivyo kama kuna watu wamewauzia matangazo nje ya Kenya mpira ukianza lazima wazime vinginevyo watashtakiwa kwenda kinyume. Kuna wakati channel ya Uganda ilikuwa hivyo hivyo ikifika muda wa ucl inazimwa.
Ili kuonesha Afcon Tz ilibidi Azam anunue matangazo mwenyewe kama Dstv wanavyonunua
Watangazaji pia waislamu.
Watangazaji pia waislamu.
Wabongo bana shikamooniliyonayo inaitwa STRONG 4922 nlinunua laki mbili, napata local channels karibia zote free silipii daima, pia napata channels za movies kali na mpya kila siku, wanyama, mpira ligi kama zote bure silipii na sitakuja kulipia daima. channels kama 1000+ satellite tofauti bureeeeee! nlichofanya nimetega dish kwenye satellite tofauti zinazorusha channels bure bila malipo. wanachokifanya azam na maboya wengine kama zuku wanazitafuta channels nyingi kwenye satellite tofauti kisha wanazikusanya kwenye kingámuzi kimoja ndo wanawalipisha, ila kama unadishi lako unatega tu mwenyewe unajitafutia channels unazopenda, tena ziko nyingi hadi utachoka kutazama.
Hata mavazi na ajira pale idadi kubwa ni Islamic.King'amuzi cha Azam kimeletwa maalumu kwa ajili ya wazanzibari na waislam ukiangalia azam maudhui ya burudani ni michezo na sinema peke yake na hata sinema zingine zina mambo ya oman kama ya sultani kwa hivyo siyo rafiki sana kwa wapenda burudani bhasi kila ukifungua channeli unaskia Allahhhh....siyo kudhihaki lakini hawa jamaa strategy yao ya haijakaa kibishiara ila ki ajenda zaidi..
Chaneli zenye mafundisho pia ni haba kwa azam nikaamanisha chaneli za science,makala mbali mbali za kijografia na historia kwa mimi nimeona hakuna au zipo zinazobabaisha ... ila ukisogeza tuu qaswida..Tena ndo iwe ijuumaa sasa ...Aaaaah ah hh...
Acha kutetea upuuzi. Azam ni tatizo, hakuna burudani yoyote ya maana.Acha ufisadi wewe, azam ina channels ya bongo movie kutwa nzima, ina channels za mipira ya ligi kuu ina channels za mziki kutwa nzima, yte huyaoni haya unapandikiza chuki tu, et omani mara unaskia allah mara kaswida
Bora yako.....mimi najutaMachale yalinicheza mwanzo kuwa naweza kulipia Azam kwa ajili ya AFCON nikaingia cha Kike. Bora nilivyolipia Dstv.
Hii ina ukweliKama sio dstv potezea
Ila utakuja ukipate kwa gharama kubwa maana dikoda tu bila card ni 80000, dikoda na kadi 120000 bila dishi.Nimekiuza juzi tu kwa bei ya hasara azam wajinga sana
Azam wanazidi kujichimbia kaburi,yaani kila kona Tz watu wamelalamika sana hiki kitendo chao cha unyama mkubwa,AFCON tunaishia kusimuliwa tu ,hovyo kabisaHawa jamaa wana roho mbaya sana. Hivi chanel ya kbc ambayo nimeilipia inawahusu nini?
Kwa nini kila mpira ukitaka kuanza mnazifunga chanel zao kwenye li mbuzi lenu?
Aisee natamani mnirudishie hela yangu nilipie startimes.
Hawajatoa stament yoyote ile kuhusu kusitisha kuonesha mashindano ya Afcon since last weekVing'amuzi vya azam ni vya kwenda kuvitupa nje ya ofisi yao ili wapate ujumbe fulani hivi matata.....kazi kafala tu, nyambafu kabisa...
Ni lazima kukitumia... Nimeshatumia miaka3 ..... Kikubwa ni ligi tu ya Tanzania tofauti na hilo sioni utofauti...Ila utakuja ukipate kwa gharama kubwa maana dikoda tu bila card ni 80000, dikoda na kadi 120000 bila dishi.
Burudani gani waitaka wewe ikutosheleze mpka ujisikie.!!!!Acha kutetea upuuzi. Azam ni tatizo, hakuna burudani yoyote ya maana.

Kwani ni kosa kuwepo kwa waislamu!!!!!Hata mavazi na ajira pale idadi kubwa ni Islamic.
Oya wee haya ya kweli au?niliyonayo inaitwa STRONG 4922 nlinunua laki mbili, napata local channels karibia zote free silipii daima, pia napata channels za movies kali na mpya kila siku, wanyama, mpira ligi kama zote bure silipii na sitakuja kulipia daima. channels kama 1000+ satellite tofauti bureeeeee! nlichofanya nimetega dish kwenye satellite tofauti zinazorusha channels bure bila malipo. wanachokifanya azam na maboya wengine kama zuku wanazitafuta channels nyingi kwenye satellite tofauti kisha wanazikusanya kwenye kingámuzi kimoja ndo wanawalipisha, ila kama unadishi lako unatega tu mwenyewe unajitafutia channels unazopenda, tena ziko nyingi hadi utachoka kutazama.
Kwanin hawaoneshi AFCON?Acha ufisadi wewe, azam ina channels ya bongo movie kutwa nzima, ina channels za mipira ya ligi kuu ina channels za mziki kutwa nzima, yte huyaoni haya unapandikiza chuki tu, et omani mara unaskia allah mara kaswida
Ulitaka waajiri mijitu inayokula ovyo nguruwe kama wewe?Hata mavazi na ajira pale idadi kubwa ni Islamic.