Azam acheni roho mbaya za Kikaburu

Azam acheni roho mbaya za Kikaburu

Unatetea upuuzi kwani wewe ndiyo demu wake wajukuu wa Bakhressa ?

Hao jamaa king'amuzi chao sasa hivi hovyo sana zamani walikuwa wanabebwa na FTAs baada ya kuondolewa wamebaki na mamovie yao ya kiarabu na korea.

Hawa jamaa hovyo sana

Waturkey ni warabu? Duhh waswahili bwana mtihani kweli kweli,,, Mnawekewa movie hamjui kutofautisha hawa ni taifa gani!!!
 
Aisee kumbe startimes wanaonyesha MLS..?
startimes mkuu hawaoneshi africon. but wanaonesha bundasliga, serie A, mls, jupler league, ligi kuu scotland, ligi kuu uturuki, na ligi kuu sweden (kwa baadhi ya matches)
 
Kama sio Dstv potezea. Ukitaka muvi na series za kibongo zinapatikana muda wote pale Maisha Magic Bongo tena kwa quality ya juu.
 
Kama sio Dstv potezea. Ukitaka muvi na series za kibongo zinapatikana muda wote pale Maisha Magic Bongo tena kwa quality ya juu.
Na ile channel yao ya aisha magic east wanaonesha nini?
 
Hawa jamaa wana roho mbaya sana. Hivi chanel ya kbc ambayo nimeilipia inawahusu nini?

Kwa nini kila mpira ukitaka kuanza mnazifunga chanel zao kwenye li mbuzi lenu?

Aisee natamani mnirudishie hela yangu nilipie startimes.
Azam ni matapeli kama matapeli wengine tu. Hujiulizi kwanini baada ya wao kufungiwa kuonyesha local channels still bei ilibaki ile ile wakati ki uhalisia wakati umenunua hizo decoder, bei ilihusisha na local channels?
 
hivi bado kuna watu wananunua vingámuzi vya kulipia tu karne hii? aisee hayo majanga mnajitakia wenyewe poleeni sana. wale tuliofunga madishi ya futi 6 na receivers za FREE TO AIR tunacheka kwa dharauuuu! hayo mambo ya kulipia ni zama za mawe za kati.
Kuna mazuri gani huko?
 
Toa maujuzi hayo
Aiseeee! Startimes kwa wenye dish wana channels nyingi kuliko kisimbusi chochote zinafika hadi 1000 hadi brazzers tv ya porno ipo ila ni ujuzi wako tu ili upate acces yake ionyeshe!

AFCON inaonekana startimes kwenye machanel ya nchi kibao ila kama una cha antena unaweza kukichoma moto ni mara elfu 50 Azam
 
Mambo mengine bana😁sasa kama unacho king'muzi kingine si ukilipie tu .Huu uzi hautarekebisha kitu.Make life easy bana achen malalamo ya kire.
 
startimes mkuu hawaoneshi africon. but wanaonesha bundasliga, serie A, mls, jupler league, ligi kuu scotland, ligi kuu uturuki, na ligi kuu sweden (kwa baadhi ya matches)
KBC, UBC na Rwanda Tv walikuwa wanaonesha
 
niliyonayo inaitwa STRONG 4922 nlinunua laki mbili, napata local channels karibia zote free silipii daima, pia napata channels za movies kali na mpya kila siku, wanyama, mpira ligi kama zote bure silipii na sitakuja kulipia daima. channels kama 1000+ satellite tofauti bureeeeee! nlichofanya nimetega dish kwenye satellite tofauti zinazorusha channels bure bila malipo. wanachokifanya azam na maboya wengine kama zuku wanazitafuta channels nyingi kwenye satellite tofauti kisha wanazikusanya kwenye kingámuzi kimoja ndo wanawalipisha, ila kama unadishi lako unatega tu mwenyewe unajitafutia channels unazopenda, tena ziko nyingi hadi utachoka kutazama.
Mkuu, piga picha tuone
 
Hawa jamaa wana roho mbaya sana. Hivi chanel ya kbc ambayo nimeilipia inawahusu nini?

Kwa nini kila mpira ukitaka kuanza mnazifunga chanel zao kwenye li mbuzi lenu?

Aisee natamani mnirudishie hela yangu nilipie startimes.
Kwani upo na TV?
 
Back
Top Bottom